Nakuletea vumbi la mzee mshairi (Poete) na lalamiko la mwanamke aliyetoswa na Dodo baadae anataka mume anataka B.C.B. Baby come back wakati mwenzie kampata P.D.G

April 2, 2012

NAKOMA NA P.D.G

COMPOSITEUR-DE LUTUMBA SIMARO-MASIYA

BAND- T.P. OK JAZZ

Baniel and Nana (Chanter)

Lobi tosololaki mingi napokwa, Nasima nga nakei kolala, Kasi Na butu nayoki pongi Te, Nakomi komituna soki ya solo.

Jana tulizungumza Sana, Baadae nilikwenda kulala, Lakini sikupata usingizi, Nikiwa najiuliza Kama Ni kweli.

Lisolo omemelaki ngai, Nakomi kobanga soki pe baloki ngai Te, Zua nini yokosalela nga, Tokabwana kala yo osi obala.

Habari aliyoniletea, Nikifikiri nimerogwa, Wivu gani unaonifanyia, Tumetengana muda mrefu Na sasa nimeshaolewa.

Na motindo nga nayamba yo kanisaka, Oyaka se kotala muana, Lelo olukeli nga mindondo, Olobi tozongana Dodo nakamwe, Nazalaka nde occupee babala nga kala nakoma Na P.D.G

Kwa jinsi nilivyofikiri unakuja nyumbani kuona Watoto, Leo umeniletea matatizo, Unasema turudiane nashangaa, Sasa nimeshaolewa Na P.D.G

Lobi tosololaki mingi napokwa, Nasima nga nakei kolala, Kasi Na butu nayoki pongi Te, Nakomi komituna soki ya solo.

Jana tulizungumza Sana, Baadae nilikwenda kulala, Lakini sikupata usingizi, Nikiwa najiuliza Kama Ni kweli.

Lisolo omemelaki ngai, Nakomi kobanga soki pe baloki ngai Te, Zua nini yokosalela nga, Tokabwana kala yo osi obala.

Habari aliyoniletea, Nilifikiri nimerogwa, Wivu gani unaonifanyia, Tumetengana muda mrefu Na sasa nimeshaolewa.

Na motindo nga nayamba yo kanisaka, Oyaka se kotala muana, Lelo olukeli nga mindondo, Olobi tozongana Dodo nakamwe, Nazalaka nde occupee babala nga kala nakoma Na P.D.G

Kwa jinsi nilivyofikiri unakuja nyumbani kuona Watoto, Leo umeniletea matatizo, Unasema turudiane nashangaa, Sasa nimeshaolewa Na P.D.G

Nalatisa yo ata mpalata, Bolingo esili makambo eleki napemisa ata moke nzoto, noki nakufa mpo nayo.

Je nikuoneshe hati ya ndoa, Mapenzi yameshakwisha migogoro ilizidi nipumzishe kidogo mwili, Nisije kufa haraka Kwa ajili yako

Napekisaki yo nzela wana, Au lieu otika olandi kaka Na juger kaka yo olingaka ngai Te, Tovandi bolingo ya presence.

Nilikukataza njia hiyo, badala ya kuacha uliendelea tu, Nikaelewa kwamba ulikua hunipendi, Tuliishi mapenzi ya dalili.

Dodo Papa aaah, Makambo matondi Na Motema nakamati decision bolingo Na mayi Na miso mama aah, Dodo Papa bolingo ezalaki na motema soki na decourager mbote ezalaki epai nayo .

Dodo Baba aaah, mambo ni mengi nimeamua mapenzi yalikua ya mashaka…………………..

Nalakisaki yo patience, Okanisaki nazali zoba, Nazalaki se koyebisa mokolo ezali nakoboya yo.

Nilikuonesha uvumilivu, ukafikiri Mimi bwege, Nilikua nikuambia iko siku nitakukataa.

Nalakisaki yo fidelite, Okanisaki nga natula, Lelo oyo nga yo nabali, Dodo Nasengi obosana nga, Dodo Papa motema ozali moko napesa Na P.D.G. Wapi moyen nga natromper ye Tika ko regretter mi na faute na munu vie kanga motema bosana ezali b’erreurs ya lavie

Nilikuonesha uaminifu, ukafikiri sina uwezo WA kupata mwanaume mwingine, Leo nimeolewa Dodo nakuomba unisahau Dodo Baba moyo Ni mmoja nimeutua Kwa P.D.G vipi nimdanganye, Acha kujutia makosa…………….

Dodo Mwasi azalaka Zoba te, mwasi akanisaka……………….

Dodo mwanamke hawezi kuwa bwege, mwanamke anafikra ……..

Mnamkumbuka huyu?

April 2, 2012

image

Anaitwa Beevans Gatho,ni mwanamuziki kutoka jamhuri ya kidemokrasia ya watoto wa Congo ambae alitamba sana kwenye miaka ya tisini na vibao ngama ngoma ya kwetu,Azalaki Awa na vingine vingi amabavyo vilipigwa sana enzi hizo kwenye redio stations,majumbani na kwenye sehemu mbalimbali za starehe.

Ghato wa Enzi hizo.

Gatho aliyezaliwa Congo kama nilivyosema awali hapo juu,alianza harakati zake za muziki kwenye miaka hiyo ya 90’s na “Zouk machine” Tshala Muana, anadai aliandika nyimbo yake ya kwanza akiwa na umri mdogo ‘Lili’ akiwa na umri mdogo sana wa miaka 6….!

Baadae kwenye miaka ya katikati ya tisini alifanikiwa kutoa albua yenye nyimbo nilizozitaja hapo juu ambayo ilipata mafanikio makubwa sana na kuwashangaza wakongwe wa muziki wa congo ambako Ghato hakua maarufu kabisa wakati huo.

Lakini kutokana na migogoro ya kisiasa isiyoisha ndani ya nchi yake ya Congo,Ghato aliamua “kujilipua” kwa kuhamia Marekani ambako ameweka makazi yake huko Georgia,Atlanta ambako anaendelea na shughuli za muziki japo amaekua hasikiki sana sehemu nyingi duniani….

Hapo kuna kazi yake ya zamani ambapo kama umemsahau au ulikua ukizifahamu tu kazi zake lakini mwenyewe humfahamu sawasawa basi itakua fursa nzuri kwako kumfahamu ama kumkumbuka na pia kuona anafanya nini kwa sasa.

Ghato wa Sasa.

Huyu ndio Beevans Ghato wa enzi hizo…

Huyu ndiye Sir Alex Ferguson na Man U yake

April 2, 2012

image

Sir Alex Ferguson amekaa man Utd kwa mda wa miaka 25 sasa, angalia chat hii uone jinsi vigogo kadhaa barani ulaya walivyobadilisha makocha mara nyingi ndani ya mda huo wa miaka 25 aliodumu SAF.

Kijasti amaliza mafunzo Mexico

April 2, 2012

image

Mchoraji maarufu nchini Nathan Mpangala ‘Kijasti’ (wa pili kushoto), akipokea cheti kutoka kwa  Ivan Marovic wa Serbia mara baada ya kumaliza mafunzo yao na kuandaliwa hafla kubwa ya ufungaji jana.  Kushoto kwake  ni Katie Halper wa Marekani ambapo hafla hiyo ilifanyika katika Jiji la  Mexico  kufuatia mafunzo ya uandishi wa habari, unaohusiana na Harakati za Kijamii Zisizo na Umwagaji Damu.

Nathan majuzi alishinda tuzo kwenye Tamasha la Habari na kuwa Mchora Katuni Bora.

image

Nathan Mpangala (Kijasti), akiagana na Mratibu wa Mafunzo hayo, Gregory Berger wa Marekani mara baada ya kumaliza.

Jide akiwa na Lauryn Hill

April 2, 2012

image

Mwanamuziki

Judith Wambura aka Jide akiwa amepozi na mwanamuziki  Lauryn Hill huko Cape Town Africa ya Kusini alipokuwa katika shughuli zake binafsi za kikazi. Jide kwa sasa yuko jijini ambapo moja ya kazi alizofanya baada ya kurejea ni kuzindua albamu yake ya 5 The Best of Lady Jay Dee. Jide alimsifia mwanamuziki huyo nguli kwa kusema maneno matatu tu ambayo yana maana kuwa “…she is natural, beautifull, and so amazing” Alimalizia Jide kupitia mtandao wake wa Facebook.

%d bloggers like this: