Unamkumbuka mamaa Mokonzi Scola Miel wa Bozi Boziana wewe?

Unamkumbuka mamaa  Mokonzi Scola Miel wa Bozi Boziana wewe???msome hapa basi umkumbuke zaidi pamoja mzee mzima Bozi Boziana live on stage na kitu BEYONIE, enzi hizo style ya nzawisa iko juu sana, ulikuwa wapi,mimi nilikua form 2 nakumbuka vizuri sana,wewe je??Mzee Bozi alikua na wacheza show ambao walikua pia waimbaji bora kabisa, huyu Scola na mwenzie Betty.

13 Responses to Unamkumbuka mamaa Mokonzi Scola Miel wa Bozi Boziana wewe?

 1. mkemimi,kigoma,ujiji says:

  yap scola alitisha enzi zake na shepu yake pamoja na kiuno chake bila mfupa,naona kwa sasa atakua mtu mzima kidogo lakini sijui kwanini hakuendeleza kipaji chake katika uimbaji na kuungana na wamama wengine wa congo kama tshala muana ambae last month nilisikia yu mgonjwa mahututi,sijui anaendeleaje hata,naomba anaejua afunguke tujue,namuombea kila la kheri though,apone upesi.

 2. laurent nkunda says:

  tungependa kujua scola na beti wako wapi na wanafanya nini? umetudokeza tu kidogo,ni kama umetulambisha pipi then kabla haijachanganya mdomoni,umeichukua.fanya utafiti utupe safari yao yao ya muziki tangu waanze hadi sasa

 3. Dr.Kamala N.A. says:

  HIYO ILIKUWA NI MWISHO WA STAREHE NDUGU.

 4. Alain mpela says:

  Mjuzi mambo ya NZAWISA atujuze

 5. Alain mpela says:

  Ni haki viongozi wizara ya elimu kula kiapo huku walimu ambao ni watekelezaji wakiambulia nyongeza ya tsh39,000/= ya mshahara?

 6. Samson Mollel says:

  Du mbali sana. Natamani uje tena Tanzania na esp Boziana, Scola, Betty, Deo na Koffi Alibaba. Karibuni sana.

 7. betty kaolewa na producer wa huko anaitwa simon mayilo pian aliacha muzik anaendeleza biashara zake za nyumabani pia ni nesi anafanya shaughuli zake za kujikimu mda mwing yupo paris ni mama w atoto watatu

 8. Thanks for the marvelous posting! I seriously enjoyed reading it, you may be a great author.I will remember to bookmark your blog and definitely will come back very soon. I want to encourage one to continue your great writing, have a nice evening!

 9. Greta Sigel says:

  Its my good pleasure to go to your web site and also to appreciate your good posts here. I like it a whole lot. I can really feel that you paid much attention for all those content articles, as all of them make sense and are extremely useful.

 10. Its my great pleasure to visit your web site and to get pleasure from your terrific posts right here. I like it a lot. I can truly feel that you simply paid substantially attention for anyone posts, as all of them make sense and therefore are pretty valuable.

 11. Your blog keeps coming up when I talk with people about this topic. How would you recommend using these tips within a school setting? You really have a great sense of humor. There are certainly a lot of info to take into consideration. LinkedIn professionals would really like your post.

 12. It’s strange to hear this from you. I really love your posts but… I am dyslexic. Do you have Youtube videos on the subject? As I apply more of your insights, I understand how your experience has made you into a top expert in your industry. When I turned on my browser this website was loaded. Hello from Arkansas!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: