Waka Waka; Wimbo wa Shakira kwa Kombe la Dunia ulioleta maneno Afrika Kusini.

Wimbo mpya wa Shakira ambao umetungwa maalum kwa ajili ya Kombe la Dunia huko Afrika ya Kusini umeleta maneno toka kwa wananchi wa Afrika Kusini wakilalamika kuwa wamesalitiwa haikupaswa wimbo maalum kuimbwa na mwanamuziki toka nje ya Afrika Kusini.

Malalamiko hayo yamekuja siku chache baada ya wimbo huo kutoka na kuripotiwa na Voa. Wimbo huo mpya unaitwa Waka Waka kwa mujibu wa Shakira ana sema maana yake ni “Ni wakati wa Africa”, sina hakika na hii maana ni lugha gani.

Kwa mujibu wa mtangazi wa Voa Jenny Crwys-Williams wananchi wengi walionyesha kusikitishwa kwao na uamuzi huo.

"I love it that South Africans are just coming together as South Africans and saying ‘Damn it, we’ve got our own people and it’s an African World Cup, it’s ours, it belongs to us’ so why don’t we use some of the magnificent talent that we’ve actually got? That’s my reading of the calls we got," Crwys-Williams explained.

Gonga hapa kusoma zaidi.

Advertisements

3 Responses to Waka Waka; Wimbo wa Shakira kwa Kombe la Dunia ulioleta maneno Afrika Kusini.

  1. paul kalanga says:

    ametishaaa

  2. paul kalanga says:

    huo wimbo wa shakira ulikuwa gumzo mtaani katika kipindi chote cha kombe la dunia 2010

  3. Lavon Tussey says:

    Pretty specified he will possess a fantastic read through. Thank you for sharing!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: