TAFSIRI YA WIMBO DESORMAIS ( KOFFI OLOMIDE )

June 30, 2014

TAFSIRI YA WIMBO ” DESORMAIS “KOFFI OLOMIDE

Voici mon cœur auprès de ton cœur / MOYO WANGU HUU UKIWA SAMBAMBA NA WAKWAKO

Me voici chéri embrasses moi / MPENZI MIMI HUYU HAPA ,NAOMBA UNIBUSU

Cette nuit de noces soit vraiment rose / USIKU HUU WA HARUSI YETU UWE WA KHERI NA NEEMA

Soit tres féconde mon amour / LETE MATUNDA MEMA MPENZI WANGU

L’os de mes os fait moi porter l’alliance à l’annulaire mon aimé / MFUPA WA MIFUPA YANGU, NIVISHE PETE KWENYE KIDOLE MPENZI

Fait de moi tout ce que tu voudras oh mon amour / NIFANYE GINSI UTAKAVYO MPENZI WANGU

Car je suis à toi et tu es à moi / KWAKUA MIMI NI WAKO NAWE PIA NI WANGU

Aridi kahombo eh !
Le mariage est une institution divine / NDOA NI TAASISI TAKATIFU

Makwela mokano ya Nzambe / NALO NI PENDEKEZO LAKE MUNGU

Pour le meilleur et pour le pire tokomi mosuni moko / KWA MEMA NA MABAYA, TUMESHAUNGANA NAKUA MWILI MOJA

Ba dongolo miso ba zuzi ya nzela bo bosana nga komi engagé hé / KWA WALE WABABAISHAJI NAOMBA WANISAHAU KABISA, TAYARI NINAE WANGU

(Désormais é nakomi engagée é / TOKEA LEO HII SIKO TENA HURU

Kosimba te keba na l’état / NAWALA USITHUBUTU KUNIGUSA, OGOPA SEREKALI

Eloko ya ngani ya Papa a / CHOMBO CHANGU NI PAPA!!!

Desormais éé nakomi ya bato o / KUANZIA LEO HII MIMI NI MKE WAWATU

Kosimba te banga n’o Nzambe / WALA USINIGUSE MUOGOPE MUNGU

Eloko ya ngani ya mama aa a a a / CHOMBO CHANGU NI MAMA!!

Aridi kahombo )
Moto azwi ba mbongo azwi mokana ya ko construire / JAMAA MOJA KAFAANIKIWA KUPATA HELA ZAKE, WAZO LAKWANZA KUMJIA NI LA KUNUNUA KIWANJA

A cloturer lopango alobi abatela mur / KAAMUA KWANZA KUJENGA UKUTA

A tie crépissage abakisi na couleur Aridi kahombo / KISHA KAKARABATI UKUTA,NA KUUPAKA RANGI

Akomi na mur epekisami kosuba na mur / KWENYE UKUTA HUO KAWEKA MAANDISHI HAYA ; MARUFUKU KWA YEYOTE KUKOJOA HAPA

Kasi ya libala nakoma nini éé / KUHUSIANA NA NDOA YANGU NIANDIKE NINI !!!

Kasi ya makwela nakoma wapi éé / KUHUSIANA NA HARUSI NI KIPI NIANDIKE MIE!!!

Po cheri azala tranquille / TAFADHALI MPENZI NAKUOMBA UWE MWENYE MOYO BARIDI

Na bima sans concurrent na love / KWAKUA KWENYE PENZI SINA MPINZANI

Po aridi azala tranquille / ARIDI WALA USIWE NA WASIWASI

Na bima sans concurrent na libala Mama ah ah / KWENYE NDOA YANGU SINA ATAKAE PINZANA NAMI MAMA AH AHA

Mokongo ya mama emena jamais bana mibale / NIJAMABO LISILO LAKAWAIDA KUMUONA MAMA KAWABEBA WATOTO WAWILI MGONGONI

Ata ko bazali mapasa ekoki kosimba jamais / HATA KAMA WATOTO HAO NI MAPACHA NI JAMBO LISILO WEZEKANA

Humm mbeto ya libala ebongaka toujours en duel / HUMM KITANDA CHA WANANDOA HUTAYARISHWA KWA AJILI YA WATU WAWILI

Soki ekomi misato wana ekomi abomination na libala / KIKIWA CHA WATU WATATU , BASI HUO UNAKUA UCHAFU

(Désormais é nakomi engagée é / TOKEA LEO HII SIKO TENA HURU

Kosimba te keba na l’état / NAWALA USITHUBUTU KUNIGUSA, OGOPA SEREKALI

Eloko ya ngani ya Papa a / CHOMBO CHAANGU NI PAPA!!!

Desormais éé nakomi ya bato o / KUANZIA LEO HII MIMI NI MKE WAWATU

Kosimba te banga n’o Nzambe / WALA USINIGUSE MUOGOPE MUNGU

Eloko ya ngani ya mama aa a a a / CHOMBO CHANGU NI MAMA!!AA

Aridi kahombo )
Balobaki trop concernant la vie na nga / MENGI YALISEMWA KUHUSIANA NA MAISHA YANGU

Balingaki te na bala po lobi babeta piololo / FURAHA YAO ILIKUA NISIOLEWE ILI MIDOMO YAO IENDELEE KUWA WAZI,, WAENDELEE KUPIGA FIRIMBI

Vraiment nalekisa ntango ye abalaka na ye / KWA KWELI NILIPITISHA MDA WANGU BURE, HUKU WENGINE WAKIOLEWA

Miso etondaka te kasi motema etondaka eloko elengi / MACHO HUA HAYACHOKI KUTIZAMA, BALI MOYO HUA UNARIDHIKA NA KILE UKIPENDACHO

Oyanga conscience ezo tinda nga na securiser moto alingi nga na libala / DHAMIRA YANGU YANITUMA NIMLINDE MTU HUYO ANIPENDAE KWA NDOA

(Désormais é nakomi engagée é / TOKEA LEO HII SIKO TENA HURU

Kosimba te keba na l’état / NAWALA USITHUBUTU KUNIGUSA, OGOPA SEREKALI

Eloko ya ngani ya Papa a / CHOMBO CHAANGU NI PAPA!!!

Desormais éé nakomi ya bato o / KUANZIA LEO HII MIMI NI MKE WAWATU

Kosimba te banga n’o Nzambe / WALA USINIGUSE MUOGOPE MUNGU

Eloko ya ngani ya mama aa a a a / CHOMBO CHANGU NI MAMA!!AA

Aridi)
À bas la polygamie votons la monogamie / TUACHANE NA MTINDO WA POLYGAMY ( MTU KUOA WAKE WENGI) , TUCHAGUE MAISHA YAKUA NA MKE MMOJA

Va-t-en la polyandrie vive la fidelité Mike Mosisi e e / TUTUPILIE MBALI MFUMO WA POLYANDRY ( MWANAMKE ANAE OLEWA NA WANAUME WENGI ) NA TUISHI TUKIWA WAAMINIFU KWA MTU MMOJA.

(Désormais é nakomi engagée é / TOKEA LEO HII SIKO TENA HURU

Kosimba te keba na l’état / NAWALA USITHUBUTU KUNIGUSA, OGOPA SEREKALI

Eloko ya ngani ya Papa a / CHOMBO CHAANGU NI PAPA!!!

Desormais éé nakomi ya bato o / KUANZIA LEO HII MIMI NI MKE WAWATU

Kosimba te banga n’o Nzambe / WALA USINIGUSE MUOGOPE MUNGU

Eloko ya ngani ya mama aa a a a / CHOMBO CHANGU NI MAMA!!AA

Fermons nos oreilles chéri é é / TUYAZIBE MASIKIO YETU MPENZI

Na maloba ya ba jaloux ouh / KUTOKANA NA MANENO YA WENYE WIVU

Awa tobalani alliance esuka na misapi te / TULIVYO FUNGA NDOA YETU ,PETE IPITILIZIE KABISA KWENYE KIDOLE

Ekota ti na kati ya A.D.N / IINGIE MOJA KWA MOJA HADI KWENYE DNA

Moto azwi ba mbongo azwi mokana ya ko construire / JAMAA MOJA KAFAANIKIWA KUPATA HELA ZAKE, WAZO LAKWANZA KUMJIA NI LA KUNUNUA KIWANJA

A cloturer lopango alobi abatela mur / KAAMUA KWANZA KUJENGA UKUTA

A tie crépissage abakisi na couleur Aridi kahombo / KAKARABATI UKUTA,NA KUUPAKA RANGI

Akomi na mur epekisami kosuba na mur / KWENYE UKUTA HUO KAWEKA MAANDISHI HAYA ; MARUFUKU KWA YEYOTE KUKOJOA HAPA

Kasi ya libala nakoma nini éé / KUHUSIANA NA NDOA YANGU NIANDIKE NINI !!!

Kasi ya makwela nakoma wapi éé / KUHUSIANA NA HARUSI NI KIPI NIANDIKE MIE!!!

Po cheri azala tranquille / TAFADHALI MPENZI NAKUOMBA UWE MWENYE MOYO BARIDI

Na bima sans concurrent na love / KWAKUA KWENYE PENZI SINA MPINZANI MAMA AH EEEEEE

ASANTENIImage

%d bloggers like this: