Wimbo wa Kombe la Dunia Africa Ya Kusini 2010; Chameleon Feat Kelly Rowland, 2face, Samini, Krotal, Awadi, Rola, Jozi – Everywhere You Go

siku 43 kabla ya kufikiwa kwa michuano ya kombe la dunia 2010 kuanza huko South Africa , tayari wanamuziki na ma kampuni mbali mbali wamesha toa ikiwemo nyimbo na matangazo kama chachu ya kutangaza Michuano hiyo mikubwa ulimwenguni kupigwa huko Africa kusini

  MTN wameachia wimbo ambao ni wa World unaoitwa “Everywhere You Go” alioimba mwanmuziki kutoka Uganda Dr. Chameleon akishirikiana na wanamuziki master mbali mbali kutoka Africa pamoja na US. Walioshirikishw katika wimbo huo ni pamoja na Kelly Rowland US, Nigeria’s 2face Idibia, Ghana’s Samini, Cameroon’s Krotal, Senegal’s Awadi, Rola, South Africa’s Jozi, Zuluboy, pamoja na Kwesta, Slikour. Nyimbo hiyo ya mahadhi ya mirindimo ya ki sasa zaidi ni kama R & B mwanzoni wimbo na sehemu ya pili ya wimbo huo ipo katika mahadhi ya kitamaduni na mchanganyiko wa reggae. Hongera chamilion twangoja kuona utakacho kifanya huko Africa kusini lakini pia kutuburudhisha zaidi.

Na Malkia wa Bambataa

One Response to Wimbo wa Kombe la Dunia Africa Ya Kusini 2010; Chameleon Feat Kelly Rowland, 2face, Samini, Krotal, Awadi, Rola, Jozi – Everywhere You Go

  1. Internet access control software

    Wimbo wa Kombe la Dunia Africa Ya Kusini 2010; Chameleon Feat Kelly Rowland, 2face, Samini, Krotal, Awadi, Rola, Jozi

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: