Yuko wapi Allain Konkou?

Unamkumbuka Alain Kounkou alivyowasha moto Africa nzima 1992 na hii kitu ?? wewe ulikuwa wapi wakati huo na unakumbuka nini ukisikiliza hili Generique la ukweli????

Sijui yuko wapi huyu mtu alikua na masebene ya ukweli.

10 Responses to Yuko wapi Allain Konkou?

 1. K'Odero says:

  Fununu zinasema kwamba Alain Kounkou siku hizi anafanya biashara ya kibinafsi huko Ufaranza akiwa ndiye Mkurugenzi mkuu kwenye kampuni mmoja ya biashara ya majumba

 2. Anonymous says:

  huyu mtu alitisha sana enzi zake,lol shukrani kwa kumbukumbu hii nzuri

 3. edmas says:

  HUYU JAMAA ALIKUWA ANANIKOSHA SANA NA STYLE YAKE YA MUZIKI WA SOUKOUSS.HIKI KIBAO CHAKE CHA DANSEZ HADI LEO SIJAONA CHA KULINGANISHA NACHO, MAANA NYUZI ZA NENEH TCHAKOU, NI BALAA. HIKI NILIKISIKIA KWA MARA YA KWANZA NOVEMBA 1991 KWENYE FRESHERS BALL YA UDSM TUKIWA FIRST YEAR UKUMBI WA RUNGWE OCEANIC – KUNDUCHI ENZI HIZO.

  KUNA VIKALI VINGINE NAVIKUMBUKA NAVYO ALITESA SANA KAMA EXPERIENCE, ANDOLO NA MASAPA JUST TO MENTION A FEW. HUYU ALIKUWA NOOOMAAAAA.

 4. edmas says:

  Mkuu PIUS kuna mkali mwingine aitwae JEAN BARON, yupo wapi huyu? maana tangu atoe solo albam MAMI LOLO aliyopiga na LOKETO Group sijamsikia tena.
  Kama kuna mdau ana taarifa zake anijuze, nae nilimhusudu sana hasa katka ile ngoma PARDON.

 5. Anonymous says:

  nauliza neneh ,kimoko na diblo nani alikuwa zaidi kwa kupiga solo wadau wa spo
  spoti na starehe nipeni jibu

 6. Anonymous says:

  Kila mtu alikuwa na style yake, Ila mimi nilikunwa na Mbukinafaso, mandosi Mbembe Nenee maarufu kwa jina la nene chakou, Msikilize kwenye wimbo wa sherry Pambu

 7. Anonymous says:

  lol enzi hizo RTD saa mbili na nusu baada ya taarifa ya habari ya saa mbili usiku ilikua lazima liwekwe hili sebene na hizo atalaku zake,kiufupi huu sio wimbo bali ni generique kama alivyosema muandishi

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: