Kiwanda cha Uchapaji kinauzwa!!

October 5, 2010

Printing Factory

Kiwanda cha Uchapaji kinauzwa kama kilivyo pamoja na Ofizi kilipo.

Ukilipa ni pamoja na kodi ya Pango pale kiwanda kilipo.

Piga simu kwa simu zilizopo hapo juu.


Msiba Tanzania na India

October 5, 2010

Align Center

Hayati ANTHONY ATHANAS MIHIGO (Tony Draft)

11 APRIL 1975 to 02 OCTOBER 2010

Ndugu habari ya leo kwa heshima na taadhima tunaomba kutumia nafasi hii kutangaza kifo cha mpendwa wetu Anthony Athanas Mihigo aliyejulikana zaidi kama TONNY na wenngine walimfahamu kama TONNY DRAFT, kaka wa Adolf Athanas Mihigo kilichotokea kwa ajali ya gari usiku wa Ijumaa (01/10/2010) kuamkia siku ya jumamosi huko nchini INDIA katika mji wa HYDERABARD alikokuwa akifanya shughuli zake za biashara kwa muda wa miezi miwili iliyopita.

Mipango ya kusafirisha mwili kuuleta hapa Dar Es Salaam kwa mazishi inaenda vyema kwa ushirikiano mkubwa kutoka kwa jamaa zetu walioko huko wakiongozwa na mpambanaji Dougras Makongoro Bwire.

Kwa wale wa Dar msiba upo nyumbani kwa baba wa marehemu eneo la sinza jirani na kituo cha mafuta cha GBP, ni wakati muafaka kufarijiana na kujuliana hali,

Kwa mawasilaino na ndugu pamoja na jamaa kupata “updates” unaweza kuwasiliana na :-

Adolf Mihigo 0713-767680

Tonny Kingunge 0713-552994

Salum Mpugusi 0655-281081

Dougras Makongoro +919985985853

“BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA, JINA LA BWANA LIHIMIDIWE”