FERRE GOLA ANASUBIRIWA SOUTH AFRICA KWA AJILI YA SHOO

October 3, 2014

 

BOFYA KICHWA CHA HABARI UTIZAME ” SHOO WALIOIFANYA  MWEZI WA INNE MWAKA HUU KWENYE UKUMBI WA GRAND HOTEL DE KINSHASA.

 

Mtunzi wa Album ” BOITE NOIRE ” KIJANA MACHACHARI MWENYE SAUTI ILIO NYORORO YAKUMTOA NYOKA UKINGONI  ” FERRE GOLA ” Anasubiriwa Mwezi Huu JIJINI  JOHANNESBOURG kwa ajili ya SHOO kadha inayo andaliwa na WANA DIASPORA YA CONGO Wanaoishi Huko..

Bado akiwa kwenye harakati ya kumalizia Wimbo wa Matangazo kwa ajili ya Mdhamini wake KIWANDA CHA BRALIMA kinacho tengeneza Bia ” PRIMUS “, Wimbo ambao kama hapajatokea na mabadiriko yeyote Utatupwa Sokoni Mwishoni mwa mwezi huu, Mmoja wa Wanamemba wa Kamati Kuu ya Group hilo kasema, Wako katika matayarisho ya ” GENERIC MBILI ” mtakayo ifurahia paletuu itakapo tolewa Wakati WaSherehe  Mwishoni mwa Mwaka 2014.

FERRE GOLA , ni Mmoja kati ya Wanamuziki waliojuu kabisa kwa wakati huu kwenye Muziki wa Rumba.

Wakiwa bado JIJINI KINSHASA, Wanaendelea kujifua vilivyo kwenye Sehemu yao ya Mazoezi UKUMBI WA 1.2.3 Unaopatikana kwenye Manispaa ya KASA VUBU.

 

L.W.L

 

 

 


%d bloggers like this: