Daddet,Wimbo toka Wenge ya Zamani

Binafsi nilikuwa nampenda sana Werrason alipokuwa bado na kundi zima la Wenge kwa sababu ya Sauti yake nzito ambayo alikuwa mchombezaji mzuri sana.

Combination ya Sauti ya Werrason, JB Mpiana, Aimelia, Dominguez na Sele Bulla kwa kweli ilikuwa ni ya aina yake, jamaa walikuwa wanatisha sana.

Hebu sikiliza huu wimbo Daddet ambao ulitungwa na mcharaza gitaa mahili wa Bass Didie Masela Vando Mazz, Mwenyewe Ikokota alikuwa akimuita Vando Vando Vandooo jamaa anazimu hatariiii.

Respect kwa wasomaji wangu wote, Mamaa Sophia Kessy, Pendejee Maghambo Philipo popote ulipo tuko pamoja, Julie ellyston Suvereign na Mamaa Emmy, Batty My Brother pamoja na Mamam Joy, Mukubwa Edgar Kiiza muzee ya Malaysia, Ally Tandika diwani muzee ya Azam na Bimkubwa wako, Mukubwa Six Mzee wa Matombo na Mamaa Kemmy, Tom Baba Maya aka Chiluba, Mukubwa Gerald Kitima Baba Kara, Dulla Asumani muzee ya Tigo, Hadj le Jbnique, Patrol de Patrol Shaibu Thabit, Farid, Hdj Le BCBGQ, bila kumsahau Swahiba Alhaj Tameem Mngoya Juma Ahmed Lukuta wa Kibanda Kicheba kwa Semkopi pamoja na Werasonique wooote, . Pamoja sana.

3 Responses to Daddet,Wimbo toka Wenge ya Zamani

 1. Hadj Le Jbnique says:

  Aaah Daddet Mpoko….i luv this song ambao ulikua ni maalum kwa ajili ya mdau mkubwa wa wenge musica tout terrain enzi hizo.

  Bendi ilipogawanyika na mashabiki nao tukagawanyika,hali iliyompata pia Pdg Daddet Mpoko ambae aliamua kumfuata jb mpiana na mpaka leo bcbg wanamtaja taja sana mkubwa huyu.

 2. Anonymous says:

  kwenye albu hii ya pentogone Didier masela mpiga bass kama kawaida yake alitunga nyimbo mbili kali sana,huu wa daddet mpoko na ettepe buengo,hizi nyimbo kiukweli huwa sichoki wala kukinai kuzikiliza.

  melesi mingi DD kwa nyimbo hizo mbili.

 3. Merci mingi mwanamboka Pius mobali kitoko

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: