The Millen Magese Model Search 2012.

March 20, 2012

image


wamtambua nani hapa?

March 20, 2012

image


FERRE GOLA 2012 LIVE IN ABIDJAN-SEBENE!

March 20, 2012

Kipimo cha wasanii wa Congo kwa Africa ni Abdijan huko kunamashabiki wengi wana wa muziki wa Kongo. Ambapo inasemekana nao hufurahia sana wakiwa huko kwani hupata mapokezi na treat zilizo njema kabisa, inawezekana kutokana na ufahari wa lugha ya kifaransa ambayo inaongewa pande hizo, hebu angalia Ferre Gola akiwa anajituma hapo.


BILL CLINTON ANAKUJA KIVINGINE….TARATIBU..AKIWA "MSAFI"

March 20, 2012

Kwa wasiomfahamu Bill Clinton Kalunji alikuwa atalaku wa WMMM na kijana alitamba sana enzi hizo Maison Mere wakitamba naye na huku BCBG wakitamba na Tutuu Kaluji. Hebu msikilize hapa akija kivingiiiine.