Sharo Milionea updates; Kamanda Costantine Masawe athibitisha kifo chake

image

Kamanda Wa Polisi Mkoa Wa Tanga Bw. Costantine Masawe amethibitisha kuwa msanii Sharo Milionea amefariki dunia baada YA kupata ajali huko Kijiji Lusanga Muheza Kilometa chache kabla hujafika Tanga mjini.

Sharo ambaye amezaliwa jijini Tanga na pia ni mwenyeji Wa Muheza alijizolea umaarufu kwa swaga zake Za kibrazamen katika uogizajI wake.

Awqli mitandao Habari zilithibitishwa na wadau kwenye mitandao YA kijamii ikimnukuu Tundaman kuwa alipigiwa simu na mtu toka Hospitali kupitia simu Ya Sharo Milionea akithibitisha Habari hizo na kunukuliwa kwenye Twiter na wadau.

Mwenyezi Mungu aiweke roho Ya Marehemu pema peponi Amen

13 Responses to Sharo Milionea updates; Kamanda Costantine Masawe athibitisha kifo chake

 1. Anonymous says:

  Jaman kama kuna mtu ana hata picha za hiyo ajali bas mtuwekee tuone cz hata hatuamini kbs….

 2. Anonymous says:

  kweli nimeamin vzuri havidum juz 2 kafa mwigzaji leo tena SHARO atabak nani? KUFA KATIKA YESU SASA TENDA YANAYOMPENDEZA MWENYEZI MUNGU

 3. Honest Tippe says:

  too painful losing u bro sharo milionea, unatangulia kaka alaf c tutafuata. rip sharo!

 4. bernice says:

  nimakosa kukulalamika,kazi ya Mungu haina makosa,ila kama ingekuwa nina uwezo wa kumrudisha Sharo basi ningefanya kila hali arudi,inauma sana sana kweli bado tunampenda ila mungu kampenda zaidi

 5. Anonymous says:

  R.I,P BRO

 6. Erick shoo says:

  Duh kwaher sharo bwana alitwaa na bwana ametoa jina lake lihimidiwe Amen.

 7. Duu yaan siamin kama kweli shallo katutoka

 8. So mnaweza kututumia picha za ile ajali

 9. Unajua katika maisha tunaish kalibu na kifo ninan ambaye angezania kuwa shallo angetutoka yote tumwachie mungu

 10. Life is not fair myself for alwayz i believ and trust only the god becouz god is all gods never i forget you shallo millionea

 11. Pretty specific he will have a fantastic read through. Thank you for sharing!

 12. The Article says:

  Excellent article you have got here. My dad would tell me the same sort of concepts. That could become a really costly and might be a dangerous venture. I was reading your website and my stupid hamster spilled a glass all over my keyboard! Is there anything else I might read to learn more about this topic?

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: