Djojo Ngonda ya Fi Carre Mwamba na Wenge BCBG

Kwenye Wenge BCBG ya wakati huo kulikuwa na mtu anapiga gitaa la Rhythim anaitwa Fi Carre Mwamba, huyu jamaa alikuwa ana uwezo mkubwa sana kwenye zana na ndiye alikuwa akiwapanga wapiga magitaa wengine akiwemo Patient kusangira, Allain Prince Makaba na wengineo.

Mbali na uwezo wake mkubwa mkubwa wa kupiga gitaa pia alikuwa mtunzi, kibao hiki kiliimbwa kwa kiasi kikubwa na Werasson pamoja na Adolph Dominguez akishirikiana na machampion wengine ni utunzi mahiri wa kijana Fi Carre Mwamba. Wakati huo list ilikuwa imekamilika kila idara.

Albamu hii ni moja ya albamu zenye mafanikio makubwa kwa kundi la Wenge kama Wenge ambapo kila mmoja alipata nafasi ya kumamua na vijana walikamu vilivyo, hebu sikiliza kisha uniambie wewe unakumbuka nini ukisikia nyimbo hizi, Mi namkumbuka Jema Mandari huyu jamaa alikuwa akiupenda sana huu wimbo, pamoja na wana BCBG woote bila kuwasahau Werassonique.

Advertisements

16 Responses to Djojo Ngonda ya Fi Carre Mwamba na Wenge BCBG

 1. Teddy says:

  Mi naomba nitafsiriwe hapo alipokuwa analalamika huyo mwanaume utafikiri sijui alinyimwa nini, jamani Wailah tobaa.

  Bolingo yooooo maamaaa yooyoooo, juuu ya mapenzi ….. then sjui nini tena . Hebu tupe uhondo weye Mwanaume wa sijui wa Kisangani au Lubumbashi au weye wa pale pale Kinshasa?

 2. Shaibu Thabit Mwambungu from Tanzania,Mbinga-Ruvuma says:

  Nzembo DJODJO NGONDA COMPOSER -FI CARRE MWAMBA ALBUM -PENTAGONE BAND -WENGE MUSICA BcBg

  Mobali nalinga Djodjo ngonda imana oyo ongengaka lokola moi ya nzanga aningisa bigumba sango ya basi kitoko,

  Nzambe nzambe papaah nzambe papa boni osali boye yokumbeli nga bolingo mosika na badooh Ngonda natikali maboko polele mayi na miso lokola mbula ya pokwaaahx2

  Bamamaaah ya Paris banzeleeh ya Brussels botunela nga Djodjo Ngonda nani akoconsoler ngai pinzoli ekokaukate awa ye akabola nga na bandeko na ngai na bazua nayoooh.

  Aimelia(Lavoix):

  Yoolingiiieeh ngai nalela yo na monoko nini tabufatou annie ndemboooh,Yoolingieeh ngai nalela yo na monoko nini alisi baba naleli ya ngai na Swahili juu ya mapendo lavies na Tshiluba lwakulwaku Roger kiala na Lingala nakolela lady too bozanga mofua fifi mamaah

  Blaise Bula(l’Engineer):

  Aimelina bolambe papa na miguet maitre ligojules bembaeh ata na motema nazaka linga ata na bolingo ya fiction teu de L’amour top modele fenaan.

  JB Mpiana(L’souverein):

  Boyaka bakotalaah ooh Djodjo Ngonda ee mbottee nazuaka Jacque tambi boule micheeeh soki moyi mobimi akoma nde kotungisa nga Richard Kabongo akoma nde kotungisa nga totoobineneeh.
  Werasoni Ngiama: Na motema nakolela Cornel Malongiooh ngai awa naye Edo mumbafu nenete Jean Marie lomboto mobali ya Pitchou Kiava aah,Emalumeooh, Chorus: Emalumeooh Wera: Luvelela pesa mbongo (Rept)chorus

  <Nimejaribu kutohoa kidogo Bw. Pius jinsi navyouhususdu msongi huo kama kuna anayeza kuutafsiri atutoholeeh ingawa nilivyoandika sina uhakika sana wa maneno ya lingala nilivyoyanukuu kwa kusikia Mdau wa Bcbg Shaibu Mwambungu niko Mbinga,Ruvuma.

  • Shaibu Thabit Mwambungu from Tanzania,Mbinga-Ruvuma says:

   Djojo Ngonda Tafsiri

   Mwanaume ninaempenda Djojo Ngonda Imana anaeng’aa kama Jua la jioni alietikisa vikundi Saba vya wasichana warembo.

   Mungu mungu Baba kwanini umempeleka mpenzi wangu mbali huko Bordeaux Ngonda nimebaki mikono tupu machozi usoni kama mvua ya jionix2.

   Wakina mama wa Paris,Wasichana wa Brussels niulizeni Djojo Ngonda nani wa kunibembeleza machozi hayakauki kwa wivu wake amenitenganisha na ndugu zangu.

   Aimelia:
   Unataka nikulilie kwa lugha gani tabu tatu Annie Ndembo unataka nikulilie kwa lugha gani Alisa Baba nalia kwa Kiswahili juu ya mapendo Lavies na Tshiluba njoo,njoo Roger Kiala Kwa kilingala ninalia Lady Fou Bozenga mofua fifi mana.

   Blaise Bula:
   Aimelina Bolambe Baba yake na Miguet Maitre Ligo Jules Bembe hata rohoni ilibidi anipende hata na mapenzi ya uongo Feu de L’amour Top Modele Fenan

   Mpiana:
   Njooni muone uzuri wake Djojo Ngonda niliempata Jacj Tambi Boule Mishe jua likiwaka anaanza kunisumbua Totoo Binene.

   Werason:
   Rohoni namliia Corneli Malongi mimi nimekuja Eddo Mumbafu Nenete Jean Marie Lomboto mume wa Pitchou Kiava aa, Eeh Malume ooh eemalumeooh Ooh Luvelela toa hela eemalumeooh Serge Palmier Aime Mbayo eh malumeooh. Huo wadau mtohoo wa tafsiri ya Djojo Ngonda- Aksanteni

 3. Farid says:

  olobaka ya solo papaa Shaibu biso nyonso tolingi miziki na bana wenge mingi, bango babeta miziki tolingi na motema ,otiki ngai nasepeli mingi ,wala hujakosea kabisa ni sawa kabisa umenifanya nipate burdan si ya kawaida duh hawa jamaa wa wenge 4×4 jamani watabaki kua legend hakuna wa kuwafikia kiwango chao hata baada ya miaka 1000

 4. Hadj le Jbnique says:

  Papaa Shaibu Oza likoloo,merci mingi papaa,umenifurahisha sana,kwele wenge itaendelea kupendwa na kukumbukwa daima,those were the days bwana acha tu,FICARE MWAMBA kiukweli huyu jamaa ni kichwa,amekuwa mtu wa karibu sana na JB Mukubwa hata baada ya Wengine kuzama katika ile ajali ya TITANIC,yeye alikua mmoja wa waliokoka katika ile ajali mbaya kabisa kupata kutokea.FICARE MWAMBA licha ya ku play guitar pia ni composer mzuri,ukiacha hiko kibao djojo ngonda ambacho AIMELI LYASE DEMINGONGO amefanya sana kazi kwa kulia mpaka kiswahili juu ya mapendo(mapenzi)ficare anao wimbo mmoja bomba sana uliopo kwenye album BCBG iitwayo INTERNET,tafuta album hiyo then sikiliza wimbo unaitwa L’ESPOIR DE CHICAGOO,ni wimbo mzuri sana ambamo sauti zimepangwa na kupangika,utawasikia humo kina SHAI NGENGE,JDL,MUKULU na wengine wakifanya kazi ya ukweli,sasa wimbo huo ukiimbwa jukwaani live ndio utafurahi zaidi na kumjua vizuri mzee mzima JDL.Wadau siusifii tu huo wimbo hebu usikilizeni tu then mtakubali kile nasema.Tusipende kuponda tu na kuwa washabiki kupita kiasi,tujaribu kijipa time ya kuzisikiliza nyimbo za BCBG vizuri,then mtajua kwanini JB Ameendelea kupendwa tu katika ulimwengu wa wazungumzaji lingala licha ya kukaa vipindi virefu bila kutoka na album,still amekua akipata kazi nyingi sambamba ama hata zaidi ya hao wanaotoa album kila siku,mbona hamjiulizi kwanini SELE BULLA na bendi licha ya baadhi yenu kudai eti alikua akimbeba JB Amekua hafanyi vizuri sokoni wala hapati kazi,huko kwenu amewahi kualikwa BLAIZE “SELE” BULA?

  Watu wapende wasipende SALVATORA DE LA PATRIA JB MPIANA TSHITUKA PAPAA NA DAIDA yuko juu…

  • Stivin says:

   JB han lolote, kinachomsaidia mpqaka leo ni album ya feux d amour amambayo ilipangwa na Alain Makaba, nimabie ni albam gani ya maana JB amewahi toa baada ya kusamabaratika?

 5. Shaibu Thabit Mwambungu from Tanzania,Mbinga-Ruvuma says:

  Napesi yo mbote mingi wadau kadiri nitakavyoweza ntajaribu kutohoa tupate burudani zokande bino oza likolo nashukuru shaibu

 6. Teddy says:

  Unajua hapo wewe sijui ndiyo Pius au sijui a.k.a Hadji ndipo unaponitia nyongo. Mimi sipendi hayo mambo yenu ya sijui nani zaidi sijui. Jamani kila kukicha kulumbana nyie kama watoto wa wanaharamu! Aaah mnaniuzi sana. Kaka Mwambungu nimekuaminia upo juu na weye, hivi wapi naweza kupata lyrics zao kama hizo za Wenge Pentagon maana mimi na wenge ni kama uji na mgonjwa. Jamani nampenda sana huyu Aimelia na kasauti kake katamu sijui kaishia wapi huyu? jamani mtutafsirie kidogo. Enzi zile za Maimartha akiwa East Africa kulikuwa na yule kijan Mkongomani alikuwa anatafsiri nyimbo za JB Mpiana kama ule wa harusi sijui L’amour. Ila sipendi mambo yenu ya sijui nani zaidi jamani mboga haiivi na figa moja jamani kila mtu ashukuriwe na apewe heshima yake kwa mchango wake na mahala pake.

 7. Shaibu Thabit Mwambungu from Tanzania,Mbinga-Ruvuma says:

  Teddy wimbo unaosema unaitwa Feux De L’Amour= Moto wa Mapenzi.

  Feux De L’Amour
  Bolingo eza maladie mabe dokotolo nango motema symptoma nango souci, kasi kisi nayango se presence ya motooyo ozali kolula, Lokola nalula masiya ye nde kisi nangai= Mapenzi ni ugonjwa mbaya, Dalili yake ni mawazo lakini dawa yake ni kuwepo kwa umpendaye,kama navyompenda Masiya(Yesu) ndio dawa yangu.
  ————————————————————————-
  Usikose kusoma hapa siku ya ijumaa upate tafsiri nzima ya Wimbo huu, Hii ni kutokana na maombi ya Wengi na Ruhusa ya Mchangiaji Papaa Shaibu.

  Editor.

 8. Farid wa Muscat says:

  aaaaaaaaaah hapo nimekubali Shaibu sijui nikupe zawadi gani duh mnaweza mkaniliza maana nikikumbuka siku zile zilikua nzuri sana hazitarudi tena kweli sote tunaipenda sana wenge 4×4

 9. Hadj le Jbnique says:

  Mama BCBG na WMMM ni watani wa jadi,iko hivyo dunia nzima,kama wewe hauna upande si lazima u comment upande huu,unaweza ku comment angle nyingine within the same post,ndio maana unaona ma quartier latinique na wapenzi wa bendi nyingine hawaingilii mabishano yetu wanaenda straight kwenye angle wanayoipenda then wana comment,hii ni blog(wordpress)so kila m2 ataandika vile anapenda ili mradi tu asichafue hali ya hewa au kujeruhi hisia za m2 mwingine,zaidi ya hapo hakuna sheria wala kiranja humu ndani wa2 wanaogelea vile wanavyopenda.

  Kwa die hard fans wote wa bcbg,ndugu zangu kwa siku mbili sasa nimekua nikiisikiliza kwa makini SAYONS SERIEUX (SS)Baada ya kuingia sokoni rasmi ikiwa tumeisubiri for three years,binafsi nikiri hapa mbele yenu sijaipenda hasa ukizingatia muda uliotumika kuipika,Kiukweli JB has to do something especially kwenye mixing ya nyimbo zake,hawezi kufanya kazi peke yake,Akubali kushirikisha wanamuziki wazuri kama yeye,mixing quality ya karibu album yote hii is poor,anaenuna anune anae cheka acheke huo ndio ukweli,na music bandugu is mixing,ndio maana De la Forret werrason anatupiga bao,werra never made a mistake katika mixing zake.Tatizo JB anamtegemea Jules Kibens katika arrangement ya music,kweli namkubali kibens,but kibens ni mwimbaji na mtaalam wa lyrics,so hata kama ana kipaji hawezi kuwa mzuri kwenye arrangement nzima ya mixing kama wataalam wa instruments like Alain Prince Makaba “Internet”,Titina alcapone au hata Pathy Moleso aliesaidia sana kwenye ANTI TERRO ambayo angalau mixing ilikua nzuri japo ilifanyiwa south africa badala ya KIN au PARIS.

  Nyimbo sio mbaya kwa maana ya utunzi na uimbaji kiujumla but the only proble iko kwenye mixing,mfano kama mtazikiliza nyimbo kama LONIATARA uliotungwa na mpiga keyboard Cedric Guezula au EZALA ZALA wa kwake animateur GENTA LISIMO utaona jinsi kelele za GENTA zinavyomnyima kabisa nafasi PATOU na solo guitar lake kusikika.Halafu pia kitu kingine ambacho nacho nadhani kimechangia ubovu wa mixing ni kutoshiriki kikamilifu kwa “MAITRE” FICARE MWAMBA kwenye album hii,huyu jamaa kwanza ninavyojua hajawahi kutunga wimbo mbaya,na pia ni mtaalam wa sound lakini hana nyimbo kwenye SAYONS SERIEUX,but si kwamba hayupo BCBG tena no….nadhani ni kwa sababu amekua busy na project yake,anajiandaa kutoa solo album yake.But for sure bandugu,i’m very very disappointed with tis album,i don’ know you guys mtaionaje itafuteni muisikilize BCBG na WMMM ni watani wa jadi,iko hivyo dunia nzima dada,kama wewe hauna upende si lazima u comment upande huu,unaweza ku comment angle yako,ndio maana unaona ma quartier latinique na wapenzi wa bendi nyingine hawaingilii mabishano yetu wanaenda straight kwenye angle wanayoipenda then wana comment,hii ni blog(wordpress)so kila m2 ataandika anachopenda ili mradi tu asichafue hali ya hewa au asijeruhi hisia za m2 mwingine,zaidi ya hapo hakuna sheria wala kiranja humu ndani.

  Kwa die hard fans wote wa bcbg,ndugu zangu kwa siku mbili sasa nimekua nikiisikiliza kwa makini SAYONS SERIEUX (SS)Baada ya kuingia sokoni rasmi ikiwa tumeisubiri for three years,binafsi nikiri hapa mbele yenu sijaipenda hasa ukizingatia muda uliotumika kuipika,Kiukweli JB has to do something especially kwenye mixing ya nyimbo zake,hawezi kufanya kazi peke yake,Akubali kushirikisha wanamuziki wazuri kama yeye,mixing quality ya karibu album yote hii is poor,anaenuna anune anae cheka acheke huo ndio ukweli,na music bandugu is mixing,ndio maana De la Forret werrason anatupiga bao,werra never made a mistake katika mixing zake.Tatizo JB anamtegemea Jules Kibens katika arrangement ya music,kweli namkubali kibens,but kibens ni mwimbaji na mtaalam wa lyrics,so hata kama ana kipaji hawezi kuwa mzuri kwenye arrangement nzima ya mixing kama wataalam wa instruments like Alain Prince Makaba “Internet”,Titina alcapone au hata Pathy Moleso aliesaidia sana kwenye ANTI TERRO ambayo angalau mixing ilikua nzuri japo ilifanyiwa south africa badala ya KIN au PARIS.

  Nyimbo sio mbaya kwa maana ya utunzi na uimbaji kiujumla but the only proble iko kwenye mixing,mfano kama mtazikiliza nyimbo kama LONIATARA uliotungwa na mpiga keyboard Cedric Guezula au EZALA ZALA wa kwake animateur GENTA LISIMO utaona jinsi kelele za GENTA zinavyomnyima kabisa nafasi PATOU na solo guitar lake kusikika.Halafu pia kitu kingine ambacho nacho nadhani kimechangia ubovu wa mixing ni kutoshiriki kikamilifu kwa “MAITRE” FICARE MWAMBA kwenye album hii,huyu jamaa kwanza ninavyojua hajawahi kutunga wimbo mbaya,na pia ni mtaalam wa sound lakini hana nyimbo kwenye SAYONS SERIEUX,but si kwamba hayupo BCBG tena no….nadhani ni kwa sababu amekua busy na project yake,anajiandaa kutoa solo album yake.But for sure bandugu,i’m very very disappointed with tis album,i don’ know you guys mtaionaje itafuteni muisikilize.

  Ushauri wangu kwa JB MPIANA,kwanza akubali kumrudisha BURKINAFASO MBOKALIA kundini ili arudishe radha ya solo guiter ya wenge hapa sina maana kwamba PATOU hafai no…but key anazotumia kwa mtazamo wangu haziendani na bcbg,yeye anapiga solo la style ya flam kapaya,pili JB amrudishe kundini TITINA ALCAPONE,atasaidia sana kwenye arrangement kwa kuwa anajua sana nadhani mnaikumbuka T.H.Ilikua ni mikono yake,tatu aachane na afute kabisa mawazo ya kumtumia JOHN MISITU wa STUDIO MECKO kama engineur de sound,huyu jamaa mi simkubali kabisa alimuharibia Kazi hata BILL CLINTON,badala yake amtumie swahiba wake ALAIN PRINCE MAKABA “INTERNET” Kwa kuwa anayo studio huko BELGIUM,album ijayo akaifanyie huko.

 10. Teddy says:

  Jamani, jamani ,Jamani Kaka Mwambungu, sijui akhasante sana na ubarikiwe basi ukizidi kuzipata nyngine tumwagie hapa jamvini.

  Haya mambo ni adimu sana kuyapata kwa vijana wa siku hizi.

 11. After I believed about points like: why this kind of details is at no cost right here? Once you publish a book then at least on offering a guide you get a percentage, simply because. Thank you and very good luck on informing men and women much more about it.

 12. Wonderful facts, exceptional and precious design, as share superior stuff with fantastic suggestions and concepts.

 13. What i do not understood is actually how you’re not really much more well-liked than you might be now. You are so intelligent. You realize thus significantly relating to this subject, produced me personally consider it from so many varied angles. Its like men and women aren’t fascinated unless it’s one thing to accomplish with Lady gaga! Your own stuffs great. Always maintain it up!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: