Kisura wa Tanzania, Mchakato kuanza Agost 16

August 1, 2009

Meneja Mradi wa shindano la Kisura wa Tanzania Nicole Kapesi akizungumza na wanahabari katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo leo kuelezea kuanza kwa mchakato wa kutafuta kisura huyo utakaoanzia Arusha Moshi, Karatu, Tanga na Dar es alaam kuanzia tarehe 16 mpaka 21Agosti na kufuatiwa na miji ya Musoma, Mwanza na Ngara tarehe 27 Agosti mpaka tarehe 2 Septemba kabla ya kupisha mfungo wa Ramadhan kushoto ni Emmy Melau Kisura wa Tanzania mwaka jana 2008.

Na John Bukuku