AY atua India

March 1, 2011

AY akiwasili ndani ya INDIA kwenye uwanja wandege wa kimataifa wa BANGAROLE,Leo 1st March atapiga ndani ya Blue  Waves Bangarole then tarehe 5th atakamua Hyderabad,picha zaidi zoinakuja.

Posted with WordPress for BlackBerry.


Wimbo Mpya wa AY – Leo

March 19, 2009

Mwanamuziki ambaye kwa kiasi kikubwa amepata mafanikio makubwa katika Sekta ya Muziki wa kizazi kipya AY hivi karibuni aliachia nyimbo yake mpya Leo.

Nyimbo ambayo imeshika chat kwenye radio show mbalimbali akiongea nami asubui hii AY ambaye anarejea Kesho nyumbani Tanzania akitokea ziara yake ya USA amesema kuwa Video ya nyimbo hiyo ambayo imetengenezwa na Ogopa Djs wa Kenya na imefanyiwa jijini Dar es Salaam, pia AY aliongeza “…video ni noma sana nimezidi kuinvest zaidi ili ziweze kuchezwa kwenye stations kubwa zaidi na kubadilisha soko lilipo kwa sasa kama unavyoona kazi ilivyo”.

Gonga Hapa ukapate kuisikia nyimbo hii

KWa hiyo wapenzi wa muziki kaeni mkao wa kula video iko njiani,

Kwa wanaopenda Lyrics ya wimbo huo gonga hapochini

Read the rest of this entry »


AY na EvE

February 3, 2009

Mwanamuziki wa Bongo Flava Ambwene Yesaya aka AY wa Commercial akiwa na mwanamuziki EvE jijini Dar Es Salaam wakati mwanamuziki huyo alipokuwa nchini kuwarusha watanzania. Hii ilikuwa pia uzinduzi wa Albam mpya ya mwanamuziki huyo.


Kwani wao wameweza wananini hata nyinyi mshindwe mnanini?

February 3, 2009

ay1

Wanamuziki wa Bongo Fleva wakiwa na mkali Fat Joe alipokuwa nchini kwa ajili ya kuwarusha watanzania, Kuna kila uwezo wa wanamuziki wetu kufanikiwa na kujilikana kimataifa kwani kwa sasa wameweza kupata matamasha nje ya nchi lakini kwa kiasi kikubwa walengwa ni wale wale wazungumzao lugha yetu je kuna uwezekano wa kuifanya Bongo Flava ikang’aa kimataifa zaidi ya Afrika ya Mashariki?


%d bloggers like this: