MPYA HIYO YA CHIKITO MAKINU ( AUDIO )

BOFYA KWENYE KICHWA CHA HABARI USIKILIZE UIMBAJI MARIDADI WA CHIKITO

JUMATATU NJEMA NA WIMBO AUDIO WA KIJANA CHIKITO MANIKU ” BOLINGO OKANGA ”

CHIKITO NI MWIMBAJI MZURI TENA MWENYE KIPAJI, TUKIWA BADO TUNASUBIRIA AZIMIO LAKE, SWALI JE? UPO UWEZEKANO KWAKE YEYE KURUDI  KWA FERRE GOLA AMBAE BADO MAWASILIANO HAIJAKATIKA, AU NDO YUKO NJIANI KWENDA KUJIUNGA NA WENGE MUSICA MAISON MERE YA NGIAMA MAKANDA WERRASON ? MWENYEWE KASEMA ANAPENDELEA KUANZA CAREER SOLO NA YUKO KWENYE MATAYARISHO YA ALBUM YAKE YA KWANZA ” HIROSHIMA “. KWENYE MUZIKI WA CONGO LOLOTE LAWEZA KUTOKEA !!!

 

L.W.L

Advertisements

One Response to MPYA HIYO YA CHIKITO MAKINU ( AUDIO )

  1. george Yona says:

    Okay….ngoja tuone lkn naamini ipo siku kama hakurudi kwa Ferre Gola basi atakwenda La Zamba Playa

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: