Daddet,Wimbo toka Wenge ya Zamani

March 23, 2012

Binafsi nilikuwa nampenda sana Werrason alipokuwa bado na kundi zima la Wenge kwa sababu ya Sauti yake nzito ambayo alikuwa mchombezaji mzuri sana.

Combination ya Sauti ya Werrason, JB Mpiana, Aimelia, Dominguez na Sele Bulla kwa kweli ilikuwa ni ya aina yake, jamaa walikuwa wanatisha sana.

Hebu sikiliza huu wimbo Daddet ambao ulitungwa na mcharaza gitaa mahili wa Bass Didie Masela Vando Mazz, Mwenyewe Ikokota alikuwa akimuita Vando Vando Vandooo jamaa anazimu hatariiii.

Respect kwa wasomaji wangu wote, Mamaa Sophia Kessy, Pendejee Maghambo Philipo popote ulipo tuko pamoja, Julie ellyston Suvereign na Mamaa Emmy, Batty My Brother pamoja na Mamam Joy, Mukubwa Edgar Kiiza muzee ya Malaysia, Ally Tandika diwani muzee ya Azam na Bimkubwa wako, Mukubwa Six Mzee wa Matombo na Mamaa Kemmy, Tom Baba Maya aka Chiluba, Mukubwa Gerald Kitima Baba Kara, Dulla Asumani muzee ya Tigo, Hadj le Jbnique, Patrol de Patrol Shaibu Thabit, Farid, Hdj Le BCBGQ, bila kumsahau Swahiba Alhaj Tameem Mngoya Juma Ahmed Lukuta wa Kibanda Kicheba kwa Semkopi pamoja na Werasonique wooote, . Pamoja sana.