Nasreem Karim avikwa Taji…

August 3, 2008
Miss Tanzania 2008 akiwa na washindi wengine wa 5 bora.

Miss Tanzania 2008 akiwa na washindi wengine wa 5 bora.

miss vodacom tz 2008 nasreem karim akifurahia ushindi akiwa na mshindi wa pili sylvia mashuda (shoto kwake) wa tatu pendo laizer (kulia kwake) na mshindi wa tatu ambaye pia ni mshindi wa taji la balozi wa redds 2008 angela luballa na wa tano fay anthony (shoto, wima) Picha na Michuzi


Pozi hilo…!!

August 1, 2008
Mmoja wa waremb o wanaowania taji la Miss Tanzania 2008 katika pozi.

Mmoja wa waremb o wanaowania taji la Miss Tanzania 2008 katika pozi.


Burudani kedekede Miss Tanzania 2008

July 30, 2008

Twanga, Minanawe, Chameleon, Wanaume, Wazee wa Ngwasuma kutumbuiza

Vimwana wanaowania kinyang'anyiro cha miss Tanzania 2008, wakiwa katika picha ya pamoja kambini kwao Bagamoyo, Picha na GPL

Vimwana wanaowania kinyang'anyiro cha miss Tanzania 2008, wakiwa katika picha ya pamoja kambini kwao Bagamoyo, Picha na GPL

Bendi za bendi za FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’ na African Stars ‘Twanga Pepeta, Mina Nawe kutoka Afrika Kusini, Jose Chameleon wa Uganda, Wanaume Family, Wanne Star na kikundi cha THT. ni vikundi ambavyo vitatoa burudani wakati wa kilele cha mashindano ya Miss Tanzania 2008.

Wakiongea wakati wa kutaja viingilio kwa mtanange huo, Kamati ya Miss Tanzania ilisema viingilio cha kuona fainali za mashindano hayo Agosti 2 mwaka huu kitakuwa sh. 100,000, sh. 80,000 na cha chini kitakuwa sh. 35,000. Read the rest of this entry »


Mamiss na mguso wa jamii…

July 29, 2008
Mamiss na mguso wa jamii

Mamiss na mguso wa jamii

Washiriki wa Miss Tanzania 2008 wakizungumza na mtoto aliyejitambulisha kwa jina moja la Josephine, aliyekuwa anatoka kuokota kuni katika vichaka vya Mjimwema Kigamboni Dar es Salaam juzi. Warembo hao walikuwa kwenye ufukwe wa South Beach katika maandalizi ya shindano lao linalotarajiwa kufanyika Agosti 2, mwaka huu. (Na na HabariLeo).


Mwali kamuona mwali…

July 24, 2008
Warembo wa Miss Tanzania, Picha na Father Kidevu

Warembo wa Miss Tanzania, Picha na Father Kidevu

baadhi ya warembo wanao wania taji la Vodacom Miss Tanzania 2008 wakiwa katika picha ya pamoja katika gari ambalo mshindi wa kwanza atazawadiwa. gari hilo Suzuki Grand Vitara linathamani ya sh milioni 42.


%d bloggers like this: