French national football team

August 31, 2010

image

French national football team poses for a family photo on August 31, 2010 at their training camp of Clairefontaine-en-Yvelines, southwest of Paris, ahead of their opening Euro 2012 qualifiers. Top, from 5thL : Vassiriki Diaby, Alou Diarra, Cedric Carrasso, Hugo Lloris, Steve Mandanda, Guillaume Hoareau, Mamadou Sakho. 2d row, from 5thL : Yohan Cabaye, Gael Clichy, Yann M’Vila, Anthony Reveillere, Loic Remy, Florent Malouda, Louis Saha. 1st row from 4th L : Mathieu Valbuena, Kevin Gameiro, Jeremy Menez, Karim Benzema, coach Laurent Blanc, Adil Rami, Philippe Mexes, Benoit Tremoulinas and Bacary Sagna. AFP PHOTO BORIS HORVAT


Msimamo wa English Premier League kwa sasa.

August 31, 2010

image


MwanaFA Feat AY & HardMad – Dakika Moja

August 30, 2010

Solo Thang na falsafa za Mwalimu.

August 30, 2010

image

Solo Thang aka Msafiri aka Traveler ni mmoja wa wanamuziki wanaotumia sana falsafa na muziki wao unaweza sema ni wa ki harakati zaidi kama alivyo Mr II na wengineo wenye muelekeo huo. Tuliwahi kufanya naye mahojiano kipindi cha nyuma ukutaka kujua zaidi gonga hapa.


Prof Jay atemebelea Makaburi ya Bruce Lee na Brandon Lee huko Seattle

August 30, 2010

image

image

Mwanamuziki Heavy Weight Mc Prof. Jay wa mitulinga akitoa heshima zake kwenye kaburi la mcheza Kung Fu mahiri Bruce Lee na Mwanaye Brandon Lee huko Seattle Marekani hivi juzi kati.

Hii ilikuwa ni kabla ya show ya Prof. Jay huko Seattle jumamosi hii, show ambayo ilihudhuriwa na watu wengi sana wa mataifa mbali mbali. Unatisha mzazi.


AC Milan yamnyaka Zlatan Ibrahimovic

August 30, 2010

image

kifaa kipya cha AC Milan Zlatan Ibrahimovic wa Sweden akiwa ameshika jezi yenye jina lake baada ya kusaini mkataba na klabu hiyo. Hii ilikuwa wakati wa mapumziko ya mechi ya AC Milan na Lecce iliyopigwa kwenye uwanja wa Milan San Siro stadium.

image

AC Milan President Silvio Berlusconi (L), AC Milan’s sporting director Adriano Galliani (2nd L), AC Milan’s Swedish forward Zlatan Ibrahimovic (2nd R) and his manager Mino Raiola attend the Serie A football match AC Milan vs Lecce at San Siro Stadium in Milan on August 29, 2010.

image


Maandalizi ya Kombe la Dunia Brazil 2014 yapamba moto

August 30, 2010

image

Uwanja wa Fonte Nova wa huko Salvador Brazil ukilipuliwa kwa baruti kwa ajili ya kupisha ujenzi wa uwanja mpya ambao utatumika kwenye michezo ya 2014 ya kombe la dunia huko Brazil.


%d bloggers like this: