Hatimaye Michael Jackson azikwa!

image Hatimaye mwili wa mwanamuziki Michael Jackson ulipumzishwa hapo jana katika makao yake mapya ya milele huko kwenye makaburi ya Forest Lawn Cemetary moja ya maeneo ya maziko ambayo watu maarufu huzikiwa na kuhudhuriwa na watu maalum ambao walibahatika kupata tiketi kwa ajili ya shughuli hiyo.

Huku mazishi yake yakikusanya mamia kwa maelfu ya waomelezaji waliokusanyika kwenye ukumbi wa Staples Center huko Los Angeles ambapo mamia kwa maelfu ya waombolezaji walishiriki kwenye ibada maalumu ya kumuombea Michael Jackson kabla ya safari yake ya mwisho.

Kwa mujibu wa mchungaji Jessey JAckson Michael alizikwa kwa taratibu za dini ya Mashahidi wa Yehova jambo ambalo limetengua kitendawili kuwa Michael alikuwa amebadili dini.

Pata baadhi ya matukio ya shughuli hiyo kwa mujibu wa picha. Picha zote na AP

image

Mwili uliobebwa na kaka zake ukiwasili eneo la mziko

image

Magari ya msafara wa maziko yakipangwa

image

Rolls Royys 5 ambazo zilibeba ndugu wa karibu wa hayati Michael Jackson

image

Gari lililoubeba mwili wa Michael Jackson

image

Mwanamuziki Mariah Carey na Trey Lorenz . wakiimba kibao cha Marehemu Jackson kwenye miaka ya 1970  kinachokwenda kwa jina la  "I’ll Be There" huko Staple Centre – Los Angeles wakati wa ibada ya kumuaga Michael

image

Mwanamuziki Usher akiimba wimbo wa "Gone Too Soon", huku akiangalia jeneza la mwanamuziki Michael Jackson.

image

ParisMichael mtoto wa kike wa Michael Jacskon alishindwa kujizuia kwa machozi alipokuwa akisema jambo kwenye ibada ya kumuombea baba yake.

image

Wimbo wa We are the World ndio ulikamilisha ibada ya kumuombea na safari ya mwisho kwa kuimbwa na watu wote.

Bwana alitoa na bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe- Amen

Advertisements

6 Responses to Hatimaye Michael Jackson azikwa!

 1. Anonymous says:

  Hiyo ilikuwa ni memorial tu sio maziko kamili, hayo yatakuwa private…nyie waandishi muwe mnaandika habari sahihi sio za kubabaisha tu.

 2. Anonymous says:

  R.I.P.  MJ

 3. Ndambo says:

  We mwehu hapo juu si usome story imesema kwenye makaburi ya Forest Lawn ,…. msifanye watu wajing na we we utakuwa nje tuu soma vizuri na uweke jina kama mimi tumechoka na ma Anonymous

 4. Então ⅼiգue em Obter Ideіas”. Métricas e relatórios.

 5. Nice details, fantastic and beneficial style, as share good things with superior tips and concepts.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: