REPA ” KIRIKOU ” KAJIONDOA WENGE MUSICA MAISON MERE YA WERRASON, KARUDI KWA FERRE GOLA

 

BOFYA KICHWA CHA HABARI UPATE KUTIZAMA VIDEO.

REPA ” KIRIKOU ” AMBAE MWANZONI ALIKUA KWA FERRE GOLA, NAHAPO BAADAE  KAHAMIA WENGE MUSICA MAISON MERE YA WERRASON, KAAMUA KURUDI ZAKE NYUMBANI KWAO KWA FERRE GOLA.

KASEMA KWENYE MOJA YA RAPU ZAKE ” MTU HUJISIKIA RAHA UKIWA NYUMBANI KWENU,HUKO KWA WANANDUGU WA FAMILIA, KUNA WAKATI MWENGINE MTU HUKOSA RAHA ” WALIKUA WAKINILAZA NJAA, NILIKUA SIPEWI NAFASI NZURI YAKUJIELEZA,NI KWAMAANA HIYO NAAMUA KURUDI ZANGU NYUMBANI KWETU. NAKUTAKA RADHI ” KAKA YANGU FERRE GOLA NAOMBA MSAMAHA ” .

NDIPO FERRE GOLA KASEMA : KIRIKOU UMEKARIBISHWA, HAPA NI NYUMBANI KWENU,KAWAAMBIA MASHABIKI WALIOKUA HAPO KWENYE UKUMBI WA  MAZOEZI KWAMBA : ” KIRIKOU NI KIJANA ALIE NA KIPAJI CHA HALI YAJUU KWENYE  RAPU,BAADHI YA RAPU MLIZOZISIKIA KWENYE ALBUM ” BOITE NOIRE ” NI YEYE KAZIWEKA.

KIRIKOU KAIMBA RAPU ZENYE UTATA : (chez koko na biso ba liaka ba kabela nga , ba lataka na defisanga ) / HUKO KWA BABU YETU WATU WANATUMIA CHAKULA KWA WINGI ILA MIMI WANANIMEGEA CHAKULA WENGINE HUNUNULIWA NGUO HUKU MIMI NAENDELEA KULAZIMA .

TUNAENDELEA KUZIFWATILIA HABARI KWA UMAKINI

 

L.W.L

 

 

3 Responses to REPA ” KIRIKOU ” KAJIONDOA WENGE MUSICA MAISON MERE YA WERRASON, KARUDI KWA FERRE GOLA

  1. MAJEY says:

    NAMPENDA SANA ANANIKUMBUSHA MZEE MADILU

  2. won roulette says:

    won roulette

    REPA ” KIRIKOU ” KAJIONDOA WENGE MUSICA MAISON MERE YA WERRASON, KARUDI KWA FERRE GOLA | Spoti na Starehe

  3. Great facts, exceptional and valuable design and style, as share good things with very good thoughts and ideas.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: