Harusi ya Prince William na Kate Middleton mchana huu

April 29, 2011

image

image

Malkia Elizabeth akiwasili kanisani tayari kwa ndoa.

image

Bekham na Mkewe Victoria wakiwasili

image

Sir Elton John akiwasili na “mumewe”

image

Prince Albert wa Monaco akiwasii na mkewe

image

Waziri Mkuu wa Uingereza David Cameroon akiwasili na mkewe

image

Tara Palmer-Tomkinson (L)

image

Princess Beatrice (R) and her sister Princess Eugenie

image

Saudi Arabia’s Prince Mohamed bin Nawaf bin Abdulaziz and Princess Fadwa bint Khalid bin Abdullah bin Abdulrahman

image

gonga hapa kuona zaidi


Tangazo

April 29, 2011

Animation2


Lady Jay Dee tayari kwa Show

April 28, 2011

Mwanamuziki Lady Jay Dee akiwa na mmoja wa wenyeji wake Fredy Nice anayeishi Stockholm huko Sweden, Lady Jay Dee ana ziara ya Show kadhaa Ulaya.
Picha na Fredy Nice.

Posted with WordPress for BlackBerry.


Messi aiua Real Madrid

April 28, 2011

image

Magoli mawili ya kipindi cha pili yaliyopachikwa na Lionel Messi, yametosha kuwanyamazisha mashabiki wa Real Madrid ambao awali walitamba kwa kuifunga Barca na kuchukua kikombe cha Ufalme wiki iliyopita.

Kutolewa kwa Pepe na Morinho kutolewa eneo la uwanjani ni moja ya matukio yaliyojiri kwenye mchezo wa kwana wa nusu fainali kati ya mahasimu hao wawili wa soka Real Madrid na Barcelona. Timu hizi zilionyesha kukamiana jambo ambalo kidogo lilipunguza ladha ya mchezo huku kukiwa na faulo za hapa na pale za kimabavu.

Hata hivyo Barcelona walionyesha kuumiliki mchezo na confidence ya Real Madrid ilikufa baada ya mchezaji wao Pepe kutolewa kwa kadi nyekundu kwa kumfanyia madhambi mchezaji wa Barca Daniel Alves.

Mpaka mapumziko matokeo yalikuwa 0-0. Ilipotimu dakika ya 76 Messi kama kawaida yake alichomoka na kuusindikiza mpira uliopigwa na Ibrahim Afellay na kumuacha Iker Casillas akidaka hewa.

Zikiwa zimebakia dakika tatu kumalizika kwa mpira Messi tena alichomoka na mpira huku akiwapita mabeki watatu wa Real Madrid na kumpiga tobo Iker Casillas na kuandika bao lake la 52 kwa msimu huu huku likiwa ni bao 11 kwenye michuano hii ya Champions League. Gonga hapa kusoma zaidi


South Africa photographer honored for Soweto photo

April 28, 2011

South African photographer, Sam Nzima, poses with his iconic photo

PRETORIA, South Africa – A South African photographer is being honored for helping expose apartheid’s brutality to the world with a picture that ended his career.

On Wednesday, celebrated as Freedom Day in South Africa because it is the anniversary of the country’s first all-race elections, President Jacob Zuma will bestow national honors on Sam Nzima for a photograph reminiscent of the “Pieta” he took showing a dying Hector Pieterson, a 13-year-old shot by police during the June 16, 1976 Soweto uprising.

Nzima is receiving the Order of Ikhamanga, which recognizes South Africans who excel in arts, culture, literature, music, journalism and sport. He joins such past winners as jazz legend Hugh Masekela and novelist Alan Paton.

Nzima said in an interview Wednesday his photograph seen around the world “tells the story of what happened. You don’t even need a caption to see that something terrible has happened.”

Read More


50 Things You Should Know About the Royal Wedding

April 25, 2011

You might have heard … there’s this little wedding happening on April 29 … some dude named Bill is marrying some girl named Katie. Oh, OK, we’re talking about the wedding of the century, of course, the royal wedding, in which the future king of England, Prince William, will marry his college sweetheart, Kate Middleton.

The much-ballyhooed nuptials have been a media obsession for months, but in the interest of giving you all the wedding scoop you need in one handy place, here’s our primer — the who, the when, the where, the how, the why and the swag — on all things royal wedding-related.

1. The royal wedding, marrying His Royal Highness Prince William of Wales, K.G., 28, and Miss Catherine Middleton, 29, takes place on Friday, April 29, at 6AM ET, at Westminster Abbey in London.

2. Other royal weddings that took place at Westminster Abbey: William’s uncle, Prince Andrew, to Sarah Ferguson, in 1986, and William’s aunt, Princess Anne, to Mark Phillips in 1973. Both those marriages ended in divorce. On the other hand, William’s grandparents, Queen Elizabeth and Prince Philip, were also married there in 1947.

William and Kate3. Westminster Abbey is also the burial site of Geoffrey Chaucer, Charles Dickens, Charles Darwin, Isaac Newton, Lord Alfred Tennyson, Rudyard Kipling and Laurence Olivier.

4. Instead of arriving via carriage, the bride and her father, Michael Middleton, will arrive in a Rolls-Royce Phantom VI. It will be the first time the public gets a look at her much-talked-about wedding gown.

5. About that gown: The designer and look of Middleton’s gown remains one of the biggest mysteries surrounding the day. Rumors have persisted that she may have designed it herself; that she commissioned one to look like Grace Kelly’s royal wedding dress; and that designers from Sarah Burton to Bruce Oldfield have made the historic gown.

6. Prince William, meanwhile, will wear a military uniform for the service, and, famously, has already said he will not wear a wedding ring.

7. Six hairdressers will help fashion the royal ‘do for Kate on the morning of her wedding. And, spoiler alert, her main hairdresser says she’s skipping the updo, and that her locks will be “100 percent … down and flowy.”

8. Wills and Kate will be married by the Archbishop of Canterbury, Rowan Douglas Williams, and the service will be played via audio speakers along the procession route lined with as many as a million royal well wishers.

9. It will take Kate Middleton approximately four minutes to walk down the aisle in Westminster Abbey.

10. If you feel compelled to send William and Kate a gift to commemorate their big day, skip the toaster and candlesticks. The couple asks that you instead funnel a donation to the Prince William and Miss Catherine Middleton Charitable Gift Fund, a special charity they’ve established that will forward the donations to charities involving children, support for armed services personnel and wildlife conservation, among others.

Gonga hapa kujua zaidi


“Nilaumuni mimi kwa matokeo mabaya msimu huu” Wenger

April 25, 2011

Kocha Arsene Wenger

Kocha wa Arsenal kibabu Arsene Wenger amesema kuwa kama kuna mtu anayepaswa kulaumiwa kwa matokeo mabaya ya klabu yake kwa msimu huu basi ni yeye.

Wenger amekaririwa akisema hayo na BBC kufuatia kipigo kingine hapo jana walipocheza na Bolton na kufungwa bao 2-1.

Arsenal wamebakiza michezo minne mkononi huku wakiwa nyuma ya vinara Manchester United ambayo itakutana na Arsenal jumapili ijayo, Kama wakishinda Man U basi huu utakuwa msimu wa sita kwa Arsenal kumaliza bila kikombe.

Gonga hapa kusoma zaidi


Kuna anayejua anakopatikana dada huyu?

April 24, 2011

Ni Video ambayo ime heat sana kwenye mitandao, blogs na hata facebook, majuzi nilitumiwa link hii na jamaa toka South Africa.

Hii link ya Video nimetumiwa na jamaa wako South Africa ni watengeneza matangazo. Wametaka niwatafutie anakopatikana huyu binti, wanachojua ni Mtanzania.

Hawajaniambia wanamtaka kwa ajili ya nini ila nahisi wanataka kumpa shavu la Tangazo, tafadhali wadau kama kuna anayejua jinsi ya kumpata huyu binti tuwasiliane apate rizki yake.


Koffi Amzawadia Baba Mkwe Jaguar Mpya!!

April 24, 2011
Kwa muda mrefu kumekua na minong’ono kuhusu mahusiono ya mtoto mdogo lakini mzuri sana Cindy Le Coeur na Bosi wake Koffy Olomide a.k.a. Papaa na Didi Stone,uhusiano wa wawili hao umeonekana kuwa ni wa zaidi ya mtu na bosi wake,hatimaye mzee mzima koffy ameamua kufunguka na kuweka mambo yake na Cindy hadharani.
Baba Mkwe akiwa ndani ya mchuma

Kuonyesha kwamba yuko serious this time koffy ameamua kumpa zawadi baba mkwe, Baba mzazi wa Cindy….unaweza ku guess ni zawadi gani? Wala usipate taabu kwa kuwa tunakupenda sana hatutaki uumize kichwa gonga hapo kwenye video juu ujionee mwenyewe video nzima ya hafla hiyo “ndogo” lakini iliyopendeza sana, uone jeuri ya pesa ya Le Rambow Du Zaire Koffy Mopao Olomide, mzee mzima anatoa kitu cha Jaguar kwa mzee hivi hivi kwa mzee ikiwa ni zawadi ya kumzalia mtoto mzuri.

Koffi alifanya haya akiwa ndani ya Concert na ghafla ikatangazwa, sina hakika sana lakini nadhani anayetangaza ni Zakarie Bababaswe.

Jamani kuzaa kuzuri tena hasa mtoto wa kike,nashangaa watu wanaogombana na wake zao kwa kuwazalia watoto wa kike,check hapo mzee alivyofurahi.

Mamaa Cindy Olomide
Kumbuka kuwa chini ya kila Post kuna burton imeandikwa SHARE ukiweka mouse inakupa njia mbali mbali za ku share na marafiki wa facebook na kwingineko!!

Lola Mwana kurejea Zaiko Langalanga

April 24, 2011

Lola Mwana "Digital"

Lola Mwana “Digital” yule mtoto wa marehemu Dindo Yogo ameomba radhi kwa kile alikosea na kumfanya afukuzwe bendi ya Zaiko Langalanga.

Awali Lola ambaye alifukuzwa kutokana na utovu wa nidhamu kwa kuchelewa kwenye Concert na pia kuchelewa mazoezini na wakati mwingine hafiki kabisa jambao lililomuudhi sana kiongozi Nyoka Longa.

Lola ambaye aliripotiwa na magazeti na Blogs mbali mbali kwa nyakati tofauti alitoa maneno ya kashfa dhidi ya kiongozi Nyoka Longa na kwa sasa ameyaombea radhi maneno hayo na inasemekana atarejeshwa kundini.

Kwa sasa Zaiko wanajiandaa kutoa Nyimbo zao nne ambazo zitakuwa kwenye albamu itakayoitwa Bande annonce.

Wikii hii ya Passaka Zaiko watakuwa na Show tatu nchini Afrika ya Kusini.


Vodacom Shuffle Dance kuvunja rekodi ya Dunia?

April 24, 2011
 

Picha kwa Hisani ya Michuzi

 Pichani ni washiriki wa Vodacom Shuffle Dance, Tamasha lililofanyika kwenye ufukwe wa Sunrise Beach jana jumamosi.  likiwa na lengo la kuvunja na kuweka rekodi ya Dunia katika kitabu cha Matukio Makubwa yanayotokea Duniani, ‘Guinness Book Records’. Tamasha hilo liliandaliwa na kampuni ya simu za mkononi Vodacom Tanzania.

Spoti Starehe ilishuhudia mamia kwa maelfu ya watu wakivuka kuelekea Kigamboni ambako kulikuwa na Tamasha hilo, hata hivyo uwezo wa Kivuko kubeba magari 60 tu kwa kivuko kikubwa na kidogo magari 16 kwa wakati mmoja kilikwaza watu wengine ambapo foleni ya kuvuka kwa jana ilifika hadi karibu na Taasisi ya Saratani ya Ocean Road.

“Naimani kabisa kama wote wale wangefanikiwa kuvuka basi hapa watu wengi zaidi ya hawa wangekuwepo” alisema Mngoya mmoja wa washiriki kwenye Tamasha hilo.

Kwa mujibu wa Waandaaji na mtandao wao mpaka kufikia jana zaidi ya watu 500 walikuwa wamejiandikisha kwa ajili ya Tamasha hilo.

Video ya juu kabisa inaonyesha jinsi watu wakicheza Muziki wa Vulindela kwa style ya jana.

 


Wenge Wamzika babaake Werrason.

April 23, 2011

Mazishi ya baba yake Le Roi De la Forret Werrason yaliyofanyika hivi majuzi katika jiji la Kinshasa yalihudhuriwa na wanamuziki wote wa aliyokuwa wenge musica 4×4 Tout Terrain(wenge original)ambao wako Kinshasa japo si rahisi kuwaona wote waliohudhuria hapo kwenye video iliyo kwenye link hapo chini kutokana na ubora hafifu wa video yenyewe lakini wote wakiongozwa na JB Mpiana walihudhuria.JB Mpiana alikwenda mbali zaidi kuonyesha kuguswa na msiba huo uliompata kaka yake kuondokewa na baba yake.JB alikua na concert ambayo ilikwisha lipiwa gharama zote,lakini ili ku show love kwa brother wake WERRA DE LA FORRET,Mzee mzima akaamua kuahirisha concert hiyo ili kumfariji Le PHENOMENA WERRASON.Hiki ni kielelezo tosha kwamba JB na WERRA bado ni ndugu moja ndio maana watoto wa JB kina DAIDA,SURAYA na mdogo wao wa kiume JUNIOR MPIANA wanaendelea kumwita WERRA papa(baba)na wa WERRA kina EXOCEE na mdogo wake nao wanamwita JB papa,so jamaa bado wandugu japo mbele za watu wanataka waonekana kama maadui kwa sababu za kibiashara zaidi ili wapenzi wao washindane kuzisupport kazi zao!

Wanamuziki wengine walioshiriki kumzika baba yake WERRA ni hawa vijana wa kizazi kipya,Kwenye video hiyo utawaona kina JDT,FERRE GOLA,DD LACOSTE na Hata BILL CLINTON aliwakosha wengi kwa kuweka tofauti zake na bosi wake wa zamani WERRASON na kushow love kwa style ya aina yake alipokuwa akimpa mkono wa pole,style yake iliwagusa wengi has kutokana na uhusiano mbaya baina ya wawili hao toka BILL alipomkimbia jamaa,ukiitazama video hii unaweza kudhani jamaa hawana ugomvi wowote na bado wako pamoja.

Pia wanaonekana mabinti wa WERRA na mama yao SYLVIE MAMPATA.


Tangazo

April 23, 2011

This slideshow requires JavaScript.

Mnakaribishwa mali mpya zimewasili Silver Boutique

Tuko Mkabala na Azam Take Away – Jamhuri Street, Nyuma ya Jengo la Benjamini william Mkapa.

Gonga Hapa Kujua Zaidi

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 
  • Digg
  • Del.icio.us

 


Salamu za FALLY IPUPA na FERRE GOLA toka WENGE BCBG.

April 20, 2011

Tuitazame video hiyo hapo chini kwa makini,hizo mimi binafsi naziita ni salamu kwa Ferre na Fally pamoja na Ma Ipupanaises na Ma Ferrettes wote mliopo humu ndani, JB anamtoa kijana huyu anaitwa ERIC MENTHE aje kushughulika na vijana wenzake Fally na Ferre wakati yeye mzee mzima JB Mukubwa akishughulika na LE ROI DE LA FORRET WERRASON, kijana hapa anaonekana akifunika vilivyo na kitu chake cha congo rhumba kinachokwenda kwa jina la MY LOVE, Kibao hiki kipo kwenye album mpya ya wenge Bcbg inayokwenda kwa jina la SAYONS SERIEUX, Sikia sauti ya dogo Eric Menthe Hapo halafu utaelewa kwa nini nilisema hizi ni salamu za Fally na Ferre,wakae chonjo dogo anakuja vibaya………na Kwa ambao wamekua wakisema JB hajamtoa mtu wamsikilize kijana huyu pamoja na sakoko kwenye Kitu LIBEREE….

Pata mzigo huu…kama kawaida tunacheza taratibu eeeeeh!


Huyu jamaa kapinda kweli…!

April 18, 2011

Posted with WordPress for BlackBerry.


Marehemu Lillah Azikwa jioni hii

April 17, 2011

Mamia ya waombolezaji wakiwa wamebeba Jeneza la Marehemu Lillah ambaye alizikwa jioni hii makaburi ya Mji Mwema – Kigamboni, Dar Es Salaam.

Posted with WordPress for BlackBerry.


Aliyechomwa moto south Beach Afariki dunia.

April 17, 2011

Marehemu Lilah siku za mwisho za uhai wake.

Yule mwananchi aliyechomwa moto kwa kosa la kuzamia Disco amefariki dunia.

Wakizungumza kwa masikitiko ndugu wa marehemu Lillah alifariki dunia jana jioni na mipango ya mazishi inafanywa huko Kigamboni ambapo anatazamiwa kuzikwa leo jioni katika makaburi ya Mji Mwema.
Marehemu Lilah ambaye alikuwa mfanyabiashara maarufu wa nguo za kuogelea na vitu vya kitamaduni kwa waendao Beach za Kigamboni, alikumbwa na mauti baada ya kukutwa ndani ya Disco akiwa hana tiketi maalumu inayovaliwa mkononi kwa wale wote wanaoingia ndani ya ukumbi huo wa South Beach.
 
Spoti na Starehe ni mmoja wa marafiki wa marehemu kwani alikuwa akitembelea na kuuza bidhaa zake katika fukwe Mbalimbali za Kigamboni ikiwemo Chadibwa Beach.
 
Marehemu Lillah alikamatwa na walinzi wa fukwe ya South Beach Jumapili iliyopita kwa kudaiwa kuingia bila kulipa kiingilio kwenye Disco linalopigwa mwishoni kwa kila wiki fukweni hapo, Lillah hatimaye alipelekwa kwa meneja wa hoteli hiyo ambaye aliamrisha achomwe moto. Akionge kwa taabu na Muandishi wetu katika Hospitali ya Kigamboni kabla ya kuhamishiwa Muhimbili alikoagia dunia, Marehemu Lillah alisema hata Kupona mpaka pale anamshukuru Mungu kwani hakutegemea kupona kutokana na kipigo na maumivu ya moto ule.
 
Tunaomba haki itendeke ili kukomesha unyama huu, hata kama Marehemu Lilah alikuwa mkosaji au kibaka kama walivyodai hapaswi mtu yeyote kutoa hukumu ambayo Lillah amepata.
 
Huu ni mfululizo wa kujichukulia sheria mikononi ambapo wezi na vibaka wamekuwa wakichomwa moto na wakati mwingine bila hatia yeyote, kwani matukio mengine yakitokea akishakamatwa anatafutwa aliyeibiwa haonekani.
 
Mwanzoni mwa mwaka kijana mmoja alipoteza maisha maeneno ya Mwenge kwa kuitwa mwizi ilihali yeye ndio alikuwa ameibiwa Laptop yake na alipojaribu kuwakimbiza wezi walimgeuzia kibao na hatimaye wananchi walimvamia na akapoteza maisha.
 
Marehemu Lillah ameacha mke na watoto.

Frankoo

April 17, 2011

francy


Chelsea wapeta 3-1

April 16, 2011
Chelsea's Didier Drogba, Right, Celebrates

Didier Drogba, right, celebrates scoring against West Bromwich Albion with teammate Michael Essien during their English Premier League soccer match at the Hawthorns stadium, West Bromwich, England, Saturday, April. 16, 2011.

 Gonga hapa kusoma zaidi

Posted with WordPress for BlackBerry @ Kijiji Beach Kigamboni


Man U Chaliiiiiiiiii!!, Yalala 1-0 kwa Man City

April 16, 2011
  Yaya Toure Of Manchester City Celebrates

Yaya Toure wa Manchester City akisherehekea goli lake baada ya kuwasambaratisha Man U katika mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la FA linalofadhiliwa na  E.ON mchezo ambao ulifanyika katika uwanja wa Wembley Stadium.
 
 Referee Mike Dean Shows
 
Pichani referee Mike Dean akimtoa kwa kadi nyekundu Paul Scholes baada ya kumfanyia madhambi Pablo Zabaleta wa Manchester City.
 

Posted with WordPress for BlackBerry @ Kijiji Beach Kigamboni


%d bloggers like this: