NAWATAKIA SIKU NJEMA NA TOP ONE FRISON, WERRASON KAWASHAURI MSISITE KUNUNUA ALBUM YA KIJANA HUYO!!!

TOP ONE FRISON, nikijana Mustaarabu sana, anaejituma katika kazi yake ya Muziki.

Kaikumbatia Fani ya Muziki Inchini CONGO BRAZZAVILLE Mwaka 1987.

Mwaka 1997, Kaamua kuiaga Inchi yake pale alipo amua kuhamia JIJINI PARIS,nakujiunga moja kwa moja na Group ” JEUNES PREMIERS “.

Mwaka 2003 Kaamua kuanzia Carrer Solo, hadi leo Kazi ya Msanii TOP ONE yaanza kuzaa Matunda mema , kwenye moja ya Video tulio ambatanisha na Spot hii, Mtamuona WERRASON NGIAMA akiwashauri Mashabiki wake wamumpe Sapoti Kijana huyo! kwakununua Album yake iliowekwa Sokoni hivi karibuni  ” KIFULAMPAKA ”

Tutawawakea Habari zake zaidi hivi karibuni tutakapo faanikiwa mahojiano naye pindi  atakapo rudi JIJINI PARIS!!!

 

                                                                   L.W.L

 

Advertisements

4 Responses to NAWATAKIA SIKU NJEMA NA TOP ONE FRISON, WERRASON KAWASHAURI MSISITE KUNUNUA ALBUM YA KIJANA HUYO!!!

  1. hayward weed says:

    Spot on with this. On a scale from 1 to 10, You are an 11. A awesome article. My pleasure to being here on your blogs.

  2. Noel Delcid says:

    I’ve bookmark your website and also include rss.

  3. Loise Brash says:

    After I thought about matters like: why this kind of data is for free right here? Any time you publish a guide then at least on marketing a guide you receive a percentage, since. Thank you and very good luck on informing folks additional about this.

  4. Appreciating the commitment you put into your website and in depth information you offer. It’s great to come across a blog every once in a while that isn’t the same old rehashed information. Excellent read! I’ve saved your site and I’m including your RSS feeds to my Google account.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: