Aliyemkimbiza Lilian Internet Twaha huyu hapa!!

image

Hivi majuzi ilitangazwa mcheza sho wa Twanga Pepeta Lilian Internent ametimkia Mashujaa Band, mwenyewe akikaririwa akisema maslahi ndio yamempeleka huko.

Habari za mashabiki zinasema kuwa Lilian ambaye alipata umaarufu sana kutokana na uchezaji wake ambao uliwavutia mashabiki amekimbizwa na mwanadada huyu mahiri anayejulikana kama Fasha Joshua.

Mwanadada Fasha anakubalika na mashabiki na kwa sasa anapeleka vilivyo ndani ya ngome ya Twanga. MAshujaa pamoja na Lilian Internet pia wamemchukua aliyekuwa mpiga solo wa Twanga Ally Akida.

Lilian na Ally Akida kwa pamoja wamsaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia Mashujaa Musica na watatambulishwa Jumatano hii ndani ya ukumbi wa Nyumbani Lounge.

Advertisements

One Response to Aliyemkimbiza Lilian Internet Twaha huyu hapa!!

  1. paul samara says:

    napenda kutoa wazo kwa wanenguaji wa aina ya lilian internet,kuwa umri umeshawatupa mkono,wafikirie kupumzika au kutafuta mtaji ili waweze kufanya shughuli zingine.nawazungumzia watu kama aisha madinda ambae kwa sasa ana mtoto alie form four lakin cha kushangaza bado ananengua nusu uchi kwenye majukwaa,quine suzy, otilia boniface,ambae sasa hivi nadhan ameshaolewa zaidi ya mara tano kwenya maisha yake.,wanenguaji hawa wamekuwepo kwenye kazi hiyo tangu miaka ya 96 hadi leo,waachie damu changa kama fasha joshua waweze kuendelea- muziki wa dansi tanzania kwa ujumla haupigi hatua kutokana na kukosa fikra mpya,ni watu wale wale miaka nenda rudi,hatuoni vijana wapya au waimbaji wapya wakiibuka,kama ilivyo kwenye bongo fleva ambayo kila kukicha tunaona majina mapya kwenye game, bongo fleva uhai upo kiasi flan,wanapata mialiko nje ya nchi,ingawa haikua kwa kiwango tunachotaka,lakin harakati zao tunaziona, sasa kwenye dansi majina ni yale yale banza stone,ally choki,nyoshi,mwamba,katapila,madinda ,intenet,suzy, wale wale zaid ya miaka kumi na tano.muziki wa congo tumeshuhudia kuibuka kwa damu mpya kila baada ya miaka kadhaa,hii inasaidia sana,

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: