Holland yaidindia Nigeria 0-0

August 8, 2008

Peter Odemwingie of Nigeria (C) vies for the ball with Gianni Zuverloon and defender Dirk Marcellis of the Netherlands during their first round group B Men's football match at the Tianjin Olympic Centre Stadium in China on August 7, 2008. The match ended 0-0. AFP PHOTO/HOANG DINH Nam (Photo credit should read HOANG DINH NAM/AFP/Getty Images)
Peter Odemwingie wa Nigeria (C) akigombea mpira na Gianni Zuverloon na defender Dirk Marcellis wa Uholanzi wakati wa mchezo wao wa kundi B kufuzu kucheza fainali ya Olympic, mchezo huu uliochezwa jana kwenye wanja wa Tianjin Olympic Centre Stadium huko China (August 7, 2008.) ulimalizika kwa droo ya 0-0. AFP PHOTO


Kameroon yatoka droo na Korea Kusini Kundi D

August 8, 2008

Andre Bikey (R) of Cameroon receives a red card from the referee during their 2008 Beijing Olympic Games first round Group D Men's football match against South Korea at the Qinghuangdao Olympic Stadium on August 7, 2008.  The match ended in a 1-1 draw.   AFP PHOTO  (Photo credit should read STR/AFP/Getty Images)
Mchezaji wa Kameroon Andre Bikey (R) akipewa kadi nyekundu na refa wakati wa mchezo wao wa kwanza wa kundi D dhidi ya timu ya Korea Kusini kwenye kinyang’anyiro cha michezo ya Olympic kufuzu kucheza Fainali. Mchezo huu ulichezwa kwenye uwanja wa Qinghuangdao ulimalizika kwa 1-1. AFP PHOTO


Joto la Soka Olympic lapanda…

August 7, 2008

Argentina's player Lionel Messi runs  during a training session at the Beijing 2008 Olympics in Shanghai, Wednesday, August 6, 2008. Argentina will face Ivory Coast Thursday in a Group A soccer match.
Mchezaji wa Argentina Lionel Messi akifanya mazoezi huko Beijing jana, Agentina iko China kwa ajili ya Michezo ya Olympics 2008 Shanghai China, Timu hi itapambana na Ivory Coast alhamisi kwenye mechi za kundi A kwenye Olympic.


Brazil yamtema Robinho kikosi cha Olympic

July 22, 2008
Robinho

Robinho

Mchezaji wa Timu ya Taifa ya Brasil na Real Madrid ya Hispania Robinho jana ametemwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa kitakachokwenda kwenye ngija ngija za kuwania medali ya dhahabuu kwenye michezo ya Olympic huko China imefahamika leo.

Sababu za kumtema Robinho zimesemwa kuwa ni kutokana na machezaji huyo kuwa majeruhi kwa mujibu wa daktari wa timu ya Real Madrid.

Hata hivyo Shirikisho la soka la nchini Brazili limelaani uamuzi wa Real Madrid na kuuita wa dharau kwa nchi yao na wabrazili kwa ujumla kwa kusema hizi ni njama za kutaka kumtumia mchezaji huyo. akizungumzia sakata hilo, daktari wa timu ya Brazili Luiz Alberto Rosan alisema kuwa alijua kuwa Robinho ni majeruhi lakini bado alikuwa na nafasi ya kupona kwani aliumia kidogo sio vya kumfanya ashindwe kucheza kwa muda mrefu. Aidha akiongea juu ya sakata hilo Robinho mwenye miaka 24 anayecheza nafasi ya forward alisema kuwa amesikitishwa na kuikosa nafasi ya kuichezea timu yake kwenye mashindano muhimu ya Olympic huko Beijing.

Akizungumzia suala hili agent wa Robinho Wagner Ribeiro alisema sijawahi kumuona Robinho aliwa na huzuni kiasi a hiki, mara ya mwisho ni kipindi mama yake mzazi alipotekwa nyara na maharamia mwaka 2004. ingawa baadaye aliachiwa bila kudhuriwa.


%d bloggers like this: