Warembo wa Vodacom Miss Tanzania waingia rasmi V-House

Na Othman Michuzi

Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba (katikati) akigonganisha chupa za shampeini na warembo wanaoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011, muda mfupi baada ya warembo hao 30 kuingia katika Jumba la Vodacom lililopo jijini Dar es Salaam jana.

 

Warembo wanaoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011, wakigonganisha glasi zao za shampeni muda mfupi baada ya warembo hao 30 kuingia katika Jumba la Vodacom lililopo jijini Dar es Salaam jana.

Warembo wanaoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011, wakigonganisha glasi zao za shampeni muda mfupi baada ya warembo hao 30 kuingia katika Jumba la Vodacom lililopo jijini Dar es Salaam jana.

Warembo wanaoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011, wakicheza kwaito wakati wa tafrija maalum ya kuwakaribisha katika Jumba la Vodacom lililopo jijini Dar es Salaam jana. Jumla ya warembo 30 waliingia katika jumba hilo kwa kambi yao.

Advertisements

One Response to Warembo wa Vodacom Miss Tanzania waingia rasmi V-House

  1. burn fat says:

    Strikingly well written blog..

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: