Picha za Mwili wa Kanumba ukiingizwa Chumba cha Maiti Muhimbili.

Kama ambavyo si rahisi kwa mtu baki kuamini hata waliokuwa karibu na mwili wa marehemu Kanumba iliwawia vigumu kuamini kama kweli alikuwa amefariki, pichani jamaa wa karibu akiwa bado haamini kilichotokea huku mwili wa Steven Kanumba ukiingizwa Mortuary Muhimbili.

IMG_20120407_073433

Maofisa wauguzi wakiuingiza mwili wa Marehemu Kanumba chumba cha Mauti katika hospitali ya Muhimbili.

IMG_20120407_073439

Ray Kigosi mwenye kapelo akishuhudia mwili wa swahiba wake ukiingizwa chumba cha Maiti Muhimbili usiku huu.

IMG_20120407_073506

Msanii ambaye kwa sasa anakuja juu kwa kasi JB akiwa na masikitiko makubwa ndani ya chumba cha maiti Muhimbili.

IMG_20120407_073619

Mashabiki wakiwa wamekusanyika katika viunga vya hospitali ya Muhimbili. Habari za awali ambazo kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kinondoni Afande Kenyela amesema kuwa Kanumba alikuwa na kutoelewana kati yake na Mpenzi wake ambazo taarifa za awali zinasema waligombana na Kanumba alisukumwa na kugonga kichwa chini na mpenzi wake ambaye ametambuliwa kwa jina moja la Lulu.

Habari ambazo bado Spoti na Starehe haijazithibitisha zinasema kuwa Kanumba alikuwa akioga ili atoke na ndipo aliposikia mpenzi wake akiongea na simu na mtu mwingine alipotoka kumuuliza ndipo mzozo kati yao ukaanza na katika hali ya kusumunana Kanumba alisukumwa akaanguka na kugonga kichwa chini.

Afande Kenyela alisema alipigiwa simu na ndugu wa Kanumba ambaye walikuwa wakiishi pamoja na Kanumba na walipofika Pale walikuta tayari ameshakata roho ila bado inasubiriwa ripoti ya daktari.

Kamanda Kenyela pia amesema kuwa mpenzi wake Maerehemu Kanumba anashikiliwa na Polisi kwa uchunguzi zaidi. Lulu ambaye naye anag’aa kwenye tasnia ya Filamu amekuwa akigonga vichwa vya habari vya magazeti ya “udaku” kutokana na skendo za mara kwa mara za mahusiano ya kimapenzi, ni majuzi tu mwanadada huyu ametimiza miaka 18 tangu kuzaliwa.

Aidha nyumbani kwa marehemu Sinza kumejaa ndugu jamaa na marafiki kiasi barabara ya kwenda Lion kupitia Madukani inapitika kwa taabu.

Kanumba ambaye alizaliwa mwaka 1984 amefanikiwa kuzikonga nyoyo za mashabiki wa tasnia ya movie za Tanzania si tu kwa Tanzania bali hata nje ya nchi pia. Kwa mashabiki wa filamu za kibongo Kanumba alikuwa ni namba moja na kwa kiasi kikubwa aliweza kuweka viwango kwani alikuwa anafaa kwa kila kona kuanzia kuigiza mpaka kuvaa na adamu ya maisha tofauti na ma Super Star wengine hivyo kuwavutia watu wa rika lote.

Pia ndiye aliyewatoa watu kama Akina Wema Sepetu, Mtoto Sophia ambaye aliact kwenye Movie ya Big Daddy, pia ndiye aliyemtoa Patchou Mwamba na kumuingiza kwenye Movie Industry. Kanumba anamaliza kipindi chake cha miaka 28 akiwa ameacha kumbukumbu ambayo itaishi kwa muda mrefu.

Mashabiki kupitia mitandao ya kijamii wameonyesha masikitiko yao ambapo kufika saa tisa usiku habari zilikuwa zikisambaa kama moto nyikani kupitia Facebook, Twitter na Blogs ikiwemo hii ya Spoti na Starehe ambayo ilikuwa moja ya wa kwanza kupata habari.

image

Picha hii imepigwa na Shamim Mwasha nyumbani kwa marehemu asubuhi hii.

image

Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi – Ameni.

303 Responses to Picha za Mwili wa Kanumba ukiingizwa Chumba cha Maiti Muhimbili.

 1. Maangaza Nyange says:

  Inna lillahi waina ilayhi rajiuun,Mungu ailaze roho yake pema peponi.

 2. Anonymous says:

  Inalilah wainailahi rajiun

 3. BEATHA MCHOPA says:

  Bwana ametoa na bwana ametoa… Timpenda mungu kampenda zaidi” na ilaze pema peponi afufuke na bwana yesu AMINA

  • Hakika hatasaulika kijana huyu machon kwa walimwengu. Alifanya mengi sana katika jamii yetu. Kifo chake hakuna alie tegemea, yote n mapenzi ya Mungu. Nawaombea wanafamilia wote Mungu awape uvumilivu na ujasiri kwenye kipindi hiki kigumu.NYOTE POLENI SANA

   ILA MMEZIDI WASANII KUFICHA MAMBO YENU SANA SASA HILI LIMEFICHUKA(MNAIGIZAGA AWAMU HII LULU NA KANUMBA SIO KUIGIZA TENA WAMEFANYA KWELI)FUNDISHO KWA WASANII WENGINE.LULU UPUNGUZE KUTEMBEA NA KAKA ZAKO UMEZIDI UTAKUFA NA NGOMA.

  • Aki Poleni Sana, Kwa Kufiwa Kwa Msanii Wetu Mpendwa

 4. Flower says:

  Mwenyenzi Mungu ailaze roho ya marehemu Kanumba mahala pema peponi.Amen

 5. Zuhura shaban says:

  Inauma kwakweli yaani roho inaniuma sana tena sana aiseee

 6. Anonymous says:

  Its so painful

 7. Hadj le Jbnique says:

  POLENI WAFIWA,KANUMBA ALIKUA MDAU MKUBWA WA MUZIKI WA LINGALA AMBAO HAPA NDIPO NYUMBANI KWAKE,BINAFSI SIJAWAHI KUKUTANA NA KANUMBA HATA SIKU MOJA NA PIA SIKUWAHI KUWA MPENZI WA MOVIE ZAKE ILA HAMUWEZI KUAMINI KANUMBA TULIJUANA NA KUWASILIANA SANA KUPITIA BARUA PEPE TUKISHARE MAMBO MBALI MBALI KUHUSU MUZIKI WA CONGO,NAKUMBUKA MARA YA MWISHO MWISHO NILIMTUMIA LINK YA WADADA WAWILI WA KIZAZI KIPYA KATIKA MUZIKI WA LINGALA,NAWAZUNGUMZIA CINDY LE COEUR WA KOFFI OLOMIDE NA MEJE 30 WA WA MAMA TSHALA MUANA,WAKIPERFORM LIVE STEJINI KWA NYAKATI TOFAUTI NA KUMTAKA ATIZAME KISHA APIME NANI MKALI,KANUMBA AKATIAZAMA NA KUNIAMBIA YEYE ANAWAKUBALI WOTE,PIA NIKAMTUMIA LINK YA KIBAO FIMBO YA BAKANDJA CHA MEJE 30,KANUMBA AKAFURAHI SANA AKANIMABIA ANAKIPATA IKO KIBAO NA KUONYESHA ANAKIJUA NA ANAKIPENDA AKANIAMBI IKO NAKIJUA MZEE,MAANA YAKE NI BAKORA YA BAKANDJA!BAADAE NIKAMPA USHAURI AMATAFUTE JENERALI ULIMWENGU AFANYE NAE MOVIE KABLA MWAKA HUU HAUJAISHA KWANI MZEE HUYO NI HAZINA KATIKA MOVIE INDUSTRY AMBAYO HAITUMIKI ANAWEZA KUONDOKA NDIO MKAJA KUMBUKA MMEMKOSA,USHAURI ALIUPOKEA AKANIAHIDI ATAJITAHIDI KUFANYA HIVYO,NASIKITIKA HAHDI HIYO HATAWEZA TENA KUITEKELEZA KANUMBA.
  MARA YA MWISHO KABISA NILIMTUMIA LINK YA VIDEO YA KIBAO CHA WMMM KILICHOTUNGWA NA HERITIER “WATA” WATANABE,REMISE ET RAPRISE(TRESSOR MPUTU)….

  R.I.P. KANUMBA THE GREAT,DAIMA NTAKUKUMBUKA SWAHIBA

 8. Grace says:

  Kweli kifo cha kanumba kimetusikitisha sana. Tumepoteza mtu muhimu katika jamii na Taifa kwa ujumla. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. Amen

  • Kanumba mingu akuulaze mahali pema peponi.
   Lulu daaahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh sina la zaidi ila pole kwayaliyo kukuta.Umelikoroga lazima ulinywe ila usijali sana ilikuwa nimipango ya mungu ilishafika ila sasa wewe ukawa kama kigezo.POLENI NDUGU WA MAREHE STEVEN KANUMBA.TUNAMUOMBEA MUNGU AIWEKE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI AMINA.(BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LISHUKURIWE)

 9. Prince prop mjaki"prosper" says:

  O.M.G dah!dic can’t b serious…..R.I.P KANUMBA

 10. Anonymous says:

  Inalilah wainailah rajuun

 11. Anonymous says:

  dah!inna lillahi waiina ilahi rajiuun inshallah m.mungu mlaze panapostahili ktk makaazi mema kabisa

  • Xclussive lee says:

   Dah kiukweli ts pain na sinahakika kama kuna actor bongo mwenye vision kma ya kanumba wte mawazo yao ni ya hapa hapa tu nilikuwa namfatilia xana kanumba intervew zke zte alionekana mtu mwenye msimamo na mapenzi nimeshangaa kusikia sababu ya kifo chake ni mapnz tena na msichana ambye ni lulu dah!

 12. Mika says:

  I like kanumba yote mapenzi ya mungu mungu kachukua alicho kileta tumshukulu

 13. MIMI says:

  Mbona hamumzungumzii Lulu? Mnayaona mazuri tu ya huyo kanumba…nilini kaanza kulala na Lulu hatujui….sihukumu ila ni kifo cha aibu! tutakukumbuka ila ulikuwa na mengi nyuma ya Pazia.

 14. Zuweynah Jamal says:

  R.I.P THE GREATEST KANUMBA WE WILL ALWAYS REMEMBER YOU.!

 15. Anonymous says:

  Nilikuwa nikimuona kanumba nafarijika kama namuona marehemu mume wangu jinsi wanavyofanan kama ndugu, kifo cha kanumba kimenipa maumivu mara mbili ya kifo cha mume wangu. R.I.P Kanumba the Great.

 16. Anonymous says:

  Eeh mwenyez Mungu amlaze mahali pema peponi, Amen..

 17. Anonymous says:

  its a shocking and devastating story! Only him and Lulu know the truth.

 18. Anonymous says:

  Kanumba 2tazidi kukuombea kwa mola ulale pema peponi

 19. amina says:

  dah so painfull

 20. ameraly jiwa says:

  polen sana kwa msiba wa anko JJ

 21. getrude morrisy says:

  R.I.P KANUMBA…..Kweli hili ni pigo kubwa….

 22. hellen says:

  all is well…hakika.kifo hakina hodi.rest in peace kanumba.

 23. SONDO says:

  mungu amlaze pema kaka yetu na kipenzi cha wengi ndugu yetu STEVE

 24. Daud says:

  Bwana alitoa na bwana ametwaa jina la bwana nilibakiwe

 25. Aisha salum says:

  Kwakel nlish2ka sna nlipopata taarifa hii TBC1 dah ckuamin adi waliponyesha anaingizwa mochwar. Imeniuma sana. Aisha nipo Igunga, tabora.

 26. Mariam zuberi says:

  Inalilah wainailayh rjiuun. Daima tutamkumbuka na kufata nyayo zake

 27. sinnior says:

  May his soul R.I.P. we have to accept God’s choice coz HE needs him more than us.atleast we will rem him 4 making tanzania famous worldwide through his action.once again i give my condolense 2 his family.

 28. Gabriel muya says:

  Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.

 29. ROMANA SANGANA says:

  may your soul rest in peace….!! we loved you KANUMBA…we will always miss you.

 30. Anonymous says:

  R.I.P kanumba

 31. amir kitaa says:

  poleni sana ndugu na jamaa na marafiki kwa msiba wa kk yetu mpendwa katutoka katuachia majonzi makubwa mungu ailaze mahali pema pepon amen

 32. amir kitaa says:

  kila nfs itaonja maut kazi ya mungu haina makosa

 33. Agrey Uronu says:

  Hakika hatasaulika kijana huyu machon kwa walimwengu. Alifanya mengi sana katika jamii yetu. Kifo chake hakuna alie tegemea, yote n mapenzi ya Mungu. Nawaombea wanafamilia wote Mungu awape uvumilivu na ujasiri kwenye kipindi hiki kigumu.NYOTE POLENI SANA

 34. mungu amrehemu the great kanumba

 35. Inah lilah wa inah lilah lajuun may ur soul rest n peace dear brother stven charles kanumba.

 36. WEMA EMANUEL says:

  KANUMBA WIVU UMEKUPONZA umefariki umemwacha lulu duhhhh.RAY,JB,CHENI,TINO DR.CLOUD NA WENGINE WENGI WASANII WA KIUME HILI NIFUNDISHO KWENU NA DADA ZENU MNAO IGIZA NAO.FANYENI KAZI, WIVU WANINI KWANI WEE NDO WAKWANZA KWAKE.wasanii mmezidi umalaya hadi kuuana

 37. msemwa tarcisius says:

  It pains alot watu mhimu wanapotutoka,amekuwa akiburudisha nyoyo zetu thru films.R.I.P Mdogo wngu

 38. omar says:

  R I P KANUMBA.

 39. omar SEBBO says:

  rest in peace. KANUMBA

 40. UMMY FARHAN says:

  inah lilah wainalilah rajiun,,,,,,njia ya sote inshaallah mungu amuweke mahala pema pepon ameen,,,,,RIP KANUMBA

 41. 4 sure inasikitisha sana na haiaminiki but tuseme Mungu ndiye mwamuzi na kumlaumu ha2wezi.cjui nisemeje.wanafamilia poleni sana na mwenyezi mungu awafariji.sitoacha kusema mungu ametoa na mungu ametwaa jina lake libarikiwe.AMEN!

 42. makyambe says:

  nihabari ya kusikitika sana. pole sana wa tanzania mungu a muweke marehemu mahali pema

 43. Mwanaidy mahmoudy says:

  Tulikupenda anko JJ lakini mungu kakupenda zaidi nenda kapumzike kwa Amani KANUMBA

 44. salma says:

  anko JJ umetuachia pengo kubwa sana hatutakusahau kwa mambo uliyo yafanya kanumba kapumzike kwa amani amina

 45. barack jamaly says:

  kanumba nakutakia safari njema ndugu yetu mpendwa tulikupenda sana lakini mungu kakupenda zaidi

  • Yohana semwenda says:

   Poleni sana familia ya kanumba mungu awatie ujasiri, but nimapema mno kututoka km the great alikuwa na usiano wa karibu naLULU walifanya siri kubwa Hadi inavuja usiku mungu ndiye ajuaye sisi ni wake na kwake tutarejea kila la kheli Kanumba we miss u

   • Is there anything else I could read to learn more about this? I simply have to tell you that your posts are great. Your work is so epic that my ears bleeds when I read it. Incredible. Thx again.

 46. taus seleman says:

  Hakika hatasaulika kijana huyu machon kwa walimwengu. Alifanya mengi sana katika jamii yetu. Kifo chake hakuna alie tegemea, yote ni mapenzi ya Mungu. Nawaombea wanafamilia wote Mungu awape uvumilivu na ujasiri kwenye kipindi hiki kigumu.NYOTE POLENI SANA.

 47. Anonymous says:

  POLENI WAFIWA KWA MSIBA WA KANUMBA MUNGU AILAZE ROHO YA MALEHEMU PEPONI AME

 48. Faustine Maige says:

  Sometime nlikuwa nahic labda ataffuka tena 2endelee kumuona Kanumba lkn wapi! Ndoto zake zmezmka ka mshumaa, kazi zake nzuri alzotegemea kzitoa 2lzhtaji sana lakn ha2taziona. Mungu ailaze roho ya marehem mahar pema peponi amena!

 49. moses urban says:

  tumuombe mungu amlaze mahali pema peponi,ila kama sisi wanadamu tukumbuke safari yetu ni moja ila inanjia nyingi tofauti za kupitia,tujifunze kwa maripo ya mwenyez mungu anayo yatoa duniani,tuna waomba wasanii wetu mtupe nafasi ya kujifunza yaliyo mema kutoka kwenu msije mkaweka giza kwenye mioyo ya watu.

 50. impala hotel arusha inawapa pole sana ngugu na jamaa wa karibu wa Kanumba. tunasema tulimpenda sana lakini Mungu alimpenda zaidi. Bwana ametoa bwana ametwaa jina lake lihimidiwa.

 51. Anonymous says:

  Poleni ndugu jamaa na marafiki wa kanumba kwa msiba mzito uliowakuta mungu kampenda zaidi yetu,ila kifo chake kinakia huruma naamini sheria itachukua mkondo wake ipasavyo.

 52. Anonymous says:

  pole mama kanumba huna budi kuikabili hali, Mungu akutie nguvu mama yangu. naumia juu yako, ila Mungu we2 hapungukiwi naamini hatakupungukia mama.

 53. Anonymous says:

  kanumba Mungu aiweke roho yako mahali pema baba.

 54. Anonymous says:

  oh! kanumba we! umekuwa ukikonga nyoyo za wa dada, sasa duhhh.

 55. Anonymous says:

  kanumba ww umetangulia ss 2nafuatanyuma
  .

 56. Anonymous says:

  wote tunapita,Mungu ailaze roho ya marehemu steven

  kanumba mahali pema peponi,AMINA.

 57. Mpombe says:

  dah! hii ya R.I.P Kanumba inafanana na kile kifo cha Marehemu Mwanariadha wa kenya Samweli wanjiru, Mdogo kiumri,maarufu, kafia nyumbani ktk mazingira ya kutatanisha

 58. Anonymous says:

  R.I.P Kanumba de Great,W wl olwyz rmmber u..

 59. Japhim says:

  Kwa kweli Tanzania imepoteza mtu muhimu sana. Kanumba ameweza kupeperusha bendera ya Taifa. Hivi leo, ukienda Nigeria wanamjua Kanumba na wanajua ni Mtanzania. Marekani, Ulaya hata bara la Asia, Kanumba anajulikana kwa kazi yake ya kipekee. Ametupa heshima kubwa. Kwa kiasi kikubwa, Kanumba ameweza kuwapa waigizaji wenzake changamoto na matumaini ambayo yamepelekea tasnia ya filamu Tanzania kufikia hapa ilipo.

  Tutakukumbuka daima Steven Kanumba kwa ubunifu wako, kujiamini kwako na kipaji chako kwa ujumla. Mungu ailaze roho ya Marehemu Steven Kanumba mahali pema peponi.

  AMEN!

 60. Kusekwa says:

  Binafsi nimeguswa sana na msiba wa ndugu yetu ‘The great’kweli mapenzi balaa.Watanzania wenzangu tujifunze mengi kupitia hilo,sintomsahau kupitia crazy love.

 61. Euro i 4real says:

  Kiukweli ina pain sn kumpoteza super star km KANUMBA,,, kwan ni ngumu sn kumpata mwingine km yy ila haina jins tulimpenda lkn mungu amempenda zaid

 62. amisa says:

  mungu ailaze mahali pema roho ya kanumba. ila tanzania imepoteza mtu wa mahana sana

 63. amisa says:

  mungu ailaze mahali pema roho ya kanumba. ila tanzania imepoteza mtu wa mahana saaana jamani, inanitisha sana hali iyo

  • kanumba umeacha msiba mkubwa inaonyesha nijinsi gani watu walikuwa na upendo kwako.
   na wewe lulu kifuatacho ni kunywa sumu ufe kabla watu hawajakuua
   na risasi vidole hauwezi kuishi. kwani hata watoto wote watakuwa wakikusonta.
   pole sana mdogo wangu haina jinsi zaidi kuiacha hii DUNIA ya musa.

 64. Happyness says:

  Siamini kama kweli kanumba hamekufa

 65. Anonymous says:

  Kanumba the great hatutakusahau kipenzi na huyo lulu chake ni kifo tu hana nafasi hapa duniani

 66. Anonymous says:

  sio mtampigaje mwenzenu picha akiwa mochwari

 67. OWDENCALM says:

  Dah. R.I.P. KANUMBA THE GREAT. We will always miss you but only God knows the truth.

 68. Emmanuel E. Mrema says:

  Hard to beleave that the man is no mre. I loved him soo much but God loved him better. Now, this is a challenge to the teens. Work hard for better future. Truly, this guy was a hard working.
  Rest in peace Kanumba. I will nit forget you

  • SOJA SHEIZA says:

   NISIKU 2 ZIKIFIKA HUA HAZIZIDI WALA SIO UMALAYA VIFO VINGI VINATOKEA LAKI HAVISABABISHWI NA UMALAYA MUNGU AMPUNGUZIE AZABU WABINLAHI TAUFIQ

 69. Cecile says:

  Basi, kaka na ndugu yetu Kanumba, Mungu akupokee.

 70. am not ok for deth of kanumba but my comment is to sympanty those who love the great thank my name is seneda andrew at bunda mara also my hope i need 2 be more than thegreat so jesus help us those who need 2 be a aactors

 71. Anonymous says:

  Mungu ailaze roho ya kinara wetu wa films by nick

 72. mahundi jimi says:

  jamani jamani ukickia maumivu basi ndo haya!cdhani kama msaniii atakaefikia level ya kanumba atakuja tokea !bwana alitoa na bwana emetwaa, jina lake lihimidiwe

  • Anonymous says:

   I pinch my self haaaaard may be am wake up at this bad 9yt mare, now am realize this is not a mare is true u a real gone 4 real our Kanumba, i love u more and more up now am feel deeply pain…..ooooooh God give the stregth and wisdom of all overcoming dis pain…..R.I.P STEVE!!!!!!

 73. Anonymous says:

  MASHABOY A.K.A YEGO WA SAFARINI BURUNDI. MIMI NAANZA KWAKUSEMA KWAKUTOA POLE KWA WATANZANIA WOTE KUHU KIFO KANUMMBA

 74. RUANDA says:

  NAWAPA POLE SANA WATANZANIA WOTE MASHABIKI WA KANUMBA THE GREAT.MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI,AMEN

 75. Makubi salumu says:

  Tutakukumbuka daima milele ulale pema uko ulipo nasi njia yetu ni hiyo hiyo

 76. mariam says:

  poleni saaana wasani!!

 77. Man proposes,God disposes rest in peace Kanumba and God bless you for all doned under the sun before youare resting.

 78. JUSTINE KANYONY says:

  dah! that is how life goes bro R.I.P we all pray for you that your sins may be forgiven .

 79. my blog says:

  I loved as much as you’ll receive carried out right here. The sketch is attractive, your authored subject matter stylish. nonetheless, you command get bought an edginess over that you wish be delivering the following. unwell unquestionably come further formerly again as exactly the same nearly very often inside case you shield this hike.

 80. astermina says:

  kanumba kauliwa na nani?Nakama kauliwa na lulu ushahidi mmepata wapi?

 81. Kifo ni mpango wa mungu hakuna anaejua atakufaje. Rest in peace kanumba

 82. Gizzou says:

  Rest In Peace Steven Kanumba,we will always remember 4ur lovely movies!

 83. jumaila says:

  kapumzike pema kanumba

 84. hypolite says:

  r.i.p kanumba

 85. reenah says:

  Mmmmmh binadamu c kamili””yake yamrkwisha tusubiri yetu

 86. Mohammed kombemoja says:

  Kanumba awezi kusaharika..katika msanii wa filam hapa bonge nilie kuwa namkubari zaidi ni Kanumba..kazi zake bado zinaheshimika na zipo juu..mungu amlaze mahari pema pepon ndugu Siteven Kanumba.

 87. Anonymous says:

  kanumba hana kitu kwa m/mungu

 88. Derick says:

  R.I.P KANUMBA we miss you. by DERICK DRC

 89. Justin bravo says:

  R I P my brother kanumba

 90. tulikupenda sana kaka yetu bado pengo lipo

 91. Anonymous says:

  Kwakweli inasikitisha

 92. moureen sabugo says:

  Tunakaribia mwaka sasa tangu tumpoteze the great na bado machungu yapo vlevle kwel kanumba ni wa pekee R.I.P kaka

 93. Anonymous says:

  Pengo halita zibika R.I.P

 94. Yona onyango says:

  Mimi sinamengi yakusema nawapapole sana kwakutokwa na msanii tuliempenda steven kanumba:

 95. Salumu Dallaly says:

  mpaka leo nafsi yngu inaniuma sana kila nikimkumbuka, nampenda sana Kanumba. Pumzika kwa amani!

 96. Steven ferdinand says:

  Upumzike kwa amani mfalme wa bongo movie moyoni mwangu nimejenga msingi kwamba hata tokea kama kanumba

 97. Anonymous says:

  Hatuta msahau kanumba (alalepema pepon,ame)

 98. Len mathew says:

  Pole familia na daima 2ta mkumbuka rìp stve

 99. Anonymous says:

  mungu ailaze pepon roho ya kanumba

 100. FAUSTINE STIVINE says:

  mungu aulaze mwili wa stivine kanumba mahara pema peponi amina

 101. Maryann says:

  I blog quite often and I genuinely appreciate your content.
  The article has really peaked my interest.

  I’m going to bookmark your website and keep checking for new information about once a week. I opted in for your Feed as well.

 102. top says:

  Hey! Would you mind if I share your blog with
  my myspace group? There’s a lot of people that I think would really enjoy your content. Please let me know. Thank you

 103. Footbal says:

  Do you have a spam issue on this site; I also am
  a blogger, and I was curious about your situation; we have created some
  nice procedures and we are looking to exchange strategies with others,
  be sure to shoot me an email if interested.

 104. Today, while I was at work, my sister stole my iphone and tested to see if it can survive a 40 foot drop, just so she can be a youtube
  sensation. My iPad is now destroyed and
  she has 83 views. I know this is entirely off topic but I had to share it with
  someone!

 105. Lamont says:

  I enjoy what you guys are up too. Such clever work and exposure!
  Keep up the awesome works guys I’ve included you guys to blogroll.

 106. Jill says:

  Good day! This is kind of off topic but I need some help from an
  established blog. Is it difficult to set up your own blog?
  I’m not very techincal but I can figure things out pretty quick. I’m
  thinking about making my own but I’m not sure where to start. Do you have any points or suggestions? Many thanks

 107. Useful information. Fortunate me I found your website by accident, and I am surprised why this twist of fate did not
  happened earlier! I bookmarked it.

 108. This design is steller! You obviously know how to keep a reader entertained.
  Between your wit and your videos, I was almost moved
  to start my own blog (well, almost…HaHa!) Excellent job.

  I really loved what you had to say, and more than that, how you presented it.

  Too cool!

 109. Anonymous says:

  Video za mazishi ya kanumba

 110. Anonymous says:

  ha2wez kukusahau man kanuuumbaaaaaaaaa

 111. Generally I do not read article on blogs, but I would like to say that
  this write-up very compelled me to check out and do so! Your writing taste has been surprised me.
  Thanks, quite great article.

 112. top chef says:

  Pretty! This has been an incredibly wonderful article.
  Many thanks for providing this info.

 113. best buy says:

  Hello There. I found your blog using msn.
  This is a very well written article. I’ll be sure to bookmark it and return to read more of your useful info. Thanks for the post. I’ll
  certainly comeback.

 114. loan depot says:

  Hi there, always i used to check web site posts here in
  the early hours in the break of day, as i love to learn more and more.

 115. I leave a response when I appreciate a post on a blog or if I have something to
  valuable to contribute to the conversation. It’s triggered by the sincerness communicated in the post I read. And after this article Picha za Mwili wa Kanumba ukiingizwa Chumba cha Maiti Muhimbili. | Spoti na Starehe. I was actually moved enough to drop a comment 🙂 I do have some questions for you if you do not mind. Is it simply me or does it seem like a few of the responses look like they are written by brain dead visitors? 😛 And, if you are writing on other social sites, I would like to follow you. Could you list all of your public sites like your Facebook page, twitter feed, or linkedin profile?

 116. Anonymous says:

  Oya daudi umeshajua kuhusu kifo cha kanumba au bado

 117. daaaaaaah’ i wil neva 4get him in my lyf

 118. Anonymous says:

  Du co utan yatisha.

 119. Rabson says:

  Mambo rafiki mzima

 120. DAWSON KILOLO says:

  Dawso Kilolo wa tegeta.
  Hiv ngear alikuwa mke. kama alikuwa naye itakuwaje kuhusu maisha yake?
  RIP Mangwear- mungu alitoa,mungu mungu ametwaa tuseme “AMINA”‘

 121. MUNGU AILAZE LOO YAMALEHEMU STIVIN KANUMBA MAALI PEMA TUTAMKUMBUKA KWAKAZI ZAKE DUNI.

 122. Anonymous says:

  Hii mitandao kutuma picha zaajabu zinaifundisha nini jamii

 123. Eddy kiliziman says:

  Mungu ibariki roho yakanumba

 124. Anonymous says:

  Tutakukumbuka Daima Jembe La Kazi R.I.P.

 125. deleted says:

  Why Brother K Hujatuaga

 126. azan khalid says:

  R.I.P. JEMBE

 127. peter john says:

  rest in peace bestbest

 128. Ngeya Thomas says:

  Yote kwa yote achen kumlaum lulu kwan no one is perfect except sir god.R.I.P KANUMBA.

 129. Anouar brown says:

  tangu alipo kufa bingwa filamu steven kanumba sasa hivi wanatunga utumbo mtupu filamu hazina mvuto kabisa

 130. Frd mwendwa says:

  Polen xana wa t.z na lulu uombe xana ivyo vilio kwa ulimwengu mzima ni laana omba hakuna dhambi isiosamehewa

 131. Ni mipango ya mungu lakini lulu kuwa ukiomba mungu wako ucku na mchana

 132. fadhili tele says:

  mungu ailaze roho ya kanumba mahali pema peponi,amen

 133. Edgar mwamasika says:

  Kanumba lilikua jembe la filam za tz nafasi yake haitazibika mungu aibariki roho yake.

 134. masokola says:

  mbele yake nyuma yeu,
  kazi ya mungu haina makosa.

 135. HUSSEIN NJENJE says:

  USIZUNGUMZE KITU AMBACHO HUNA HUAKIKA NACHO

 136. Anonymous says:

  Siamini Macho Ya Ngu

 137. Alex says:

  Ckilizen ki2 nimekaa kimya muda mref ili huo uchungu ucyo na mcng uishe mi nasema hv huyu kanumba amekufa na pombe na zinaa ndiyo alikua kaz yake kubadl wanawake alkua ktomb nmtu ambae ange pelekea maambukz ya umwk hana mana hata rob bora kuna wa2 wangap wa mana na muhm wanakufa.

 138. Anonymous says:

  Bitch what do u gain/loose by his presence/death???

 139. Anonymous says:

  sija ipenda kufa kanumba

 140. Ramadhan says:

  Mungu ailaze roho ya marehem mahala pazur

 141. Anonymous says:

  jaman inauma sana kumpoteza mkonga myoyo ya wa2

 142. hashimu says:

  pole sana mama kanumba

 143. SAMSON says:

  MIMI SIELEWI HAMNA YAKUSEMA MBONA HADI LEO PCHA ZA MUWILI WAKANUMBA BADO ZIPO

 144. pisachi says:

  hivi kwanin mnapenda kumuonyesha picha zake baada ya kumuombea dua marehemu

 145. kizuguto mrutu says:

  kiukwel pengo la kanumba halitazbika

 146. Anonymous says:

  No one lk kanumba

 147. Tina joseph says:

  Marehem tulimpenda lakin mungu kampenda zaidi. Amen

 148. love says:

  This wrld iz nt our hom

 149. love says:

  Hakika hakuna linalopingwa mbele za Mungü, akiongea ameongea and no 1 can stay 4rever 4this world 2muombe xana Múngúد kwan ha2jui n lin ck ye2 kwan yey hachagui Màskiní wala tajir …..Daíma 2tamkumbuka Ndugu ye2 mpendwa Steven Kañumbá.. R.I.P

 150. love says:

  Alyoyapanga Mwenyeenz hakuna wa kuyapinga…. Mungu mtangulie Mwanao Kanumba…. U2samehe na cc maovu ye2 .In Gód~ we Trùst<..

 151. love says:

  2chukulie mfano kwa kaka ye2 huyu,,,اDunia ina mwisho wake….Ni more than païñ@

 152. love says:

  Roho ínáüma xanaáá…Eè دMungú 2saídíe cc wánáó …..R.i.P big brother

 153. Anonymous says:

  I WILL LOVE KANUMBA FOREVER EVER

 154. stivin says:

  jaman 2sihuzunike sana coz mungu alitoa na mungu ametwaa jina lake lihimidiwe amen

 155. Tumekukumbuka kwel Kanumba, mungu akulaze pema peponi the gret.

 156. tanga says:

  polen xana watanzania coz mwenyez mungu amechukua mali yake

 157. Anonymous says:

  oh niaje omy nieshiwa pozi kwa ajal hii

 158. abisai says:

  jamani nirikuwa nasema usupa star unakuja kutokana nakazi yako nzuri nasio kimadawa kama kanumba mshahara ndouwo sasa kapata nini kakosa vyote duniani

 159. Sunday Moshi says:

  Ninataka prado piston4yamwaka 2006nyeupe ya petrol shilling ngap?

 160. Michael says:

  Polen sana

 161. Anonymous says:

  Welaaaa

 162. dainec says:

  siwez kumsahau kanumba kilahs mana nikiziangalia hata picha zake lo inaniuma sana ila lulu namuombea mabaya dunian

 163. Anonymous says:

  RIP STEVENE KANUMBA “GOD PROTECT YOU WHERE YOUR

 164. king phily says:

  R.I.P tutakukumbuka milele

 165. Kenty says:

  Ts almst two yearz since t hav gone. I wl never 4get u, u wl 4rever live. Rest In Peace bro

 166. HOSEYA says:

  Polesana,enyiwatanzaniawote.VIpichamachenu?JEnifa~Patricke

 167. Prince G jr. says:

  R.I.P

 168. witness says:

  vp mambo yak uko poa kbs nipe habar

 169. witness says:

  oyaa lala salm wote tunakuj huk tu ndio sehem yetu wote

 170. kanumba nipigo kubwa kwa taifa le2 kwani sioni kama kutatokea msanii wa kuweza kumsahau kanumba

 171. sharon aidan says:

  mungu ailaze roho ya marehem pema pepon

 172. sharon aidan says:

  mungu ametoa na mungu ametwaa

 173. sharon aidan says:

  bwana ametoa na bwana ametwaa

 174. Prosper Juma says:

  ukweli mwanadam ni maua….tunatakiwa kuwa tayari wakati wote…tatizo sio kufa kwa kanumba, bali ni kifo cha kanumba…ndiyo chenye machungu sana kwa watanzania…na maswali mengi ambayo hayana majibu…tumwachie MUNGU mwenye haki. pengo lake halitazibika kwa kweli.

 175. Husen miro says:

  Duh!!!! bad ha2jamsahau jemb l2

 176. innalilah wainnalih rajiun,hakika allah subuhanah wataara kashasema kila nafsi itaonja umaut na ama hakika atabaki ye2 allah subuhanah wataara,sina budi kuwapa pole ndugu na jamaa kwa msiba wa ndugu ye2 stephen kanumba pole saaana ila ni kazi ya allah.

 177. Anonymous says:

  Dah! Bado Xijaamin Kabixa

 178. Anonymous says:

  Mungu amuongoze marehemu kanumba alikuwa na marafiki wengu waliyo mupenda kupitia tansinia ya filamu lakin lulu naye ci auwawe shelia inaxema m2 akimuua mwenzake naye hauwawe lakini mahakana inamuachia kama hawawezi kazi wafukwuze mara moja by beza platinumz

 179. Anonymous says:

  kanumba afanye kazi yake kwa shetani wake fri.masoni vizuri tuu

 180. katemi bujashi says:

  tulikupenda sana mungu kakupenda zaidi RIP brother

 181. Anonymous says:

  yote maisha

 182. Anonymous says:

  kweli kanumba alitisha

 183. Anonymous says:

  ITC TRUE WE CAN SEF NOTHING AT 9T

 184. Anonymous says:

  ITC TRUE WE CAN SEE NOTHING BUT SOMEHOW AT 9T by thadei

 185. Anonymous says:

  MAISHA YA EWAI

 186. Anonymous says:

  Dar majanga

 187. Anonymous says:

  Du freemason noma.

 188. Jacksoni says:

  Poreni sana wanandugu

 189. Anonymous says:

  sote tutakukumbuka

 190. Anonymous says:

  Mungu akueke sehemu salama

 191. Anonymous says:

  Nitaendle kumkumbk kanumba

 192. Anonymous says:

  Nitaendle kumkumbk kanumba By frank kogo

 193. Anonymous says:

  bwana ametoa bwana ametwaa jina la bwana libarikiw

 194. Anonymous says:

  kama kufani kwenda mbingu bac wanao kufa mungu awe pamoja nao

 195. HAPPYNESS says:

  MUNGU AILAZE ROHO YAKEA MALI PEMA PEPON AMIN

 196. Anonymous says:

  r.i.p kanumba tulikupenda pia tulikuitaji kipenzi cha watanzania na afrika kwa ujumla but mungu alikupemda zaidi mungu akupe mapumziko mema ya milele amina: by dotto nyarutu .com@:

 197. Anonymous says:

  moyo wangu unauma sna kanumba kutokuwepo kwenye tasinia ya bongo movie mungu amuweke mahalipema pepon amne. kutoka kwa juma 4 goha!

 198. JAMANI ACHENI KANUMBA ALALE MAHALI PEMA.

 199. Anonymous says:

  kweli kanumba nialiku masoon

 200. Anonymous says:

  Arazwe pema pepon my bro…..by khamic almas.

 201. ann says:

  kanumba pole sans mungu akulanze mahali pema peponi

 202. Anonymous says:

  Kifo cha kanumba kimeacha pengo kubwa sana kwenye tasnia ya filmu bongo.hakika mungu ailaze pema roho ya marehem.amen

 203. ISSA BACAR says:

  picha za mwili wa kanumba

 204. Anonymous says:

  Poleni Famiria Ya Kanumba Ila Lulu Unatakiwa Kutambua Kua Ni Mitihan Ya Dunia

 205. Anonymous says:

  Sitaisahau siku hiyo kanumba alipo tutoka
  enock

 206. mwaney says:

  am hapy ma lovely lulu kaachiwa…!lala pema kanumba

 207. samwer says:

  emugu. musamehe kanumba huko Marko.

 208. willsony says:

  poleni sana bana kato bwana katwaa

 209. so vizuri kuningania mtu,ata kwasasa ivi mimi si jamini kwamba msanii kanumba amesha tuacha,kweli ni vigumu kwakuelewa siri ya mwenyezi mungu,tumuachiye yote molah ndo ana juwa ukweli wa maisha ya binadamu

 210. idi saidi says:

  kwakwel mimi nashangaa mtu mnamuombea dua mtu ambaye ni kafiri hajamkubal muumba mbingu saba pasina nguzo huyo ni moton

 211. Anonymous says:

  rest in peace kunumba

 212. belinda says:

  rest in peace kanumba

 213. daudi says:

  ni amshaaaa&

 214. KTK MAISHA YA MWANADAMU MWENYEZI MUNGU ANAJUA KILA KITU nina toa pole kwa ndugu wa marehemu steven kanumba mm na kanumba tulikuwaga marafiki wa kujati na mm baada ya kifo chake nilimwambia nna penda kuigiza na mm nilikuwa nimesha adika story nyingi sana kwenye kauta book na nikamwaidi kuigiza nna weza sana na akanikubaria siku moja nilimtumia story ya maisha ya vijana watatu ndugu masikin wakafanikisha waka msaau mama yao na story marehemu kanumba aliipenda sana na akadai atanitafuta na nikimaliza kidato cha nne ananipeleka chuo cha uingizaji kaole na akadai atanisaidia ktk maisha yangu siku ya mwisho kuzungumza nae marehem kanumba siku moja baada ya kifo chake alida atanisaidia na akanishauli mwenyewe alipo pitia na maisha aliyo pitia magumu akaniambia nisikate tamaa ktk maisha na mm nikamkubaria na mungu amulaze maari pema peponi rafiki yangu steven kanumba ameni na atutakuona kamwe daima rafiki yangu mpenda ? na mtu atakaro ziba pengo la kanumba ktk dunia hii ni mm rafiki yake mpenda na aliniachia mkono w

 215. salum usega says:

  kila nafsi itaonja umaut

 216. Anonymous says:

  mbele yake nyuma yetu

 217. H.One says:

  Mungu ailaze pema pepon roho ya kanumba.

 218. Anonymous says:

  Namkumbuka Xana xitamxahau

 219. Anonymous says:

  bado namkumbuka kanumba

 220. BARAKA says:

  Yani ulichokfanya bc tu.

 221. Tutaendelea kumkumbuka msanii wetu daima

 222. Rose osita says:

  I cnt realy believe kanumba is dead, he was and stil is my favourite actore in Tanzania, my ur soul rest in peace steve.

 223. Anonymous says:

  mungu ailaze roho ya marehemu pepon amen.

 224. Ayub ramadhan by mwanzaTZ says:

  Tutakuku mbuka sana br

 225. Anonymous says:

  PUMNZIKA DOGO HUKO HULIKO NDO KWENYE HAKI

 226. Anonymous says:

  kwanini kamumba alikufa

 227. Anonymous says:

  kazi yamungu aina makosa bwana ametoa na ametwaa sisi wote niwakupita navyote nivyaku pita

 228. 0656322919 says:

  Kilamtu amepangiwa sikuyake ya kutoeka duniani yote mipango ya mungu

 229. Anonymous says:

  Pollen

 230. Anonymous says:

  kanumba alikuwa fremaison

 231. Anonymous says:

  Mungu ailaze loho ya marehemu kanumba mahari pema peponi

 232. Anonymous says:

  wasanii tnapaswa kfata nyayo za kanmba

 233. Anonymous says:

  INASIKITISHA SANA

 234. lavie murheme says:

  kwanini kanumba akufe bila mtoto?

 235. Anonymous says:

  jamani tumezika wa ngapi sembuse hicho kijikanumba acheni maswala ya kufirwa na maiti

 236. isaya says:

  gari nyumba na pesa

 237. Anonymous says:

  Alale Pema PePon

 238. 0656334316 says:

  mungu amlaze peponi nasisi tunakufatia yuma yako

 239. kos boni kips kosgei says:

  waah! ya mungu n mengi cna la ziada ila nawaomba 2 mkaze nyoyo znu wpnz wa kanumba mtktna naye cku moja.R.I.P BIG DADDY!?

 240. kalma says:

  ina lillahi wainailayhi rajiuun, mw mungu akurehemu ishaallah

 241. Jamani mungu awaweke mahali pema peponi amy!!!.

 242. ashanti says:

  ina niuma sana kifo cha kanumba

 243. Anonymous says:

  ni kweli kanumba ame fariki na sikitika nikiona mshezo wake

 244. 0977013892 says:

  omari naishi mjini kindu nina shida yakuwa mwanachama 0977013892

 245. vanesa mush says:

  haionyesh pouw hzo photo

 246. Hae Mm N Collins Ktka Kenya Polen Xana

 247. noby kreaser says:

  da mungt ndo muweza wa yote

 248. Rajab says:

  Inalilah wainalilah rajihhun

 249. Anonymous says:

  tulimpenda watanzania wote lakini mungu kampenda zaidi mungu ailaze nahali pema peponi

 250. STIVIN JOSEPH says:

  tulimpenda watanzania wote lakini mungu kampenda zaidi mungu ailaze nahali pema peponi

 251. rents Bikes

  Picha za Mwili wa Kanumba ukiingizwa Chumba cha Maiti Muhimbili. | Spoti na Starehe

 252. friver says:

  Clique aqui

  Picha za Mwili wa Kanumba ukiingizwa Chumba cha Maiti Muhimbili. | Spoti na Starehe

 253. I have bookmark your website and also include rss.

 254. Thanks for your personal marvelous posting! I genuinely enjoyed reading it, you might be a great author.I will ensure that I bookmark your blog and may come back in the future. I want to encourage yourself to continue your great posts, have a nice morning!

 255. ARTA CHA STA says:

  KWA NI NI KA NU MBA,ALIE NDA
  KU ZIMU NI ?

 256. OLIVER ETYANG says:

  LET GOD BE WITH YOU FOREVER.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: