FFU wa Ngoma Africa katika Makamuzi ya hatari AFRILU Festival!

FFU wa Ngoma Africa katika Makamuzi ya hatari AFRILU Festival!

FFU wa Ngoma Africa band! wakiwa katika makamuzi ya hatari hatari! kwenye onyesho la AFRILU Festival mijin Ludwigshaven,Ujerumani, ambako onyesho hilo la ijumaa ya lililowatia kiwewe washabiki na kukubali kuwa "Bongo Dansi" la FFU wa Ngoma Africa ni virungu vya kimataifa
hakuna kulala

One Response to FFU wa Ngoma Africa katika Makamuzi ya hatari AFRILU Festival!

  1. Julio Lorr says:

    I want you to thank for the time of this great study!

Leave a comment