BREAKING NEWS.: KANUMBA AFARIKI DUNIA

image

Habari zilizotufikia zinasema kuwa Muigizaji nguli Steven Kanumba amefariki dunia. Aidha habari zinasema kuwa Kanumba amefariki ghafla saa tisa usiku huu baada ya kudondoka ghafla. Aidha habari zinasema kuwa Kanumba alikuwa na Girl Friend wake ambapo kulitokea kutoelewana kati yako na Kanumba alisukumwa na kuanguka na kupiga kichwa chini.
Mungu ailaze Roho ya Marehemu

pema Peponi – Ameni

46 Responses to BREAKING NEWS.: KANUMBA AFARIKI DUNIA

 1. Shadaydu. says:

  Innalillah wainna ilaih rajiuuun,

 2. Anonymous says:

  R.I.P kanumba

 3. Shadaydu. says:

  Innalillah wainna ilaih rajiuuun, kwakwel majonz ni nakubwa sana kwa kuondokewa na kipenz chetu.4 sure Kanumba was ma fvryt act,my his saul rest in peac,amen

  • ameraly jiwa says:

   dah! Nmefkiria sna naona kma amekosea ila mungu mwenyewe ndo alyepanga sina budi kusema innah lilah wainnah ilaih rajiun

  • Emmanuel Paul says:

   Nimewaza sn,ukweli nachojifunza kupitia kanumba n kuwa tayari wakati wowote pale(kumrudia mungu)

 4. OMARI MOHAMEDI says:

  Tanzania imeingiwa na balidi kubwa isiyoweza kuondoleka kwa koti wala sweta kwa kuondokewa na muigizaji mashughuli nchini (stevin kanumba) mungu amlazemahali panapo stahili..

 5. Emmanuel Paul says:

  Duh,ukweli mi hata c amini vile!

 6. Jaspar simon says:

  Kiuhalisia siyo rahisi kwa mtu yeyote kuamin, ila Mungu alitoa na Mungu ame twaa,Mungu ailaze roho ya marehem peponu ame

 7. Flo says:

  May his soul rest in peace, Amen. Poleni sana wanafamilia, wasanii na nchi nzima

 8. Anonymous says:

  mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi amen.

 9. Anonymous says:

  mungu ailaze roho yake mahali pemapeponi

 10. Amri Chuto says:

  Tunasikitika sana kumpoteza kiungo wetu msanii steven kanumba mungu amlaze mahali pema peponi

 11. J mlashi says:

  Kifo cha kanumba kimeshtusha mashabiki kwa kweli maana ni kama ndoto bali tukubaliane na hali halisi na tunapata fundisho hususani kwa vijana tujiandae maisha ya duniani na mbinguni ili nasi tutakapoitwa na bwana tuweze kufika kwake Mungu ailaze roho ya Maremu Kanumba katika uzima wa milele! Na apumzike kwa amani Amina!

 12. sabi says:

  Mungu amlaze maali pema

 13. Ally Mgangawe says:

  Kweli dunia mapito na dhahiri mapenz yanarun dunia mungu amlaze KANUMBA pema.Siku ngumu sana kwa Watanzania.

 14. roby Mallya says:

  Kama ndoto vile, ila ndo kazi ya mungu hainaga makosa sku zote. R.I.P kanumba!!!!

 15. Anonymous says:

  Poleni sana wadau wote wa filamu nchini tz Mungu ailaze roha ya marehemu mahali pema peponi.

 16. Asante Spoti na Starehe hakika Kila nafsi itaonja mauti.

 17. RAMADHANI YUSUF LIECHUKA says:

  IS OUR JOURNEY, YEYE AMETANGULIA NA SISI MTUTAFUATIA.
  TUMEKUJA KWA UDONGO TUTARUDI KWA UDONGO. ASHUKULIWE MUNGU KWA KILA JAMBO KWANI YEYE NDIO MPANGAJI WA YOTE.

 18. Anonymous says:

  Our best actor kanumba rest in piss.

 19. Gerald kisima says:

  Tulikupenda ila yeye ndiye muamuzi wa yote…..nitakukumbuka daima nakutakia heri ya milele!.

 20. henry says:

  daah hii dunia kweli ni tambala mbovu ,na sisi wanadamu ni maua tu hukua na kustawi baadae hunyauka na kupotea kabisa Mungu ameamua sisi hatuna kupinga ila tukubali hapa duniani tunapita tu

 21. seggy tairo says:

  bwana ametoa,bwana ametwaa, jina lake liinuliwe
  ee bwana umpokee katika nuru ya uso wako.
  amen.

 22. upendo says:

  Kweli wote tuko safarini hatujui muda wala saa, MUNGU ailaze roho ya marehemu Kanumba mahali pema peponi AMEN,

 23. Kaiza Given Nzuli says:

  Kazi ya Mungu haina makosa inatakiwa tumludie Muumba

 24. Anonymous says:

  siku mbili zimepita nilimwambia kwa habari za kuokoka na kumrudia Mungu yaani Yesu kristo kama mwokozi wake alisema atafanya jumapili hii kanisani, leo yako wapi tujifunzeni watu wote hatujui saa wala siku.
  mch

 25. helca_wilred@yahoo.com says:

  kweli inasikitisha sana na tupoteza muigizaji mzuri sanaa mungu amlaze mahali pema pepono

 26. Anonymous says:

  demu si lulu kicheche 4 the great has become the poor

 27. Anonymous says:

  Kila lenye mwanzo alikosi kua na mwisho,eemungu tunakuomba umpe pepo ndugu yetu kanumba

 28. dan says:

  hakika mpango wa mungu hakuna wakupinga.mungu atusaidie

 29. Anonymous says:

  nimsiba mkubwa sana wa kihistoria maana alikua anaitambulisha sanaa film tz mpaka nje.sina buti kusema bwana ameleta bwana ametwa alazwe mahali pema peponi

 30. Anonymous says:

  Kanumba The Great,Kufa ni wajibu lakini kifo hakizoeleki,Ni kanumba nyota iliyong’ara na kuzimika ghafla,Na imani utafanyika uchunguzi wa kina na hatimaye Umma ukafahamishwa juu kifo cha nyota huyu ambaye alikuwa kioo cha Jamii,Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi Amina.

 31. Jecap Amin says:

  Baada ya kifo mengi husemwa, sio vibaya lakini mimi nadhani siowakati wa kuzungumza ambalo haulijui sawasawa,ni vyema tukasubiri ripoti kamili ndipo tuwe ktk nafasi nzuri ya kuzungumza zaidi. pole mama kanumba, Wema Sepetu, nawengine wengi, huyu jamaa kweli ni mtu wa watu, nimsiba wetu sote. nawaomba sana ktk hili tusimtaje mtu tusubiri. kaka jay tbt

 32. tumain says:

  Dah sisitulimpenda lakini Mungu amempenda zaidi mengi yatasemwalkn ukweli utabaki Kanumba hatukonae tena Polenisana watanzania by machange fmly

 33. Colorator says:

  Mungu kakupenda zaidi, na upumzike kwa amani

 34. May the lord rest the soul of the best and beloved actor of bongo movies in peace.we loved him but the lord loved him most.may he rest in peace.@AMEN@

 35. rahma says:

  Ameniuma saaaaaana!! Bado siamini. Lakini ndo mapenzi ya Mungu,tumshukuru kwa kila jambo. Pumzika kwa amani mpendwa wetu Kanumba.

 36. Anonymous says:

  RIP Steven Kanumba, Mungu ni mwema siku zote. Amen.
  Kennedy

 37. rashid says:

  Innalillah wainna ilaih rajiuuun

 38. Anonymous says:

  Unauhakika kama kanumba kafa.

 39. Meshack joel says:

  Nawaomba endeleeni kutufundisha

 40. This piece of writing will assist the internet viewers for building up new web site or even
  a weblog from start to end.

 41. Salehe says:

  Msijali a akini lavi sana kanumba

 42. balaka says:

  kanumba kafa tuliobaki tujiandae

 43. Amina.muhina says:

  Tuta.kukumbuka.daima.kanumba

 44. I think this is an informative submit and it really is educated and really beneficial. I would like to thank you to the efforts you may have created in creating this informative article.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: