Nakuonjesha jinsi mji mpya wa Kigamboni utakavyokuwa

image

image

image

image

image

image

image

image

image

Mambo yameiva kwa wakazi wa Kigamboni, hii ni sehemu ya majengo ya utakao kuwa mji mpya wa Kigamboni kwa mujibu wa Mtandao wa Wizara husika.

Eneo hili litahusu maeneo ya makazi yasasa ambayo yanakaliwa na watu. Kwa mujibu wa Tangazo la Serikali la Mwaka 2008 wakazi wa kata zipatazo tano watafidiwa kuhamishwa kupisha mradi huu.

Eneo litakalo chukuliwa ni la Kigamboni likichukua zaidi ya kata tano ambazo ni Kigamboni, Vijibweni, Somangila, Mji Mwema na Kibada. Eneo hili lina wakazi wapatao 82,808 ambao watafidiwa kulingana na sheria na taratibu zilizowekwa.

Mradi huu ukikamilika mwaka 2030 utakuwa ni mji wa kipekee si tu kwa Tanzania bali kwa Afrika pia.

Advertisements

31 Responses to Nakuonjesha jinsi mji mpya wa Kigamboni utakavyokuwa

 1. Anonymous says:

  Tungekuwa makini hili si la kuwezekana mwaka 2030 bali lilitakiwa liwe limewezekana miaka 30 iliyopita.Kwa maana hiyo hii ni ndoto nzuri ya mchana.Tukiamka tutakutana na ukweli.Uzuri wetu tu mabingwa wa kuunda miradi ya makaratasi kama vile mpira wa chandimu tuliocheza utotoni.Ili kuwa na eneo la namna hiyo,tunahitaji umeme,maji,barabara,ufuataji wa sheria na bila kusahau uongozi bora unaozingatia maslahi ya kizazi kilichopo,kijacho na kitakachokuja.Sasa piga picha,ni nani wa kusimamia mradi kama huo?Tuendelee kuota….wenzetu sasa wanatuita maprofesa mipango.

 2. mwanja ukaja says:

  Mradi huu ni mzuri tatizo kubwa mradi umefuata watu badala ya watu kufuata mradi kama ilivyo kwa vituo vya jeshi. kama nia ni njema kwanini mradi usiombe eneo lisilo na makazi ya watu then watu wafuate huduma zitakazotolewa na mradi. Huo ndio ubunifu sio kuhamisha watu hizo pesa za kuhamisha zitumike kutukopesha matrekta. kilimo kwanza oyeeeeeeeeeee.

 3. Musa Lawa says:

  safiiiiiiiiiii sana, ombi langu kwa serikali wananch wa k/mboni wapewe malipo mazuri. hivi najiuliza kutaingilika baada ya ujenzi kukamilika? he he wadau hebu nisaidieni juu ya hili. naamini wataishi wazungu pamoja na watu wenye hali ya juu saana

 4. Musa Lawa says:

  NATAKA KUISHI KWENYE MJI HUU.

 5. Kiukweli hii ni zaidi ya ndoto ya mchana hasa tukiangalia aina ya viongozi tulionao nchini kwetu. Mungu ibariki Afrika Mungu ibariki Tanzania!!!!!!

 6. Anonymous says:

  chamsingi selekali inatakiwa iache unyonyaji iwalipe hakizao staiki wananchi wakigamboni naiwapatie viwanja sio nyumba za frat ambazo mwananchi hata mchicha huwezi panda wakati kiwanja chako kina kisima sehem ya kuchezea watoto.

 7. Anonymous says:

  Nassib abdul aziz bongo kama ulaya tz prezdaa umetisha mzaz

 8. Anonymous says:

  MILADI MAMBO MWANANGU MZUKA UNATISHA BABA NI MIMI ALLY JUMANNE NAPATIKANA DODOMA MWANA KIKUYU

 9. Anonymous says:

  Mimi naona serkali yetu ina mipango thabiti lakini mbona kilakukicha afadhari ya jana? Tuamke wa tz.

 10. sengo salum says:

  la kujiulza ni kwel hak imetendeka au tunapelekwa na viongoz vipofu?

 11. jumakisoda says:

  Ebwna neema Tanzania tunazitaka lkn kwa tabaka la baadhi ya viongozi inakua ni chakula yao.Na pia k/mboni Tanzania isije ikawa km south weusi kushoto wazungu kulia,ukijichanganya tu” pisto”

 12. Anonymous says:

  nambiye

 13. Anonymous says:

  naitwa Juma clement napatikana daaa mtuwangu wa nguvu

 14. Anonymous says:

  Bubu niuzushi hakuna cha mji mpya. Hao ni freemasoni ndowamenunua hiyo kigamboni wakitaka kuhalibu wamungu

 15. Anonymous says:

  Duh!! Nimepapendaje!! Naitwa dj wagadaa

 16. Anonymous says:

  acheni ku2danganya

 17. jamani selikali iwafikiriehao wananchiwa kigamboni angalauwapewe viwanjavikubwa kwanini shughulikubwakuhama sehemu ulipozoea jamaaaaaaniiiiii

 18. ahmed al shaibany says:

  Firstly, this project it would not benefit tanzania people. This project better to not be taken due it will only benefit few people who invested on this project.
  Secondly, building skyline it is not good for country environment as you can see in europe there is no skyline
  Thirdly, tanzania is very big country with large space. Why, we build skyscrapers while there a lot of empty space areas
  Fourthly, why the investors did not contract the project in their home country instead they choose tanzania.
  Kindly, tanzania people better to ignore this contract.
  I am an omani I got lot of relatives in tanzania and I was born in tanga
  All the best tanzania all the best africa

 19. Anonymous says:

  Hakika mji utakuwa mzuri zaidi na wenye kupendeza sio miji mizuri tuwe tunaiona Paris,London,Madrif,Zurich n.k sasa tutaiona Tz yetu wenyewe.

 20. tchid says:

  let’s make it happen!!

 21. Anonymous says:

  Najua hz ni mbinu za flimason 2.

 22. Anonymous says:

  its wil be very fantastic area and also we will have a pride of our country
  its batter we can still pray in God to bless us

 23. ayfel parfum says:

  Your place is valueble for me. Thanks!…

 24. Buyer Leads says:

  Appreciating the commitment you put into your site and in depth information you offer. It’s nice to come across a blog every once in a while that isn’t the same old rehashed information. Fantastic read! I’ve bookmarked your site and I’m adding your RSS feeds to my Google account.

 25. I’m really loving the theme/design of your blog. Do you ever run into any browser compatibility issues? A small number of my blog visitors have complained about my site not working correctly in Explorer but looks great in Chrome. Do you have any tips to help fix this issue?

 26. Something more important is that when you are evaluating a good on the internet electronics retail outlet, look for web stores that are regularly updated, trying to keep up-to-date with the most recent products, the top deals, in addition to helpful information on products. This will ensure you are getting through a shop that stays atop the competition and give you things to make educated, well-informed electronics buying. Thanks for the significant tips I’ve learned from your blog.

 27. Thanks for your personal marvelous posting! I genuinely enjoyed reading it, you may be a great author.I will make certain to bookmark your blog and definitely will come back very soon. I want to encourage yourself to continue your great writing, have a nice morning!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: