Mambo ya Sweet Eazy Oysterbay

July 31, 2009

image

Please find above the August programme for Saturday Night Live.

Venue: Sweet Eazy Oysterbay

Reservations: 0755 75 40 74

Sweet Eazy Oysterbay, for the Best Live Music – Every Thursday & Saturday.

Toure aims for Man City success

July 31, 2009

Kolo Toure and Mark Hughes

Toure says he turned down offers from abroad to stay in England

New Manchester City signing Kolo Toure believes his team can challenge for the Premier League title next season.

The 28-year-old defender joined from Arsenal for a reported £16m and follows former Gunners team-mate Emmanuel Adebayor to Eastlands.

And Toure, who claims he knew about the move six months ago, says he would not have joined Mark Hughes’s side if he did not think they can win the league.

"Yes, I believe so, that’s why I am here," he told a news conference.

"The quality is big, there are fantastic players here.

isome zaidi hapa

Mr Paul katika Emerge Festival-Melbourne

July 31, 2009

image

Mwanamuziki mtanzania Paul Mbena ambaye anaishi na kufanya kazi nchini Australia alishiriki kwenye Tamasha la Emerge Festival-Melbourne. Picha zaidi na habari zinakuja

NAONGEA NA WEWE VOTE for MWANAFA ft AY on Channel O Music Video Awards 2009

July 28, 2009

image

Tanzanian Bongo Flava artist Hamis Mwinjuma aka MwanaFA has been nominated by Channel O Music Awards.
Which is gonna be held in Johannesburg South Africa on 29th October 2009,
His video track name NAONGEA NA WEWE featuring AY has been nominated into two categories
The Most Gifted Group (DUO) and The Most Gifted East African Video.
MwanaFa and Ay they begging you to vote so as they can win awards,
Its obviously they can,and by winning this they’ll put up Bongo flava to the map.
Take your time and remember you are vote for our country and our musics,

HOW TO VOTE
To vote, MWANAFA The Most Gifted or Duo must SMS 4E to +27839208400
To vote, MWANAFA The Gifted East Africa Video must SMS 13B to +27839208400   (International SMS rates apply)
or vote on www.channelo.tv (web). Is where you can vote
You can vote as many as you want!
Regards;
         MwanaFA & AY…
GOD BLESS BONGO FLAVA

Happy Birthday to me!! 29th July

July 28, 2009

image

Kila unapokata siku unatakiwa kumshukuru Mungu kwa kila jambao ambalo anatuwezesha kwenye maisha yetu, si kila mmoja wetu ameweza kusherehekea siku yake ya kuzaliwa mwaka huu anyway kwa wale waliobahatika basi na mi ni mmoja wao, Leo ni siku yangu ya Kuzaliwa na Alhamdullillah haikupita hivi hivi ingawa niko mbali na familia lakini Inshallah salamu zenu nimezipokea woote mlionitakia kila jema, kwa namna ya Pekee namshukuru Mungu kwa kuniwezesha kufika siku ya leo.

Salamu kwa wote Mke wangu kipenzi Ghaty, Mwanangu Glory na Geebril nawamiss sana kwa siku kama ya leo nilitegemea kuwa nanyi, Mama yangu Bint Kware, kaka zangu na dada zangu, washkaji Batty, Tameem, Six, Papaa Ling;ande, Mukubwa Maghambo, Japhy, Mzee, Gerald, Dulla, Uncle Dee na wengine woote mlionitumia message, Facebook, Tweeter, Hi5, na email nasema Asante, Thanks, Teri Makasih, Nandre, Xie Xie, Merci.

Wazee wa ngwasuma kusisimua redds miss kinondoni 2009

July 27, 2009

Bendi ya muziki wa dansi ya Wazee wa Ngwasuma wakiwa kwenye moja ya onyesho lao

washiriki wa miss kinondoni wakiwa wamepozi kati na Miss Tanzania 2007/8 Richa Adhia.

Bendi ya muziki wa dansi ya Fm Academia a.k.a Wazee wa Ngwasuma wanaotamba na mtindo wao wa Nzombo na Matembele watafanya onesho lao la kukata na shoka siku ya kinyang’anyiro cha kumsaka kinara atakayeibuka na taji la Redds Miss Kinondoni 2009 litakalofanyika ijumaa hii ndani ya ukumbi wa Mlimani City-Mwenge jijini Dar.

Tiketi zinapatikana kwa Mama KTE Hair Fashions Sinza kumekucha karibu na kituo cha basi,Shear Illusions Mliman City na Millenium Towerz.Tiketi kwa VIP ni 40,000/= kwa kila kichwa na 10,000 kwa kila mmoja.

Wote mnakaribishwa.

%d bloggers like this: