MPAMBE WA KOFFI OLOMIDE KASEMA JB MPIANA KAMPA MIMBA MMOJA WA MADANSA WAKE

KISI NDJORA, AMBAE KAJITOKEZA KUA MMOJA WA WASEMAJI WA KOFFI OLOMIDE, KASEMA JB MPIANA NAYE NI MALAYA MKUBWA, KAWATUPIA SWALI WASEMAJI WA JB MPIANA NAMKARIRI :

HEBU NIAMBIENI WAPI ALIPO YULE DANSA AMBAE NIMEWALETEA KWENYE GROUP LENU AKIWA BADO MDOGO WA MIAKA 8 NANI KAMPA MIMBA? DANSA HUYO ANAJULIKANA KWA JINA LA ” MWANA NTSUKA “,AMBAE NI BINTI WA KAKA YANGU ” SIDO “ANAISHI KWENYE MITAA YA ” BARUMBU “,KATOKA KUJIFUNGUA SIKU HIZI MTOTO WAKIKE, NIAMBIENI NANI KAMPA MIMBA ? MNAFUNGUA MIDOMO YENU KUMPAKAZIA KOFFI OLOMIDE NI MALAYA, MBAKAJI, HILI LA ” MWANA NTSUKA ” MBONA HAMLISEMI.

MOSAKA MSEMAJI WA JB MPIANA ” MOSAKA ” KASEMA MWANA NTSUKA ” SITENA MNENGUAJI WA GROUP LAO, KESHA RUDI NYUMBANI KWAO NI YUKO SHULENI…

 

                                                                         L.W.L

Advertisements

2 Responses to MPAMBE WA KOFFI OLOMIDE KASEMA JB MPIANA KAMPA MIMBA MMOJA WA MADANSA WAKE

  1. It’s a shame you don’t have a donate button! I’d definitely donate to this excellent blog! I guess for now i’ll settle for bookmarking and adding your RSS feed to my Google account. I look forward to new updates and will share this blog with my Facebook group. Chat soon!

  2. Tara Rike says:

    I believe this is often an informative post and it can be educated and pretty helpful. I’d prefer to thank you for that efforts you might have produced in creating this informative article.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: