Acha tamaa ya FM Academia utunzi wa Kabeza.

Katika muziki wa Dance wa Tanzania kuwa vichwa binafsi huwa navipenda sana jinsi wanavyoimba au wanavyotunga.

Binafsi yangu huwa nathubutu kusema Hii Album ya Dunia Kigeugeu ni moja ya Albamu Bora ambazo zimeshapigwa sio tu na FM wenyewe bali na bendi hizi zinazobeba wana muziki wa Congo hapa nchini.

Nyimbo hii ya Acha tamaa pamoja na nyimbo kama Anna, Acha Tamaa, Malkia, Balaa na nyinginezo zoote zilikuwa nzuri na nawahakikishai Ngwasuma hawawezi kuja piga albamu nyingine kama hii sijui mpaka sasa sijaona.

Mtunzi wa Wimbo huu wa Tamaa anaitwa Alfre Kabeza kama sijakosea jina huyu jamaa ndio alileta mageuzi na huu wimbo ukawa kama wimbo wa Taifa hii ni baada ya wimbo wa Shida wa Mule Mule FBI Liberko La Loi kutamba.

Humu pia nilikuwa nampenda mtu anaitwa Ige Muyamba ambaye kwa kiasi kikubwa naye alikuwa anaimba na kutunza, Unataka kujua kilichompata?? Soma hapa hapa utaona.

Kazi kwenu wana Ngwasuma umizeni vichwa tuna hamu ya kupata radha hii tena.

Advertisements

2 Responses to Acha tamaa ya FM Academia utunzi wa Kabeza.

  1. Leberkrebs Lebenserwartung…

    […]Acha tamaa ya FM Academia utunzi wa Kabeza. « Spoti na Starehe[…]…

  2. plenty of terrific information and inspiration, both of which I need, because of present this kind of a helpful info here.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: