Kolonia Santita: Riwaya ya Kiswahili ya Kijasusi inayosisimua.

546935Kolonia Santita ni shirika la madawa ya kulevya. Panthera Tigrisi ni mfanyabiashara wa madawa ya kulevya, katili kuliko wote katika Hemisifia ya Magharibi. Kitabu hiki Kinahusu Ujasusi, Madawa ya kulevya na ugaidi wa kimataifa. Ukianza kukisoma hutakiweka chini kamwe unless kimeisha…

Kitabu hiki kimetungwa na mtunzi anayekuja juu akiwa ni mjomba kabisa wa mtunzi maarufu wa Riwaya za Kijasusi Marehemu Elvis Musiba ambaye alitamba na kitabu chake cha kwanza cha Njama.

Enock Maregesi ambaye anaishi na kufanya shughuli zake kwa Malkia Elizabeth anasema kitabu hiki amekifanyia kazi kwa umakini na kitaleta mapinduzi kwenye uandishi wa Riwaya za Kiswahili za Kijasusi.

“Kolonia Santita ni tofauti na hadithi zingine kwa sababu ya wapelelezi wake. Wapelelezi wake ni makomandoo-wapelelezi-wanajeshi.” www.goodread.com

Kwa wapenzi wa vitabu kaeni mkao wa kula kwani kiko njiani na kitapatikana kwenye Bookstores zote.

39 Responses to Kolonia Santita: Riwaya ya Kiswahili ya Kijasusi inayosisimua.

 1. Anonymous says:

  nakala tunapataje ?

 2. David Mwakayumba says:

  Hiki kitabu kitaleta mapinduzi ya hadithi za kijasusi hapa kwetu Tanzania. Nimekisoma, ni kizuri mno! Enock Maregesi ni lejendari!

 3. leannekemboi says:

  Sijawahi kusoma kitabu kizuri (popote pale duniani) kama hiki cha Kolonia Santita. Ni vigumu kuamini kama Enock Maregesi ni mtu wa kawaida. I think Maregesi is extraordinary. It’s just the matter of time; kitabu hiki kitakuwa kizuri kuliko vyote katika eneo lote la Afrika Mashariki.

 4. Hadj le Jbnique says:

  Ngoja tukione kwanza kabla ya kufyagilia,ila kama kweli amefuata nyayo za mzee musiba wa willy gamba kitarejesha heshma ya novel za kiswahili iliyotoweka mpaka watu kuishiwa njaa ya kusoma novel za kibongo

 5. txwambura says:

  So far Enock Maregesi ni sawa na Elvis Musiba na Ben Mtobwa na naweza kumlinganisha pia na Shaaban Roberts kwa kuwa na luga tajiri ya kisanaa kwenye kitabu chake.

 6. Nimeagiza cha kwangu. Nitatoa maoni kamili nikishakipata na kukisoma chote. Hata hivyo, kwa kusoma Excerpts Enock Maregesi anaonekana kuwa mwandishi mzuri sana.

  New Castle University,
  Melissa M. Wakeford.

 7. mussaarabu says:

  Huku bongo kitafika lini?? tunakisubiri kwa hamu….

 8. Enock Maregesi says:

  Asanteni sana ndugu wapenzi wa vitabu akiwemo Pius Mzee Pius Mikongoti wa blogu hii. Maoni yenu ni mazuri sana. ‘Kolonia Santita’ haitawaangusha hata kidogo. Licha ya kunigharimu miaka ishirini ya matayarisho yakinifu; niliiandika nikiwa na lengo la kujaribu kufufua mwamko wa usomaji wa vitabu, kama mtu binafsi, hususan vya kijasusi, katika nchi yetu. Sheria zote za fasihi zimezingatiwa. Kila kitu kilichotakiwa kufanyika katika kitabu hiki kimefanyika. Kimeandikwa katika kiwango cha kimataifa katika mtindo wa sinema za Hollywood.

 9. Anonymous says:

  Haya, namna ya kukipata je? Mimi nilikuwa ni mpenzi sana wa Willy Gamba japo nilivyosoma vitabu hivyo kwa kuvipata kwa watu na vingine vikiwa havina kurasa kamili hata hivyo bado navitafuta vitabu vya huyo mhusika Willy, natupia hili tangazo hapa: http://www.mtayarishaji.blogspot.com

 10. Rehema dickson says:

  nimekipenda kitabu japo cjakisoma chote karatasi zilichanika naomba mniambie njia ya kukipata

 11. hakika hiyo riwaya ni mfano wa kuigwa kabisa na waandishi wote hasa wa tathnia ya riwaya

 12. Anonymous says:

  RIWAYA TAKADINI

 13. Samuel Athanas says:

  Nawakubali Sana ,musiba,katalambula ally Zahir,simbamwene,nk,je, nitapata vitabu hivi duka Gani,mi Naishi Dar

 14. Anonymous says:

  Buruhani Mdoka says
  Natafuta vitabu vya Willy Gamba na Kolonia Santita nitavipata wapi? mi niko pande za Zenji

 15. benadeta says:

  nami nakitaka

 16. Anonymous says:

  Xaxa mbna michosho2 katka fasihi hii andishi ??

 17. Fadhy Mtanga says:

  Nawezaje kukipata? Tafadhali nijulishe kwa kupitia 0754599646 ama barua pepe fadhymtanga@gmail.com

 18. Kitabu cha KOLONIA SANTITA sasa kimefika Dar! Jipatie kopi yako mapema kabla havijaisha kwa shilingi 25,000 tu! Mahali: Pamba House ghorofa ya kwanza, chumba namba 107, Garden / Pamba Avenue, Dar es Salaam, nyuma ya Supamaketi ya Imalaseko. Au piga simu namba 0222127802 au 0719703848 kisha ongea na dada Janet Charles!

 19. Anonymous says:

  Hiki kitabu natamani sana kukisoma ila upatkanaji wake ni mgumu kiasi coz ndio kwanza vinachapishwa huko china. (kwa mujibu wa anwani ya hapo juu) na utayari wake ni mwezi march mwaka huu(2015).

  kwa mdau mwenye nacho naomba tuwasiliane kwa 0717 987646 au email: l.nick45@yahoo.com

 20. Anton's Mathewa Mwasega says:

  Naomben hicho kitabu kwa mawasiliano ±255767512001

  • Anton’s Mathewa Mwasega kama uko Arusha tembelea duka Kase Stores Ltd: Simu: 027-2502640 na kama uko Iringa tembelea duka la Lutengano Bookshop: Simu: 0784 361 984.

   Kama uko Dar tembelea duka la TPH: Simu: 0687 238 126; au MAK Mlimani City: Simu: 0682 015 119.

   Wahi nakala yako.

 21. Kitabu cha Kolonia Santita sasa chaingia mkoani Arusha: Kase Stores Ltd, ELCT Building, Boma Road, Simu: 027-2502640, Fax: 2548980, Baruapepe: kasestores@habari.co.tz.

  Kinapatikana pia mkoani Iringa: Lutengano Bookshop, Simu: 0784 361 984.

  Dar es Salaam: TPH Bookshop, Samora Avenue, Simu: 0687 238 126; MAK Bookshop, Mlimani City Shopping Mall, Simu: 0682 015 119 au 0687 014 740.

  Wahi nakala yako!

 22. steve says:

  Na mm niko kenya Tanariver county vp nitakipata

 23. steve says:

  How wll i get a copy am at kenya tana county

 24. Hana Heng says:

  Its my excellent pleasure to visit your web site and to appreciate your wonderful posts here. I like it a great deal. I can feel you paid a lot consideration for anyone articles or blog posts, as all of them make sense and are incredibly helpful.

 25. Mnira Haruna says:

  Kwa bei gani

 26. At this time it looks like BlogEngine is the preferred blogging platform out there right now. (from what I’ve read) Is that what you’re using on your blog?

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: