Solo ya Risasi kidole ya Mashujaa band na Sous Sol ya Werason wa WMMM

Katika vitu huwa nafanya ni kuusikiliza muziki hasa huu niupendao wa Kongo napenda sana kusikiliza kila kinachopigwa humo ndani yake, halikadhalika kwa muziki wa dansi wa hapa nyumbani.

Wimbo hapo juu ni Risasi kidole ya mashujaa musica! Sasa natofautishaje vionjo vya solo gitaa na vile vilivyoko kwenye sous sol ya wenge musica maisom mere ya Werrason Ngiama?

One Response to Solo ya Risasi kidole ya Mashujaa band na Sous Sol ya Werason wa WMMM

  1. K'Odero says:

    Bendi nyingi za TZ wanapenda sana kuiga style za wanamuziki wa Congo bila haya. Hebu sikiliza kwa makini wimbo ‘Intro FM’ ya FM Academia utapata wameiga rhythm guitar kutoka kwa wimbo ‘Effet Placebo’ ya Werrason kwenye album ‘A la queu leu leu (Koyimbiko) na hata vifijo vya kuitambulisha sebene ya wimbo wao wa ‘Dunia Kigeugeu’ wameiga vifijo vilevile vya kutambulisha sebene ya ‘Fanny’ ya album hio hio ya Werrason. Hii ni kando na wimbo wao wa Heineken Promo kujaribu kurudia ‘Kipe Yayo’ mzima ya J.B. Mpiana ila tu kwa Kiswahili

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: