Siku sita baada ya Kubadili dini na kuwa MUISLAMU, Jose Chameleon arejea kwenye UKRISTO

image

Jaffar Ghaddafi muite tena Jose Chameleone,coz amefunguka na kuvunja ukimya baada ya siku 6 tangu abadili dini na kuwa muislamu….hatimaye amerudi kwenye dini yake ya awali,aliyozaliwa na kulelewa na familia yake Mkristo wa Roman Catholic. Chameleon aliyasema hayo alipokuwa akiohojiwa na muandishi wa habari majuzi.

Wiki hii vyombo mbalimbali viliripoti kubadili dini kwa Chameleon ambo lililopelekea mtafaruku kwenye familia yake.

“Nilihudhuria sala ya Ijumaa na mke wangu Daniella alikua anajua,ili niwe karibu na mungu,lakini ilipokelewa kwa hisia tofauti na kushangaa jinsi alivyopokelewa msikitini hapo na kuishia kutoa shahada,neno ambalo linamtambulisha mtu aliyeigia kwenye dini ya kiislam na kuahidi kuamua kurudi kwenye dini yake ya zamani…alifunguka pande za home kwake Seguku,Entebbe Road-Uganda akiongea na waandishi wa habari….

Alifunguka zaidi “Bado anampenda Daniella na wala sijaachana nae wala siwezi kuishi bila yeye na kukiri aliishi kwa shida siku hizo 6 za kwa sasa amerudi kwenye dini yake ili aelewane na familia yake na wakwe zake pande za home kwake Seguku,Entebbe Road-Uganda”

Pia Sheikh Ghaddafi alionesha simu yake alipokua anampigia mke wake Daniella na kuzichunia…na kubadili caller tune yake iliyokua na nyimbo ya Chameleone na kuweka ya Judith Babirye track ya Mukama Wanjagala na Chameleone alikua kwenye pressure kubwa toka kwa dingi yake,Mzee Mayanja,Mashangazi na dingi alifunguka kuwa hamtambui Jaffar Gadaffi….ila ataongea na Joseph Mayanja

Chameleon alinukuliwa na gazeti la Ugandan Daily akisema “my family is so important, I love my God but this thing of converting, and leaving all my family in a mess, still it won’t please my God”.

Pia aliulizwa kama ataliacha jina lake la Ghadafi alilojiita baada ya kutangaza kubadili dini Chameleon alisema “…watu wananiita kwa majina mengi tu tangu niwe mwanamuziki ila jina langu halisi ni Joseph Mayanja mtoto wa Gerald Mayanja” kimaanisha kuwa hilo litabakia kuwa moja kati ya majina mengi aanayoitwa na mashabiki wake.

Pia amesisitiza kuwa jumapili hii atahudhuria misa kwenye kanisa lake alilofungia ndoa la Mutungo Binna akiwa na familia yake.

Source: 1fm Radio

3 Responses to Siku sita baada ya Kubadili dini na kuwa MUISLAMU, Jose Chameleon arejea kwenye UKRISTO

  1. We stumbled over here from a different web address and thought I might check things out. I like what I see so now i’m following you. Look forward to exploring your web page repeatedly.

  2. When I imagined about issues like: why such facts is at no cost right here? If you compose a book then a minimum of on offering a guide you will get a percentage, since. Thank you and superior luck on informing individuals a lot more about this.

  3. Quite wonderful blog and excellent and articles or blog posts.beneficial design, as share excellent stuff with very good suggestions and concepts.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: