Werrason afiwa na Baba Mzazi

April 16, 2011

Nichukue nafasi hii kwa niaba ya wapenzi wa bcbg wote kutoa the deepest condolences kwa mzee mzima Le Roi De la Forret Werrason kwa kuondokewa na baba yake mzazi pia pole ziwafikie ma mawerrasonique wote duniani katika kipindi hiki kigumu mungu awatie nguvu wote walioguswa na msiba huu mzito.

Nimewachagulia wimbo huu hapo chini ambao koffi olomide na cindy wake walimuimbia Mamaa EDITA OMARI BONGO au EDITA SASOU NGUESSO ambae alikua mke wa presidaa OMARI BONGO wa Gabon na pia alikua ni binti wa kumzaa wa Rais DENNIS SASOU NGUESSO wa CONGO BRAZAVILLE, huu ni wimbo wa majonzi baada ya kifo cha maman EDITA.

Shukrani za kipekee kwa mdau wangu Hadj Le Beeceebeegeeque Namabari One!! Eleeeeeengi Papaa.

Advertisements

%d bloggers like this: