Huenda Adebayor akatimkia Tottenham

image

Adebayo: Stiker huyu alifunga magoli mawili msimu uliopita dhidi ya Tottenham Kwenye Champions Ligi.

 

Klabu ya Tottenham imesema kuwa iko mbioni kukamilisha mipango ya kumsajili Striker Emanuel Adebayor, Kocha Harry Redknapp amesema wako mbioni kumsajili stiker huyu wa Manchester City na Zamani Arsenal wako tayari kumchukua kwa mkopo.

Kitendo cha Robbie Keane kujiunga na LA Galaxy kinatoa mwanya kwa timu hiyo kufanya usajili wa forward wa ziada na Redknapp anamuwinda Adebayor sana kilisema chanzo kimoja toka klabuni hapo.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: