KWELI KOFFI OLOMIDE KAKOPA KWA JB MPIANA DOLA 30.000 ?

NINI KINACHOENDELEA KATI YA JB MPIANA NA KOFFI OLOMIDE ? BOFYA KWENYE KICHWA CHA HABARI UPATE MAELEZO ZAIDI!!!

Tofauti zinazo jitokeza hivi karibuni kati ya Wasanii hao wawili yatujia vigumu kabisa kujua kiini chake.

Kwanza ifahamike kwamba Wote wawili ni Majirani, wanaishi JIJINI KINSHASA kwenye Mitaa ya kifahari mahala panapo julikana kwa jina la ” Montfleury “.

Yasemekana Mzozo wa siku hizi Umeibuka kutokana na kitendo cha JB MPIANA kushindwa kumpa Mualiko Jirani yake KOFFI OLOMIDE, wakati alipo andaa SHEREHE kabambe yakumhenzi Bintie DAIDA kwa ajili ya B’Day yake Tarehe 14-07-2014, Wakati wapo Wasanii na Watu wengine Maarufu waliopata fursa ya kuudhuria napia kuwa mashahidi wa Tukio hilo ambalo liliacha Gumzo JIJINI KINSHASA. Ntawataja ( WERRASON, ADOLPH DOMINGUEZ, FALLY IPUPA )..

Siku Chache Baadae KOFFI OLOMIDE nae kwa Upande wake,kaandaa SHEREHE kwa Ajili ya B’Day ya Binti yake DIDI-STONE, Ingawa hajatoa mualiko kwa Watu Wengi ukilinganisha na alivyofanya JB MPIANA.

Ingawa JB MPIANA hajasema Chochote, Tumemsikia KOFFI OLOMIDE,kamtupia mwenzie kwa kusema : ” KWAKWELI MIMI NASHINDWA KUWAELEWA  KABISA WATU WENGINE, MTU KASHINDWA KABISA KAZI YA MUZIKI,ANACHOKIJUA KWA SASA NI MAJUNGU PEKEE, WALA SI MIMI NILIE MCHUKULIA MKEWE!!! CHUKI YA NINI JAMANI !!!  MIMI SIPO HUKO KABISA.

Kwa hapa nakumbushia kidogo, Wakati bado wapo vizuri katika mawasiliano yao, KOFFI OLOMIDE, Tumemsikia akimtolea sifa Nyingi sana JB MPIANA siku ya B’Day yake Tarehe 02-06-2014, Namnukuu : ” TUNAPO CHUNGUZA VIZURI KWENYE KAZI YA MUZIKI INCHINI CONGO,WAPO MA STAA WAWILI,NAO SIWENGINE BALI NI MIMI NA JB MPIANA ).

Hadi kwa wakati huu bado kabisa JB MPIANA wala hajasema lolote !!! SASA NANI KAJAKUWASHA MOTO ?

Mtu ambae kajiingiza kwenye Mzozo huo ni Chizi wa Mfalme WERRASON anaejulikana kwa jina la SANKARA DE KUNTA. Yeye kamkingia Ubavu JB MPIANA,kwa kumtolea khashfa KOFFI OLOMIDE pale alivyo sema kwamba, HUYO MZEE NIMPUUZI TUU WALA HANA LOLOTE, MWACHENI HUYO KAISHA KABISA, KWANZA MADENI YAMEMZIDI HADI KAENDA KUOMBA DENI KWA JB MPIANA, KUIMBE ALIE MWEMA WA WATU KAMGEA DOLA 30.000.

Maneno hayo, yamemkera vibaya sana KOFFI OLOMIDE, Kwenye video nilio iambatanisha na Post hii, MOPAO MOKONZI katoa maneno ya khebei kwakusema : ” SINA LAKUSEMA,MIMI NAWASIKILIZENI TUU, NA KAMA UNALO LAKUONGEA, BASI NENA YALE YALIO NA UKWELI,SI LAZIMA KWAKO WEWE KUJIFICHA  MGONGONI  MWA MTU MWENGIEN. NTAKUOMBA NENDA KWENYE TV,NA UONYESHE KWA MAANDISHI YANAYO DHIHIRISHA MATAMSHI YA HUYO MSEMAJI WANU, AMBAE KADAI  KWAMBA NIMECHUKUA KUTOKA MIKONONI  MWAKO PESA. KWELI KAMA WEWE NI MWANAUME WA UHAKIKA, BASI FANYA HIVYO ILI UKWELI UDHIHIRIKE !!!

 

LUBONJI WA LUBONJI

 

 

11 Responses to KWELI KOFFI OLOMIDE KAKOPA KWA JB MPIANA DOLA 30.000 ?

 1. sheby says:

  werrason ni kiboko wa sebene

 2. Anonymous says:

  siamini koffi kakopa kwa jb

 3. Mh! stakikuamini kwamba kofi alikopa hela kwa jb mpiana! ila kwakuwa kati yetu hatujui kiundani kuhusu hili swala UKWERI wanaujua wenyewe!

 4. Fredy says:

  Those are personal issues they worth nothing as far as music concern! just ignore!!

 5. Masanja says:

  Kwa hiyo si kweli alikopa au ndo anataka kudhurumu cha watu?

 6. Saimon kaswa says:

  Mopao atulie

 7. Anonymous says:

  koffi ni babayao….

 8. NYOTE NI SUPESTAR TENANYI WOTE WAWI MATAJIRI MUNAFIFIANINI ATUWEZI KUWAHINGILIA . TUNGIANGALIA SANA GRAND MUTU MOPAO NIMKOROFI SA .

 9. Agnus Boles says:

  plenty of good details and inspiration, the two of which I will need, due to offer this kind of a useful data here.

 10. This will definitely be very useful for me when I get a chance to start my blogs. Thanks for making my morning awesome. If your articles are always this helpful, I’ll be back soon. Don’t be scared to spread your ideas.

 11. You are so beyond awesome! Might you someday tell us more about thisstuff? My mom told me they might like to become a paid teacher in this field some day. Geez, that’s beyond belief. But your biggest threat doesn’t come from other competition.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: