Brand New Video – I DON’T WANNA BE ALONE (SHUKURU)-AY FEATURING SAUTI SOL

October 31, 2011

In a move no one anticipated, neo-soul boy band Sauti Sol and Tanzanian Hip-Hop heavyweight AY have teamed for what can only be described as a musical cross breed between the soft sounds of Sauti and the heavy thumping that’s AY’s signature. “I don’t wanna be alone” leaves you feeling mesmerized at the very least, and it’s not just the powerful vocals on the track but also the well thought, conscious yet not over-the-top lyrics that’ll get you hitting the replay button.
And If the song doesn’t do it for you, the video will probably have you sold; five minutes of panoramic scenery, beautiful palettes of bright colors and a story well knitted into it all. The boys have outdone themselves once again.

Press Play to watch this video


Rota Rota mchezo unaoshika ….

October 31, 2011

Baada ya Mpunda kwa sasa Dance ya Rotarota ndio inakuja kwa kasi kubwa, angalia hapa uone wacheza show wanavyoichambua Rota Rota….


Aller Simple ya Allain Mpella

October 31, 2011

« Haut les mains » ya Wazekwa sokoni Novemba hii.

October 31, 2011

Albamu mpya ya Mzee Felix Wazekwa inasemwa kuwa itakuwa sokoni mwezi huu, Wazekwa ambaye uimbaji wake unasifika amekuwa akibadili mara kwa mara tarehe ya kuitoa Albamu hiyo ambayo inasubiriwa kwa hamu.

Wengi wanamfahamu Wazekwa kama mwalimu wa mwanamuziki mkongwe Koffi Olomide ambaye huwa hasiti kukubaliana na hilo.

Wazekwa ameshamaliza kurekodi nyimbo zote na kwa sasa wanamalizia Video ambazo zitatoka kwa pamoja, akiongea na mtandao maarufu wa Digital Congo msemaji wakundi hilo alisema kuwa kwenye albamu hiyo kuna vibao kama  « Oh, la, la », « Doux, doux »,  « Energie », « Evida » et « Penalty », huku akiwataka mashabiki wakae mkao wa kula.

Naomba nikuonjeshe kibao Ah Ngai


Hatimaye …..

October 29, 2011

269765_10150705446265154_773730153_19956748_24035_n

Mpira umekwisha uwanja wa Taifa kwa sasa na Yanga 1 na Simba haijapata kitu….


PARTY in STYLE 29 OCTOBER 2011

October 27, 2011

SWAHILI FASHION WEEK, EAST AND CENTRAL AFRICA LARGEST FASHION EVENTS
OFFICIAL LAUNCH PARTY
  ON THE 29THOCTOBER  AT THE THAI VILLAGE, MASAKI FROM 9 PM ONWARDS.
PARTY WITH HARDCORE FASHIONISTAS, MODELS, DESIGNERS, CELEBRITIES AND THE WHO IS WHO OF TANZANIA.
SWAHILI FASHION WEEK IS THE TALK OF THE TOWN, THE LAUNCH PARTY IS JUST THE BEGINNING, DRESS TO IMPRESS, DEFINE FASHION,
GET YOUR GROOVE READY TO HIT THE STYLISH DANCE FLOOR

 

image


Bi Kidude Buheri wa Afya….

October 26, 2011

kuna taarifa za uzushi zinazoendelea katika mitandao mbali mbali, kama Facebook pamoja na BBM kuwa, legendari wa mziki Tazania Bi Kidude amefariki dunia.kwa taarifa nilizozipata ni kuwa, B kidude yupo hai na bado anaendelea kupeta.

HAbari hii ni kwa Mujibu wa Blog ya DJ Fetty


%d bloggers like this: