TAFSIRI YA WIMBO ” EDUCATION ” UNAO PATIKANA KWENYE ALBUM SOLO YA JB MPIANA “TH” ILIOTOLEWA MWAKA 2000

 

Mwana te asengaki, ko ya na mokili /WALA SIMTOTO ALIEHITAJI KUJA DUNIANI
Papa maman ba balani, ba boti mwana / WAZAZI BAADA YA NDOA NDIPO WAKAAMUA KUMPATA MTOTO
Ba dressaka nyama, moto ba edukaka ye / MNYAMA HUFUNZWA, BALI MTOTO ,HUADIBISHWA, HUPEWA ELIMU
Ba forcaka education te, ba salaka nde appel /USITUMIE BAKORA KWAKUELIMISHA, BALI TUMIA MBINU ITAKAYO MUHIMIZA MTOTO ILI AENDE SHULE
Na volonte ya mwana Otuni mwana, olingi nini ko /MTOTO PIA ANAWEZA KUTOA MAONI YAKE,WALA SIKOSA KUMUULIZA NIKIPI ATAKACHO RIZIKA NACHO

Avis ya mwana tango mosusu Asala mosala ya maboko / WENDA MTOTO KAPENDELEA KUJIFUNZA KAZI YA MIKONO
Lokola tata naye atanga Ako imposer mwana / KWAKUA WEWE BABA  NIMSOMI UTAMSHURUTISHA PIA NAYE AWE MSOMI KAMA WEWE.
Il faut ozala docteur en droit, to licencier na economie / NILAZIMA UWE MWANASHERIA, AU MTAALAM WA MASWALA YA UCHUMI
Na ko tosa ba boti, mwana asali volonte ya ba parents / KWAHAPO NTAWAAMBIA WAZAZI KWAMBA MTOTO HAJAFWATA MATAKWA YAKE, BALI YALE YA WAZAZI WAKE
Lelo aseretrouver nul Akomi ko ima ima / SASA KWALEO HII KASHINDWA NA SHULE, ANAKUA AKIHAHA HUKU NA HUKU
Soki nga na komi boye, po na salaki choix na nga te / MNIONAVYO NILIVYO LEO, NI KWA SABABU NIMEUFWATA USHAURI WA WAZAZI WANGU,ULIOKUA TOFAUTI NA MATAKWA YANGU.

Ndakisa ya ba papa misusu / TABIA NYINGINE ZA AKINA BABA NI MFANO MBAYA KWA JAMII
Mwana naye amoni ye na mwasi mosusu na nzela ba simbani / MWANAE KAMSHTUKIA AKIBUSIANA NA MWANAMKE MWENGINE BARABARANI
Abengi mwana naye a corrompre ye na mbongo / KAMWITA MWANAE,KAMGEA MAPESA ILI AFUMBE MACHO
Koyebisa maman te na ndako noki ako silika ah / USITHUBUTU KUONGELEA YALE ULIOYAONA KWA MAMA YAKO, MAMA ASIJE AKAKASIRIKA BUREE
Banda jour wana mwana wana akoma têtu / TOKEA SIKU HIYO,MTOTO AKAWA MWENYE JEHURI KUPINDUKIA
Ata asali mabe, moyen papa a gangela ye ezalit e / BABA HANA TENA KAULI MBELE YA MWANAE, HATA IKIWA KATENDA MAKOSA
Azo banga sinon mwana ako funda epayi ya maman naye / BABA KAWA MWENYE WASIWASI, AKIOGOPA MWANAE ASIJE KUMSEMEA NA KUMTOLEA SIRI KWA MAMA YAKE
Ko beba education ya mwana nyoso wana / KITENDO HICHO CHAMFANYA MTOTO KAYAKOSA MAADILI MEMA

Ndakisa ya ba maman oyo Abotamwana se moko / WAPO AKINA MAMA WENGINE AMBAO WAMEMZAA MTOTO MMOJA PEKEE
Akomisi ye neti nzambe, ata mwana wana asali mabe /HUMCHUKULIA MTOTO HUYO KAMA MUNGU, INGAWA MTOTO HUYO NI MTOVU WA NIDHAMU,
Ba tente ba oncle naye, ba beti to ba gangeli ye / INAPO TOKEA BABA MDOGO AU MAMA MDOGO AKITHUBUTU KUMPIGA AU KUMKARIPIA,
Maman naye asiliki, botikela nga liso na nga / BASI HAPO MAMA MTOTO ATAKUJA JUU  NAKUTUPIA MANENO MAKALI , NIACHIENI HUYO NDIE JICHO LANGU JAMANI
Ezali se moko wana / WALA SINA WAWILI ,NINAE HUYO MMOJA PEKEE!!!

sans le savoir ayeba A detruire mwana naye, a encourager ye na mabe / MASKINI,ASICHO KIJUA NIKWAMBA MAMA HUYO KAMHARIBU MWANAE, KAMUONGOZA KWENYE NJIA ISIO NYOOKA

Ndakisa ya ba parents misusu / WAPO PIA BAADHI YA WAZAZI WENGINE WALIO NA TABIA CHAFU
Mwana ya mbanda to azwa mwana ya ndeko afandaka epayi naye /ATAKUA KAMLEA MTOTO WA NDUGUYE AU YULE WA MKEWENZA
Akomisi ye lokola domestique /  BASI ATAMGEUZA MTOTO HUYO KUA KAMA MFANYAKAZI WAKE WA NYUMBANI
Misala nyoso ya ndako bitinda epa ya mwana wana / KAZI ZOTE ZA NDANI KAZIFANYA YEYE
Bana naye moko ba salaka lisusu misala te / HUKU WATOTO ALIEWAZAA YEYE, WANAKAA KITAKO ,NAWALA HAWATUMWI ,
Na makanisi naye que azo nyokola mwana wana / KWA MAFIKIRA YAKE, ANAHISI AFANYAVYO HIVYO,NIKUMKOMOA MTOTO HUYO,
Nzoka nde a detruire education ya bana naye / KUMBE MWENYEWE  KAYAHARIBU MAADILI YA WANAE
Pe a eduquer mwana ya mbanda to pe ya ndeko oh / HUKU AKIWAFUNZA VIZURI WALE WATOTO WA WENGINE  GINSI GANI  MAISHA YALIVYO

Ba parents bozala ba irresponsible te / WAZAZI HAWATAKIWI KUA WAZEMBE,
Quelque soit difficulte ya vie oza nango / HATA PALE UTAKAPO  FIKIWA NA CHANGAMOTO KALI MAISHANI,
Eduquere mwana yo moko /  WATAKIWA KUMPA MWANAO ELIMU ILIOBORA
La plus part ya bana oyo ba kolaka epayi ya ba ndeko / WENGI WA WATOTO AMBAO HULELEWA NA WATU WASIO WAZAZI WAO,
Mingi ba zalaka na education ya bien te / HUTOWEKWA NA MAADILI MEMA, NAKUA WAHUNI
Cause po suivi ezalaka makasi te / TATIZO KUBWA LILIOPO NIUKOSEFU WA MALEZI MEMA

 

Parent nyoso esengeli azala model ya mwana naye / NIWAJIBU KWA KILA MZAZI KUMPA MWANAE MALEZI YANAYO HITAJIKA
Ba lobaka tel pere tel fils / HUA WANASEMA VITENDO VYA BABA VYAENDANA NAVYA MWANA
Mwana soki otie ye esika ya ba nyama / MTOTO AKILELEWA NA WANYAMA
Akomi ko loba neti ba nyama / VITENDO VYAKE,USEMI WAKE UTALINGANISHWA  NAULE WA WANYAMA
Example ya Romulus and Remus eh / MFANO TOSHA NI WA ( ROMULUS na REMUS )
Ba zalaka ko loba neti ba nyama / WALIKUA WAKIONGEA KAMA WANYAMA
Po model na bango ezalaki loup eh / KWAKUA WAMELELEWA NA MBWA MWITU

 

Education eza dangereuse na vie ya mwana eza education diffuse / KUMPA ELIMU MTOTO NI JAMBO LA MAANA

 

Na ndako na kelasi bazo eduquer mwana ndenge mosusu / MTOTO AKIWA NYUMBANI AU SHULENI HUPEWA MAADIBISHO MEMA
Na libanda pe azu zua education ndenge mosusus / PINDI AENDAPO MITAANI, HUPOKEA MALEZI MENGINE ILIO TOFAUTI
Ba parents bo zala prudent / WAZAZI MNATAKIWA KUA WAANGALIFU SANA
Bana bo profiter na voix ya ba parents te, bo keba /WATOTO JITAHADHARINI PALE MNAPOKUA MBALI NA WAZAZI WENU
Mwana yo moko oza agent principale ya education nayo / MAADIBISHO YA MTOTO KWANZA YATOKANA NAJITIHADA ZAKE MWENYEWE
Mwana mosusu aza orphelin akufela baboti baye / YUPO MTOTO AMBAE NI YATIMA, HANA BABA WALA MAMA
Mosusu ba famille ya baboti baye ba abandonant bango / MWENGINE MAMA YAKE KAMTUPA PALETUU ALIPO ZALIWA
Malembe malembe ba orienta ba vie na bango To mona pe lelo ba kkoma bato / /KUTOKANA NA KUZINGATIA USHAHURI MWEMA, UKAWAPELEKEA LEO HII WANAKUA WATU TENA WENYE MAJINA YAO

Parent opimela mwana bonbon biscuit to jouet kasi education te / WEWE MZAZI UNAPO MPA ADHABU MTOTO KWA KUMNYIMA PIPI, AU BISKUTI, WALA HAYO SI MAADIBISHO
Education eza utile na vie ya mwana / ELIMU NI JAMBO MUHIMU SANA KWA MTOTO
Lokola essence to baterie na bomoyi ya voiture /KAMA YALIVYO MAFUTA  KWENYE GARI

 

 

                                               L.W.L

6 Responses to TAFSIRI YA WIMBO ” EDUCATION ” UNAO PATIKANA KWENYE ALBUM SOLO YA JB MPIANA “TH” ILIOTOLEWA MWAKA 2000

 1. Anonymous says:

  Thanks lubonji, inaonesha ni jinsi gani baba daida ni baba bora.

 2. Muhamed says:

  maish kupat sio kusaka

 3. lubonji says:

  Sijakuelewa Vizuri Muhamed !!!

 4. Pei Dolch says:

  Very wonderful web site and outstanding and content articles.valuable style and design, as share superior stuff with good thoughts and ideas.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: