MSEMAJI MKUU WA JB MPIANA KAMCHAFUA VIBAYA KOFFI OLOMIDE

 

MOSAKA ambae ndie msemaji mkuu wa JB MPIANA kayajibu mashambulizi kutoka upande wa KOFFI OLOMIDE na kaweka Namba ya simu ya Grand Mopao hadharani !!!

Kwenye video tulio ambatanisha na Spot hii, MOSAKA kaongelea Mambo mengi yakiwemo :

1.  Mtamuona MOSAKA kwenye Video anavaa vazi la Madaktari, kasema anajizuia kama kinga kutokana na magonjwa ya EBOLA, siku hizi EBOLA yaathiri Muziki wa CONGO, MZEE EBOLA kapenda kujisifu nakujiweka juu zaidi ya wengine, kwaleo hii naona kafika pabaya, Anapotafuta shari na JB MPIANA kwakweli hapo hatoki Mzima !!! Lawama zetu kwanza zimwendee Mzee FELIX WAZEKWA, yeye ambae tokea zamani kamjua MZEE EBOLA vizuri kama anavyo VIRUSI vya kuambukiza, kwanini hajawatahadharisha Watu? Kwakujizuia na EBOLA, FELIX WAZEKWA  tokea Mda mrefu sasa mtamuona anavaa GLOVES, kumbe sisi wengine tulikua hatujalitambua hilo.

2. Itakuaje wewe Mtu mmoja MZEE EBOLA ukawa naugonvi na Watu wote ? keshagombana na FELIX WAZEKWA, KARMAPA, PAPA WEMBA, PAPA VERKYS, PAPA TABU LEY, PAPA WENDO, EMENEYA, hadi kakosana na BEBE TSHANDA… Mbali na Wanamuziki, keshakua na matatizo na Wanasiasa, Watangazaji wa Habari, yaani watu wote anaugonvi nao, sasa jua kwamba kwa PAPA CHERI JB MPIANA, kiumbe wawatu mpole, hasiependa malumbano, umefika mwisho.

3. Wewe utajiitaje kua BOSS wa Wanamuziki wote wa CONGO, wakati wapo ma BOSS kama MZE VERKYS KIAMUANGANA ?ambae kawasaidia baadhi ya Wanamuziki walio wengi Inchini CONGO, kawasaidia ZAIKO LL, TABU LEY, PAPA WEMBA…    MZEE EBOLA huna lolote, MZEE EBOLA omba omba, kwanza kiwanja ulichojengea Nyumba yako ya MONTFLEURY umepewa na MAMA MIRIAM MOLEKA Mwenyezi MUNGU amrehemu. Utajiri wazidiana, kwahiyo Mtu nilazima ajiweke kwenye nafasi yake,sio kujipandisha. Unapojiita kama wewe ni BOSS wa Wanamuziki wote wa Congo, kwa mantiki gani? umewahi kumsaidia Mtu yupi?

4. Kama SHOO ya ZENITH ya PARIS ya JB MPIANA haijafanyika, Kwanza Mzee huyo kawa mwenye Furaha, isitoshe, kachangia kwakiasi kikubwa ilitusifaanikishe kudumbwiza, alikua akitumia simu yake kuhamasisha Watu ili SHOO ya ZENITH isiwepo.    Wapo baadhi ya Vijana wake waliojiondoa kwenye Orchestra yake ambao leo hii ni wa COMBATTANTS,bila kusahau Wapambe wake walio wengi, hao ndo walikua wakifanya kazi mbaya chini kwa chini. Kamtaja kama Mfano KISI NDJORA ambae kapitia kwenye GROUP QUARTIER LATIN YA KOFFI OLOMIDE, yeye kasema hadharani kama kapinga kwa nguvu zake zote SHOO ya ZENITH ya JB MPIANA isiwepo. MZEE EBOLA ni Mtu mwenye matatizo, yuko kama Nyoka, mbamize kichwani ili afe kabisa.

5. Licha yakua Mtu mwenye wivu kupindukia na Mpenda malumbano, KOFFI OLOMIDE ni Mkosefu wa adabu,mzinifu, hali yake ya Uzinzi ntaiweka wazi leo hapa, Alikua akimtafuta kwa hali na mali Soeur LAURE MBONGO atembee naye kiamahaba.     Wivu wake umedhihirika wazi pale kamuona PAPA CHERI JB MPIANA kafanya sherehe ya DAIDA Bintie,na kumgea Gari lenye Thamani ghali. Ndipo kaanza kusema eti yeye pia hua anafanya sherehe ya B’Day za WATOTO WAKE kila mwaka, mbona hua hatuoni wala kusikia? maisha ya Leader hayana siri, pindi unapokua Star, basi jua kwamba kila ulifanyalo lafwatiliwa !!! Ukiumwa, ukitokwa na donda, yaani vyote vitafahamika … sasa unapofanya Sherehe yaWanao na hakuna ajuaye basi yaonyesha ni kiasi gani bado upo chini tena mchanga.

6. Ntaendelea kumtolea siri za huyo MZEE EBOLA wala usimsongelee usije ukaambukizwa buree!!! Unajua kisa cha kujiondoa REPA CNN kwenye Group QUARTIER LATIN ?, CNN kamfumania MZEE EBOLA akiwa na Mkewe kitandani. yeye ambae katukana Wake wawenzie kama Malaya, mnajua kama Mkewe kabla hajamuoa katoka na BLAISE BULA ? MKEWE katembea na KAPANGALA, MKEWE huyohuyo katembea na BINDA BASS, Unapompenda Mkewe, basi usitizame yaliopita, kwakua Wewe umeamua kutuchafua hadharani, basi nasi wala hatutojizuia kukuanika. UNAPONITUPIA MATUSI SOKONI,KAMWE SIWEZI KUKUBALI OMBI LAKO LAKUTAKA USAMEHEWE CHUMBANI,RUDI HUKO ULIKOTOLEA MATUSI NAUOMBE MSAMAHA.

7. Kaonyesha Msg kazipokea kutoka kwa KOFFI OLOMIDE akimtishia, katoa Namba ya KOFFI OLOMIDE 002438113331111.      MZEE EBOLA anaweza kuomba msamaha yaishe leo, ila keshoyake yatatokea mengine, yaani yabidi kukaa naye kwauangalifu mkubwa, yeye ni kama Nyoka, anapotulia usifikiri hana Sumu. Kila linapo tokea jambo ni Yeye tuu ndie kaonewa, kasahau kabisa hakuna mchokozi kama yeye.

8. Anaposema kwamba Bintie DIDI STONE ndie Mrembo kuwazidi Watoto wa wanamuziki wote, nafikiri kajikosea mwenye, DAIDA ni mchanganyiko wa BABA MZURI na MAMA alie bomba kabisa, Nywele hadi mgongoni,wakamzaa Mtoto alie na Urembo kupindukia. Yeye mwenyewe MZEE EBOLA, kichwa chake jinsi kilivyo hadi Vinyozi wanakataa kumnyoa, anapo ongea Bintie ni Mrebo zaidi, kwani kawatizama Mabinti wa WERRASON EXOCEE na GLADY ?                                                                         Jamani nawataka radhi akina Mama wote, hata Mkewangu ntaomba anisamehe, yaani TOKEA NIANZE KUWAONA WANAWAKE DUNIANI HAPA, KWAKWELI SIJAWAHI KUMUONA MWANAMKE ALIE MZURI NA MREMBO KAMA AMIDA SHATUR MKE WA PAPA CHERI JB MPIANA, WALA SIJAKOSEA NINAPO SEMA NI MZURI NA MREMBO KUMZIDI MKE WANGU,HUO NDO UKWELI WANGU. KWANI NIKISEMA PAPA CHERI JB MPIANA NI MZURI KUNIZIDI KWANI NAKOSEA? TIZAMENI PICHA JAMANI, KWA HAPO SIONI LAKUFICHA!!!

9. MZEE EBOLA kawapa kipaumbele Watoto watatu pekee, mbona hao wengine wamwanzoni  hawatajwi? akina ARISTOTE, MINOU… KIJANA WAKO ARISTOTE KAMBAKA DADA YAKE MINOU hayo tunayajua sisi… MWANAO ELVIS AMBAE ANAISHI JIJINI LONDON MBONA NI MSENGE ? VIRUSI VYA EBOLA UMEWAAMBUKIZA HADI WANAO … JB MPIANA HUA HAFICHI WANAE, WATU WOTE WAMEMUONA KIJANA WAKE WA KWANZA  ” CHRIS ABRAHAM MPIANA “,BINTIE WA KWANZA ” DAIDA “bila kumsahau ” SORAYA ”

 

                                        L.W.L

 

Advertisements

One Response to MSEMAJI MKUU WA JB MPIANA KAMCHAFUA VIBAYA KOFFI OLOMIDE

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: