Ubalozi wa Marekani wamkaribisha Hasheem Thabeet Nyumbani!!

Hasheem akisaini kwenye mmoja wa mipira ambayo imetolewa na ubalozi wa Marekani kama msaada kwa timu ya vijana, anayeangalia ni Karen Grissete.

. Hasheem akila pozi na Raisi Jakaya Kikwete na familia yake wakati wa sherehe hiyo iliyoandaliwa na ubalozi wa Marekani.

Hasheem akiwa na ndugu zake kwenye sherehe hiyo.

Picha zaidi kwa hisani ya Michuzi gonga hapa.

One Response to Ubalozi wa Marekani wamkaribisha Hasheem Thabeet Nyumbani!!

  1. reptilia says:

    ebana iyo picha ya pili, SIO rais Kikwete huyo.Ni mwanawe………

Leave a comment