Happy Valentine na Bana Londre..

Happy Valentine day wadau,siku kama ya leo wenzetu wacongoman wanaoishi na kufanya kazi London Uk waliandaa kitu kizuri kwa ajili kukutana pamoja na ku show love,hebu tupate video hii nzuri tuone ilikuwaje watu walivaaje,waliburudikaje n.k.

Mamaa Godet wa Boutique la fontaine ndio aliwezesha hafla hiyo ya valentine ndani ya London,merci mingi mamaa!mdada alieimba hapo anaitwa Claudia Le Perle.

6 Responses to Happy Valentine na Bana Londre..

  1. bcbg forever says:

    kweli jamaa wanapenda ku party..yani pamoja na kuwa ugenini lakini raha palepale

  2. Anonymous says:

    nimemuona mtu kama burkinafaso mbokalia na gita lake la solo hapo,vipi siku hizi jamaa anapiga kazi london nini?yuko na bendi gani hiyo?

  3. Appreciating the hard work you put into your blog and in depth information you provide. It’s nice to come across a blog every once in a while that isn’t the same out of date rehashed information. Wonderful read! I’ve bookmarked your site and I’m adding your RSS feeds to my Google account.

  4. Very great blog and fantastic and articles.important design and style, as share superior things with great concepts and ideas.

  5. plenty of great information and inspiration, both of which I need, thanks to offer you such a useful facts right here.

  6. At this time it looks like Drupal is the top blogging platform available right now. (from what I’ve read) Is that what you are using on your blog?

Leave a comment