Simba na Yanga Dugu moja bana

vvccfv

Hapa ni Mburahati kwa Jongo ambapo Tawi la Yanga na la Simba yako pamoja. Hii ni uashirio kwamba ushindani si lazima kuwa maadui ni tofauti za kimtazamo, imani au ushabiki tuu.

2 Responses to Simba na Yanga Dugu moja bana

  1. Isaq Kifaluka says:

    Kwa hakika hiyo ndo tafsiri halisi na majibu Kwanini Tanzania ni kisiwa cha amani.
    Tanzania ni kisiwa cha amani kilichosheheni mapendo,uzalendo na watu wake ni wenye Utu wa UTU.
    Ushabiki ni sehemu ya maisha ya shabiki yeyote yule na kama alivyowahi kusema Mwalimu Nyerere kuwa Watanzania Hatuulizani utofauti wa Makabila ila Tunataniana Makabila ili Kujenga Umoja wetu.
    Mungu bariki Viwango vya klabu zetu za Soka
    Mungu Ibariki Tanzania

    • Beyond helpful information. Your blog has a kind of aura surrounding it. It’s funny I believed I knew what I was talking about before seeing your work but it turns out I am a dum dum.

Leave a comment