KOFFI OLOMIDE NAKUBALI KUITWA ” EBOLA “

INGAWA SEREKALI YA CONGO YAINGILIA KATI ILI MZOZO KATI YA WASANII JB MPIANA NA KOFFI OLOMIDE UPATE KUISHA,  KWAMSHANGAO MKUBWA  PANDE ZOTE MBILI ZAENDELEA NA MALUMBANO.                           NASI PIA HATUTAKUA NA BUDI YAKUWALETEA KADRI MAMBO YANAVYO ZIDI KUJITOKEZA,  CHOCHOTE KILE KITOKACHO MDOMONI MWA JB MPIANA,KOFFI OLOMIDE AU KWA WASEMAJI WAO TUTAKIWEKA WAZI, ” UNAPOKUNYA HADHARANI HUJAWA NAAIBU SASA IWEJE KWA MPITA NJIA AMBAE KAKUTIZAMA ?

HUU NI UJUMBE WA KOFFI OLOMIDE LE GRAND MOPAO : MARAFIKI ZANGU NATEGEMEA HALI YENU NI NZURI, JANA NILIKUA INCHINI CONGO BRAZZAVILLE AMBAKO NIMEKAA KWAKIPINDI CHA SIKU MBILI.               NILIENDA KUMPA POLE NA KUMLIWAZA RAFIKI YANGU QUINTIN BRAUN SMATCH ALIEFIWA NA MAMA YAKE MZAZI, BAADAE TULIKUSANYIKA KWENYE BAR YA ” AMÉDÉE NGASAKI ” TUKATUMIA KINYWAJI KWA PAMOJA.

NIKIWA NIKIELEKEA KWENYE UKUMBI HUO, VIJANA WENGI WALIJIKUSANYA NAKUNISHANGILIA HUKU WAKILALAMIKA KWA NGUVU ” MZEE EBOLA, MZEE EBOLA “.WEWE NDIE MZEE WETU TUPO PAMOJA NAWE.    NILIFURAHI SANA, JINA HILO NALIONA LINA NGUVU YAAINA YAKE, SIO KULITUMIA KWA MADHUMUNI YA KUWAKHEBEHI NDUGU ZETU WANAO TESEKA NA MARADHI HAYO, KWAHIYO,NIKO TAYARI KABISA KULIKUBALI JINA HILO  NA KUITWA  ” EBOLA ” .

 

                                                                                 L.W.L

Advertisements

3 Responses to KOFFI OLOMIDE NAKUBALI KUITWA ” EBOLA “

  1. Anonymous says:

    Huyo ndio msomi quadra koraman anakalili kukiko wale

  2. Anonymous says:

    kaka lubonji koffi olomide ni mti wenye matunda mazuri tena matamu hivyo haukoswi kutupiwa mawe watu warushe rawama na maneno machafu lakini ukweli koffi olomide ndie msanii alietembea na game la mziki bila hata kukosea mara moja.koffi amepiga mziki wa hatari sana ndo maana kuna album zake 3 zimechanguliwa kati ya album 1001 za kusikiliza duniani koffi atakumbukwa leo ,kesho na keshokutwa

  3. lubonji says:

    Tupo Pamoja !!!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: