JB Mpiana na Werrason Ngiama ndani ya Congo Rhumba; Nani zaidi?

JB Mpiana na Werra

Werrason na JB katika Video zao mpya.

Na The Romantic

Hapa leo tuna video za nyimbo mbili za mafahali wawili, Ya kwanza ni video ya wimbo Bologna ambao Jb amemtungia rafiki yake aitwae Patric Bologna, wimbo huu upo kwenye album mpya ya Jb na Bcbg iitwayo Sayons Serieux ambayo imeingia sokoni na video ya pili ni wimbo Likambo wa werrason ambao unapatikana kwenye album yake mpya Malewa Part 2.

Kitu kizuri hapa ni kwamba wote wamezipiga nyimbo hizo katika mtindo wa taratibu wa  Congo rhumba ambazo mara nyingi ndio zimekua anga za Jb, Werra this time kasema hapana na mimi nitafanya Congo Rhumba ili wale wanaosema siwezi waone, Kama kawaida mdau kazi yako hapo ni rahisi tu, zitazame  hizo video na toa maoni yako. Mimi binafsi ni mpenzi wa sports cars, hayo magari waliyotumia hawa waungwana wawili sio siri nimeyakubali,vjapo siwezi kusema la nani ndio limenikuna zaidi lakini lipo moja nimelipenda zaidi, kwa sasa na reseve comments zangu kidogo.

Bologna ya JB Mpiana

 

Mzee mzima Igwe katika album yake mpya akaja na kitu hii hapa

Likambo ya Werrason in Congo Rhumba

7 Responses to JB Mpiana na Werrason Ngiama ndani ya Congo Rhumba; Nani zaidi?

 1. Anonymous says:

  wazee wamagari jb na werra wote mko juu,video bomba.

 2. Anonymous says:

  werra yuko juu sana

 3. odran chaula says:

  JB zaidi sana babaake

 4. GIDEON KIKOKO says:

  Ukweli utabaki palepale,wera alikwisha mwita jb mpiana prezida na wera ni mtoto wa jb kimziki bwana(katalai soki yobenga na prezida?) JB noma

 5. Helpful information. Fortunate me I discovered
  your site by chance, and I am shocked why this accident didn’t took place in advance! I bookmarked it.

 6. Louisa Rayna says:

  I think this really is an informative publish and it can be educated and incredibly valuable. I would like to thank you for your efforts you have got produced in creating this short article.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: