Werasson kuanzia Ubungo Plaza Leo

Mkurugenzi wa Clouds fm/Prime Time Promotions Joseph Kusaga akiteta jambo na Werrason mara baada ya kuwasili Dar. Werrason anatafanya onesho lake la kwanza leo Ijumaa usiku Ubungo Plaza ambapo kiingilio kimepangwa kuwa ni sh 20,000/= pamoja na msosi wa nguvu, Pia leo atafanya mahojiano ya moja kwa moja na kituo cha Radio cha Clouds FM kupitia kipindi cha African Bambataa kinachoongozwa na Bibi Sophia KEssy, Big Producer Maghambo, Boss Chizenga, Mukubwa Collins, Dulla Boy na kati ya IFM, Mama Irene Maggi, Fikiri Le Boss, Abuu na wapenzi wote wa Werasson kila la heri najua hamtakosa. Picha na Issa Michuzi.

One Response to Werasson kuanzia Ubungo Plaza Leo

  1. proxies says:

    proxies…

    […]Werasson kuanzia Ubungo Plaza Leo « Spoti na Starehe[…]…

Leave a comment