David na Victoria Bekham wazindua Mishumaa maalum kuchangia mfuko maalum.

February 28, 2009

bkm Mwanasoka mahiri David Bekham na mkewe Victoria Bekham wametoa toleo maalum la mishimaa yenye manukato kwa ajili ya kuchangia watoto wenye mahitaji maalum.

David na Victoria walizindua mishumaa hiyo majuzi tarehe 25 Feb ambapo MShumaa mmoja utauzwa kwa Pound 20 (Tsh 60,000) na Pound 2 zitaingia kwenye mfuko maalum.

Mishumaa hiyo ambayo imetngenezwa kwa nta inayotokana na mimea hasa ya Palm (jamii ya minazi) na manukato ya ua Rose (vegetable wax blended with the fresh aroma of tuberose).

Kwa wanaotaka kununua moja wa moja bofya hapa


Beckam arejea Marekani kuomba ruhusa kuhamia AC MILAN kimoja

February 5, 2009

Mwanazoka David Beckham ambaye alikuwa akicheza kwa mkopo huko Ac Milan yuko Marekani ambako inasemekana amekwenda kufanya mazungumzo ya kupata ruksa ya kujiunga moja kwa moja na Timu ya AC Milan ambako kimpira kumemkubali mwanasoka huyo.

Habari zinasema kuwa Beckham ambaye mkataba wake na LA Galaxe haujamalizika anatazamiwa kurejea Italy kwenye ligi ya Seria A kama mambo yakienda vizuri. Wachunguzi wa mambo wanasema kuwa Galaze hawawezi kumuachia Beckham kirahisi kwani kwao wao walimchukua mwanasoka huyo kibiashara zaidi.


Mambo ya Bekham Italy

January 22, 2009

.

.

David and Victoria Beckham attended the “My Sky HD Wears Fendi” cocktail party as part of Milan Menswear Fashion Week. The soccer stud sported a gray suit and silly scarf, while his wife opted for a red dress from her own collection and matching crocodile Christian Louboutins.


%d bloggers like this: