Mnamkumbuka huyu?

image

Anaitwa Beevans Gatho,ni mwanamuziki kutoka jamhuri ya kidemokrasia ya watoto wa Congo ambae alitamba sana kwenye miaka ya tisini na vibao ngama ngoma ya kwetu,Azalaki Awa na vingine vingi amabavyo vilipigwa sana enzi hizo kwenye redio stations,majumbani na kwenye sehemu mbalimbali za starehe.

Ghato wa Enzi hizo.

Gatho aliyezaliwa Congo kama nilivyosema awali hapo juu,alianza harakati zake za muziki kwenye miaka hiyo ya 90’s na “Zouk machine” Tshala Muana, anadai aliandika nyimbo yake ya kwanza akiwa na umri mdogo ‘Lili’ akiwa na umri mdogo sana wa miaka 6….!

Baadae kwenye miaka ya katikati ya tisini alifanikiwa kutoa albua yenye nyimbo nilizozitaja hapo juu ambayo ilipata mafanikio makubwa sana na kuwashangaza wakongwe wa muziki wa congo ambako Ghato hakua maarufu kabisa wakati huo.

Lakini kutokana na migogoro ya kisiasa isiyoisha ndani ya nchi yake ya Congo,Ghato aliamua “kujilipua” kwa kuhamia Marekani ambako ameweka makazi yake huko Georgia,Atlanta ambako anaendelea na shughuli za muziki japo amaekua hasikiki sana sehemu nyingi duniani….

Hapo kuna kazi yake ya zamani ambapo kama umemsahau au ulikua ukizifahamu tu kazi zake lakini mwenyewe humfahamu sawasawa basi itakua fursa nzuri kwako kumfahamu ama kumkumbuka na pia kuona anafanya nini kwa sasa.

Ghato wa Sasa.

Huyu ndio Beevans Ghato wa enzi hizo…

Advertisements

6 Responses to Mnamkumbuka huyu?

 1. Anonymous says:

  Jamaa anafanya Pizza delivery Atl….huwezi kuamini

 2. Anonymous says:

  kweli life haina formula,pizza delivery?!!!!!!

 3. Anonymous says:

  wasasa yuko wapi mbona video ni hiyo hiyo moja ya zamani japo mmeandika wa sasa?

 4. Anonymous says:

  Atlanta

 5. Hadj le Jbnique says:

  Huyu hapa…………

 6. Suleiman says:

  “azalaki awa pembeni na nga” ,hahaha alikuwa hapa pembeni yangu…alobaki nangai akozonga…alinambia atarudi…nakumbuka mbali sana Pmicky

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: