Kidiamfuka; Utunzi wa El dorado uliombeba Fally Ipupa

Kwa wapenzi wa Fally Ipupa wimbo huu Kidiamfuka ni mmoja wa nyimbo zilizompa nafasi na chat mwanamuziki huyo. Kiukweli Wimbo huu wengi wetu tulidhani ni utunzi wake Fally Ipupa ilihali wimbo huu mtunzi halisi ni El Dorado ambaye pia ametunga wimbo 100 kilos wake FERRE GOLA na Detresse ambao awali ulidhaniwa ni wa Mimiche Bass, sikiliza wimbo huu kisha nipe maoni yako.

Advertisements

8 Responses to Kidiamfuka; Utunzi wa El dorado uliombeba Fally Ipupa

 1. glady says:

  Me so mpenzi Sana fally but Ni nyimbo niliyotokea kuipenda sana, na nyimbi nyingine kama liputa.

 2. Anonymous says:

  uchi

 3. Fally pupa nampenda mwanzo mwisho kulingana na nyinbo zake zilivyo poa

 4. Keyd Madida says:

  Dah! Nimeduaa Kumbe Jamaa Aliandikiw?!!, Aise kwa Maelezo Yako Kuna Ki2 Nimegain

 5. kwang mi cshangai ku2ngiwa nkawaida2 wa2 wanajua kuimba2 ku2nga ndo issue. xo big up ma bro.

 6. hata daimond nyimbo kibao ka2ngiwa kaiba mbaka nyimbo ya wababa

 7. glady says:

  Hi Pius what is going on, uko kimya Sana.

 8. Anonymous says:

  Jmanai hata wasanii wakubwa wa US wanatungiwa ndo maana kuna hata tuzo za watunzi bora.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: